Joshua kwa wilder atachakaa vibaya sana
wilder kwa pambano alilopigana juzi na ortiz (king kong) amejidhihirisha kua anaingilika kirahisi ni mtu ambae kwanza ngumi zake anazorusha si za kifundi ivyo kumpa mwanya adui kumuingia na kumterminate kirahisi..
lile pambano king kong alimhandle wilder vizuri sana sema pumzi ilinuishia na kama wangeenda mpaka round ya 12 bas ortiz alikua anashinda kwa point!!
wilder ni mmarekani na ndio the only american heavy weight competitor!! ivyo wamerakini wanampa sana tilte lakib hana zile skills za boxing!! kama punch slipping,,punch dodging,,,good foot work,,,signatory moves,,,,skilled punch combinations,,,, hivi vyote amekosa kwa iyo kwa AJ itakua easy win pia.