Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Hili pambano nalisubiri kwa amu, nione kama Ruiz is the true champions?
Na Joshua is the real threat kwa Wilder?
Bcoz endapo J hakipoteza hili pambano hatoweza kuja pigana na mbabe aliyeshindikana (BronzeBomber)
Wilder amalizane Kwanza na Fury
 
From zero to hero
Screenshot_20191203-140206_1575383131371.jpeg
 
Wilder amalizane Kwanza na Fury
About Furry this time Wilder anamaliza game kwa kO, Uzuri Wilder kashasema anamalizana kwanza na yale mapambano yalitoleta controversial Ortiz + Fury,

Alafu kuna sehemu ulisema Wilder anamuhofia Joshua, futa hii kauli mkuu, Wilder n bondia anayejiamini zaid ktk kizazi hiki, he belives is only number one heavyweight champions, sasa Joshua anapotaka alipwe zaid ya Wilder kisa fans base ilo Wilder hatokubaliana kamwe, mzigo uwekwe 50/50 uone kama Joshua atafika 7 round, ogopa sana ile ngumi ya KULIA ya Wilder, ile ni zawadi aliyotunukiwa na Mungu pekee

Mwisho, Furry ni bondia mzuri sana ktk kizazi hiki, mabondia wengi wa sasa wanamuhofia, cha kushangaza Wilder yeye ndio wa kwnza kutaka rematch
 
Fanbase inamatter maana ngumi ni biashara, Wilder anashindwa kujaza hata uwanja akiwa nyumbani kwake, AJ is a bigger brand though Wilder anatisha zaidi ulingoni
 
A man who has nothing to loose is a dangerous Man.
Halafu Ruiz hana njaa tena, kwenye mahojiano yake nimeona amesema ameshatimiza ndoto ya kuwa bingwa. Ni kweli ulichosema yeye hana cha kupoteza kivile, ndio maana alijitahidi kumng'ang'ania Eddie Hearn amlipe vizuri kama anataka aende kupigana Saudi Arabia(alifanya kamgomo). Kwa taarifa za chini nimesikia analipwa $15 Mil, dau ambalo alikuwa anaota tu kulipata maana pambano la Kwanza alilipwa kwenye $7 Mil. Ila kwa upande wa AJ anavuta $ 85 Mil [emoji3][emoji3] pamoja na kutokuwa bingwa
 
Kitu kuhusu Wilder.. He never gives Up. Alishawahi kurusha ngumi, tendon ya mkono ikachanika lakini hakukata tamaa.. Mpaka tone LA Mwisho.

Ikitokea AJ v Wilder.. Kete yangu naitupa kwa Wilder huyu chalii ni mnyama mwingine
NAtamani nimuone Joshua vs Wilder. Sioni chances za AJ kumpiga Wilder, jamaa limekaa kiuaji na linajua kutandika
 
Zimebaki siku 4 tu tushuhudie lile pambano litakalosimamisha dunia kwa dakika kadhaa lililopewa jina CLASH ON THE DUNES ambapo litafanyika Saudi Arabia.

Pambano hili limekuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa ndondi duniani, hii ni baada ya AJ aliyekuwa bingwa na kipenzi cha watu kupigwa pambano la kwanza lililofanyika June 1 kitu ambacho wengi hawakuwaza, na pambano hilo kuwekwa katika kumbukumbu ya one of the biggest boxing upsets of all time. Je AJ ataweza kurejesha mikanda yake aliyopoteza? Tusubiri Jmosi.

Ngoja tuone.
 
Mapambano atayapata, unajua jina lake linauza kuliko bondia yoyote (ukiondoa Canelo), sema thamani yake na legacy itakuwa imeshuka sana. Kila bondia Heavyweight anatamani apigane na AJ ndipo kwenye hela kwa sasa
Ilikuwa zamani si sasa
 
Back
Top Bottom