Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

Mbona Lipumba,Mrema,Cheyo ni Wenyeviti wa mda mrefu sana kwenye vyama vyao? Mbona hao hamuwasemi?
Malengo ya Mh. Mbowe na inner circle yake ni mabaya sana sio tu kwa nchi hata humo chadema ! You will soon realise this kadri mambo yanavyo fumuka.
 
Kelele za mpita njia hazisababishi mwenye nyumba kukosa kulala
 
Malengo ya Mh. Mbowe na inner circle yake ni mabaya sana sio tu kwa nchi hata humo chadema ! You will soon realise this kadri mambo yanavyo fumuka.
Kama ana malengo mabaya ya kututoa wabunge watano mpaka wabunge zaidi ya 80 basi bora aendelee kufanya mabaya.
 
CCM inavyong'ang'ania huoni ?! Pamoja na raslimali lukuki Tz ni moja ya nchi masikini kabisa duniani. Ni kwa sababu ya CCM kung'ang'ania madaraka
Tatizo lako wewe hujazunguka kwingineko duniani uweze linganisha ! Unakariri tu maneno ya wapiga kelele....utashangaa sana nchi kama Nigeria yenye uchumi wa pili Africa walivyo katika lindi la umasikini majimbo yao ya kaskazini. Bono, sokoto, maiduguri...hata mawasiliano ya uhakika huko hakuna !
 
Wewe ni mjinga, mpotoshaji, mlamba nyayo na kila aina neno baya nakupa. Hakuna uasi. Hawa akina Komu wakati wa ule mkakati wa mabadiliko nao walituita waasi tuliokuwa tunaupanga leo nao wanaumizwa.

Mbowe ni kama jini. Likikosa damu linamla mfuga jini. Slaa yamemkuta na sasa akina Komu. Ila ninamuamini sana Komu ni strategist ukilinganisha na hawa wafitini akina Mrema, Regy, Lema n.k hata Bony mwenyewe ni mtu objective sometimes.

Kama una akili timamu unapaswa kuunga mabadiliko ya uongozi ndani ya CHADEMA. Wabunge wasiotaka Shari wanahamia CCM ila wataka Shari wameamua kukomaa tunapaswa kuwaunga mkono.

Nilishamshauri hata Rais awasaidie CHADEMA maana wenyewe hawamuwezi
 
Kiuhalisia kabisaaa Mbowe alitakiwa akae pembeni ili wengine wapate nafasi na hii ingesaidia chama kupata uelekeo mpya,kufata dhamira ya uchaga,ulutherani,ukasakazini kwa hali ilivyo CHADEMA ni kama imepotza mvuto na muelekeo inahitaji kiongozi mwingine ambae atawavusha kipindi hiki kigumu.
 


Narudia kusema ni busara kwa Mbowe akastaafu kwa hiari yake mwenyewe kabla hajaburuzwa kwenye korido ya pale ufipa kwa nguvu.
 
Unawadhalilisha wanaume wa Dar, tunawachukulia wote kama wewe. Samaki mmoja akioza .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…