BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Pambano la lini jamani???
jumamosi leo saa 6 usiku channel sky sports hata kwenye simu unaweza downloadHuu ugomvi unafanyika lini Na saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambano la lini jamani???
jumamosi leo saa 6 usiku channel sky sports hata kwenye simu unaweza downloadHuu ugomvi unafanyika lini Na saa ngapi?
saa 6 usikuni saa ngapi pambano
nmeangalia hata mkono wake hauna msuli ila mhh usikute ndo ngumi tofaliUmeongea bonge la poit mkuu huyu dogo watu wengi wanamchukulia kawaida tu lakini ana hatari yake
Nidowload app?jumamosi leo saa 6 usiku channel sky sports hata kwenye simu unaweza download
Joshua kwa wilder atachakaa vibaya sanaJosh akimalizana na huyo azichape Deontay Wilder amalize ubishi.
wilder kwa pambano alilopigana juzi na ortiz (king kong) amejidhihirisha kua anaingilika kirahisi ni mtu ambae kwanza ngumi zake anazorusha si za kifundi ivyo kumpa mwanya adui kumuingia na kumterminate kirahisi..Joshua kwa wilder atachakaa vibaya sana

Kweli ni kubahatisha.
Yah hii gemu inachangamoto zake!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Joshua kwa wilder atachakaa vibaya sana
Nani kafa?Kumekucha huku tayari
Miyeyusho, tusubiri asubuh kiporoBado Hakuna Live updates