Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona ule unga wa ndele wamekuzdishia.Wabunge wanamageuzi wa siku nyingi nchini wamegoma kuhama CHADEMA sasa wameamua kushughulika na Mbowe na vijana wake. Nasikia harufu ya Damu ndani ya CHADEMA
Sikiliza sauti ya Mbunge Komu na Kubenea wakijadili.
Wapenda mabadiliko wote wanapaswa kuwaunga mkono wabunge hawa. Nyumbu wataaminishwa kuwa hawa ni mamluki
https://www.instagram.com/p/Bo5tHi-HJ7s/
Anunulike Mara ya ngapi tena ?Mbowe kiongozi bora shida anunuliki hiyo tabu ya ccm
Bora wewe umesema ukweli kutoka moyo, inatakiwa CDM ife kabisa ili CCM ile keki ya taifa bila bugdha yeyote, yaani ni mwendo wa kuwanyonya watanzania mpaka wanyonyoke.Ajiuzulu ili kife kabisa maana huyu ndio kizuizi chetu

Kivipi ebu eleza maana watu wengine hua mnafata mkumbo2Ajiuzulu ili kife kabisa maana huyu ndio kizuizi chetu
Ccm mnatumia nguvu kubwa kwa Mbowe kuliko kuwashawishi wale wanaomuamini wabadilishe fikra zao ili abaki mpweke.Mbowe amekosa hekima kabisa.
Kwa muda aliokaa Madarakani hakustahili hata kusubiri wabunge waishe kwa kuhama ili aje kumwachia Mwingine Chama kisicho na Ruzuku. Aachie wengine wenye moyo wa kujenga chama kizalendo bila mambo ya biashara binafsi ndani ya Chama kikiwa bado na ruzuku ili wenye akili wakijenge kwa mtaji huo huo anaouita mdogo.
Mbowe ni Mbunge na msemaji wa kambi rasmi ya upinzani bungeni lakini bado tu anakwapua Ruzuku mana Familia inamlaumu kwa kufanya biashara kupitia chama bila utaratibu wa kibiashara.
Je,Ile kesi ya Mbowe kusababisha mauaji ya Akwilina bado ipo?
Je, haingekua vizuri zaidi ikamuangukia yeye mwenyewe mana yeye ndiye aliyekua na mamlaka ya kuwaamuru walioko chini yake na wafuasi wake wasiandamane na wangetii. Pia alikua na uwezo wa kwenda mwenyewe au kumtuma mtu mana yeye ndiye bosi,?
Je, haiwezekani wote wakamuangushia Mzigo wote Mbowe mana huenda alikua anajua kuwa mpango wake wa kumwaga damu ilikua umekamilika ilihali wenzake hawakujua??
Mbowe ni adui namba moja wa Demokrasia Tanzania na dunia nzima kwa ujumla.
Mbowe ni gaidi kama magaidi wengine waliowahi kutokea duniani walioasi serikali zao.
foolish foolMbowe amekosa hekima kabisa.