Mbowe amekosa hekima kabisa.
Kwa muda aliokaa Madarakani hakustahili hata kusubiri wabunge waishe kwa kuhama ili aje kumwachia Mwingine Chama kisicho na Ruzuku. Aachie wengine wenye moyo wa kujenga chama kizalendo bila mambo ya biashara binafsi ndani ya Chama kikiwa bado na ruzuku ili wenye akili wakijenge kwa mtaji huo huo anaouita mdogo.
Mbowe ni Mbunge na msemaji wa kambi rasmi ya upinzani bungeni lakini bado tu anakwapua Ruzuku mana Familia inamlaumu kwa kufanya biashara kupitia chama bila utaratibu wa kibiashara.
Je,Ile kesi ya Mbowe kusababisha mauaji ya Akwilina bado ipo?
Je, haingekua vizuri zaidi ikamuangukia yeye mwenyewe mana yeye ndiye aliyekua na mamlaka ya kuwaamuru walioko chini yake na wafuasi wake wasiandamane na wangetii. Pia alikua na uwezo wa kwenda mwenyewe au kumtuma mtu mana yeye ndiye bosi,?
Je, haiwezekani wote wakamuangushia Mzigo wote Mbowe mana huenda alikua anajua kuwa mpango wake wa kumwaga damu ilikua umekamilika ilihali wenzake hawakujua??
Mbowe ni adui namba moja wa Demokrasia Tanzania na dunia nzima kwa ujumla.
Mbowe ni gaidi kama magaidi wengine waliowahi kutokea duniani walioasi serikali zao.