Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

hapa nchini mpinzani wa kweli ni Zitto Kabwe pekee na ACT yake

hao wengine wanafarakana wao kwa wao kila uchwao na hawawezi kuiondoa ccm
 
Wapambane wao halafu unituhumu kuwa ninaleta propaganda!

Angalia pia hii video ya audio ya pili iliyovuja!
VIDEO:
Hujaelewa tena. Ninachokisema ni kuwa hayo mambo yalishajadiliwa na kuisha. Wewe unayarudisha na kuyafanya mapya ili kuchanganya na mchakato wa uchaguzi wa sasa ndani ya CHADEMA. Hapo ndipo propaganda zako zinaposhindwa vibaya. Umeelewa?
 
Kama yangekuwa yameisha, kwa nini Mbunge Msigwa anayarudia tena wakati huu wa Uchaguzi wa viongozi ndani ya CHADEMA na hasa baada ya Audio nyingine kuvuja?
 
hapa nchini mpinzani wa kweli ni Zitto Kabwe pekee na ACT yake

hao wengine wanafarakana wao kwa wao kila uchwao na hawawezi kuiondoa ccm
Sasa Zitto atafarakana na nani wakati ACT-Wazalendo ni Zitto?

Siku Zitto akitoweka ACT-Wazalendo hata chama kitatoweka Tanzania Bara! Ninajua Maalim Seif na kundi lake wamejishikiza tu ndani ya ACT-Wazalendo lakini sio wanachama wa itikadi bali wanachama wa madaraka Zanzibar!
 
....afadhali wewe nimekuelewa;

huyu mleta mada siku zote anafahamika msimamo wake dhidi ya upinzani hasa CDM, so simshangai sana, kidogo namshangaa siku hizi kapunguza kuleta thread za kumsifia 'boss' wake!
 
Kuna siku watamtaja aliyemmiminia risasi Tundu Lisu kutoka hapo Ufipa....... Ndipo taifa zima la Tanzania litapatwa na mshangao!!!
Yes, watamtaja aliyeondoa walinzi kwenye makazi ya TAML; na aliyetoa cctv cameras watamtaja!
 
Sasa wewe Msigwa nyumbani kwa Mbowe ulikwenda na Biblia ya nini kwani Kubenea alimtumia majini au wale pepo wachafu wanaowafugaga?!
Wacheni uchonganishi hii ishu ni ya siku nyingi na hili jambo lilishamalizwa katika ngazi ya chama ila wewe msema uongo umeliketa kimkakati kwa malengo unayoyajua wewe na mabosi wako hapo Lumumba.
 
Ni kwanin haya yanafanyika wakati huu kuelekea uchaguxi wa kitaifa?
 
Chadema km hampendani wenyewe itakuaje
Chama ni mkusanyiko wa watu mbali mbali na usitegemee wapendane wakati kilichowaunganisha ni madaraka na vyeo.

Mapambano haya ndani ya CHADEMA chimbuko lake ni vyeo na madaraka
 
Kuna siku watamtaja aliyemmiminia risasi Tundu Lisu kutoka hapo Ufipa....... Ndipo taifa zima la Tanzania litapatwa na mshangao!!!

Vipi ile Interejinsia yenu mpaka leo haijawabaini wale waliotenda hiyo Jinai.
Wakati mwingine Mbatizaji unajitoa ufahamu sana,

Ndani ya viunga vya makazi ya Wabunge ,Mchana kweupe Mwakilishi wa Wananchi anashambuliwa, alafu unaleta Porojo kwenye mambo ya msingi.
 
Chadema km hampendani wenyewe itakuaje
CCM ndiyo hampendani hadi mawaziri waandamizi wa awamu ya tatu walitaka kumtoa roho JPM, mna roho mbaya sana sasa hii midege na reli mpya kama mngefanikiwa tungezipata wapi. Hata Rais wa awamu ya nne aliwahi kulisema kuwa imefikia wana CCM hawaaminiani tena kiasi mtu hawezi kutoka mezani akaacha kinywaji chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…