Lakini msilazimishane iwe hiyariBasi mtuache sisi wenye watoto huku st. kayumba tujiwekee wenyewe sera yetu ya elimu, nyie hangaikeni na sera ya elimu ya huko canada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini msilazimishane iwe hiyariBasi mtuache sisi wenye watoto huku st. kayumba tujiwekee wenyewe sera yetu ya elimu, nyie hangaikeni na sera ya elimu ya huko canada.
Mkuu , Hivi unajua kuna Ratiba za Mashule Zinatofautiana Nchi nzima?Naona umefafanua mamlaka ya tawala za kimkoa tu haujaeleza kuhusu sera. UKIELEWA maana ya national curriculum itakusaidia sana kujua jinsi RC alivyoropoka kimakosa.
Kwa kifupi RCs wanatakiwa kutekeleza sera za wizara,juhudi za mkoa sio kuharibu ratiba ya wizara kisera,eg.km sera na taratibu ni kukaa darasani masaa 8, juhudi ya mkoa ni kufanikisha mtoto anakaa hayo masaa sio kumuongezea masaa ni kuharibu taratibu zilizowekwa na wizara.
Uko sahihi ila ratiba inatakiwa isizidi masaa elekezi, eg. Azania sekondari wanasoma kwa zamu/shift,kuna wanaoingia asubuhi na wanaoingia mchana ila time spending ya darasani inalinganaMkuu , Hivi unajua kuna Ratiba za Mashule Zinatofautiana Nchi nzima?
Acha unduza bana unatia aibu!Sera haiko ivyo mkuu,sera ni ya kitaifa sio juhudi za mkuu wa mkoa,RC anapaswa afanye kazi kwa kufuata sera za taifa, hakuna sera za kielimu kimkoa maana ikiwa ivyo basi kila mkoa uwe mamlaka kamili inayojitegemea aka serikali za majimbo
Naona umefafanua mamlaka ya tawala za kimkoa tu haujaeleza kuhusu sera. UKIELEWA maana ya national curriculum itakusaidia sana kujua jinsi RC alivyoropoka kimakosa.
Kwa kifupi RCs wanatakiwa kutekeleza sera za wizara,juhudi za mkoa sio kuharibu ratiba ya wizara kisera,eg.km sera na taratibu ni kukaa darasani masaa 8, juhudi ya mkoa ni kufanikisha mtoto anakaa hayo masaa sio kumuongezea masaa ni kuharibu taratibu zilizowekwa na wizara.
Kwa hii umemalizaMkuu Mtaala wa Taifa umetoa Sera tu, Kuwa muda wa kufundishia ni Masaa sita kwa siku. Lakini pia mtaala umetambua shughuli za ziada za kujisomea na kujiendeleza kimasomo Nje ya hayo masaa sita. Mtekelezaji hapo ni TAMISEMI kwa utaratibu wake
TAMISEM Iinatekeleza majukumu yafuatayo:-i)Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Ugatuaji Madaraka (D byD), Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikaliza Mitaa, Maendeleo Mijini na Vijijini;ii)Kuziwezesha Tawala za Mikoa kutekeleza majukumu yake ya kisheria;iii)Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kutekeleza majukumu yake ya kisheria;iv)Kuratibu shughuli za utoaji wa huduma mijini kama vile usafiri na usafirishaji, upatikanaji wa maji safi na usafi wa mazingira;v)Kusimamia shughuli za Tume ya Utumishi wa Walimu;vi)Kusimamia shughuli za Elimu ya Msingi na Sekondari;vii)Kujenga uwezo wa watumishi wa OR –TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi; naviii)Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programuna Miradi iliyopo chini ya OR-TAMISEMI.
47.Mheshimiwa Spika,majukumu yanayotekelezwa na Mikoa ni kama ifuatavyo:-i)Kuhakikisha kunakuwepo amani, usalama na utulivu katika Mikoa na Wilaya;ii)Kusimamia na kuratibu shughuli zote za maendeleo katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa;iii)Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa ili zitekeleze majukumu yake kwa ufanisi;iv)Kufuatilia utekelezaji wa miradi na programu mbalimbali zinazotekelezwa na Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika maeneo yake;v)Kuratibu usimamizi na uendeshaji wa Elimu ya Msingi na Sekondari katika Mamlaka za Serikali za Mitaa;vi)Kusimamia uendeshaji wa Afya ya Msingi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa; navii)Kuhakikisha kuwa Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia misingi utawala.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji817]Umeongea vema sana mkuu, watu wengi akiwepo Mtaka suala la national curriculum hawalielewi wanaendeshwa kwa miemko na kukosa busara tu.
Waziri wa elimu yuko sahihi 100% na bado katumia busara kutokurupuka kumjibu mkuu wa mkoa.
Hawa watoto tunawatesa sana kwa overdose,hii ni brain masturbation kwa watoto na haikubaliki kitaaluma!
Meongea point braza , mtaka Yuko sahihi , Yuko really... ila wakifeli mnawasimanga na kuwatumbua RC's na viongozi ngazi za mikoa na wilaya! Tumbueni basi hao mawaziri wenye kusimamia sera za kitaifa.
Wewe ndiye unayetia aibu. Taifa haliwezi kuendeshwa bila utaratibu kwa kila mkuu wa mkoa kupanga utaratibu wake. Kila mkoa ni lazima utekeleze sera za nchi.Acha unduza bana unatia aibu!
Kama una undugu na waziri wa elimu mwambie atulize kichwa.
Kuna mikoa inaongoza kitaifa kwa kiwango cha juu cha ufaulu, unadhani ni sera za serikali zimesaidia hayo au viongozi wenye maono eneo husika na wananchi wenye uthubutu!! Vipi mikoa misafi nayo!!
Wakati wenzenu wanahaha kutatua changamoto sugu maeneo wanayooyaongoza, nyinyi mko busy kula supu za pweza na kutoka na familia zenu mapumziko, mkifika bungeni ni kusinzia na kupiga meza. Uongozi sio sifa ni kutumika.
Msukuma akiwatukana matusi ya reja reja mnajaa upepo kwamba aanapenda sana kuwataja taja.
Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
Hajaingilia sera hata kidogoBila hata kujua kiwango cha elimu ya mkuu wa mkoa wa Dodoma, mara moja naona makosa ya kiutendaji aliyonayo. Kwanza, yaonekana ni mtu asiyejua kuchagua maneno. Pili, hakujua mchakato upi uboreshe kiwango cha elimu mkoani kwake, siyo ufaulu anaotafuta. Elimu inaendeshwa kitaifa na siyo ki-mkoa.
Haiingii akilini kwamba mkuu wa mkoa anataka kuboresha ufaulu wa wanafunzi kwa kupambana na waziri wa elimu, kwa makambi ya elimu. Ili iweje?
Elimu ni mchakato wa miaka 7 kwa shule za msingi, miaka 4 sekondari, n.k. Kama kuna uzembe ktk miaka ya elimu, Mtaka anawezaje kuboresha uzembe huo kwa makambi ya miezi miwili? Yaani sasa hivi aanze, kufika septemba darasa la 7 wafaulu mtihani. Ni elimu gani hiyo?
Sera ya elimu ipo ili kudhibiti mawazo mfu kama haya ya akina Mtaka.
Utaratibu wake ukoje?? Anasomesha watoto miaka 9 sekondari ama!!!Wewe ndiye unayetia aibu. Taifa haliwezi kuendeshwa bila utaratibu kwa kila mkuu wa mkoa kupanga utaratibu wake. Kila mkoa ni lazima utekeleze sera za nchi.
Tanzania kuna Sera ya Elimu?Bila hata kujua kiwango cha elimu ya mkuu wa mkoa wa Dodoma, mara moja naona makosa ya kiutendaji aliyonayo. Kwanza, yaonekana ni mtu asiyejua kuchagua maneno. Pili, hakujua mchakato upi uboreshe kiwango cha elimu mkoani kwake, siyo ufaulu anaotafuta. Elimu inaendeshwa kitaifa na siyo ki-mkoa.
Haiingii akilini kwamba mkuu wa mkoa anataka kuboresha ufaulu wa wanafunzi kwa kupambana na waziri wa elimu, kwa makambi ya elimu. Ili iweje?
Elimu ni mchakato wa miaka 7 kwa shule za msingi, miaka 4 sekondari, n.k. Kama kuna uzembe ktk miaka ya elimu, Mtaka anawezaje kuboresha uzembe huo kwa makambi ya miezi miwili? Yaani sasa hivi aanze, kufika septemba darasa la 7 wafaulu mtihani. Ni elimu gani hiyo?
Sera ya elimu ipo ili kudhibiti mawazo mfu kama haya ya akina Mtaka.
Umeeleza vizuri utekelezaji wa mtaala katika local level,lakini hautakiwi kukiuka sera yenyewe,kuwarundika watoto 1000 pamoja ndivyo mtaala unasema hivyo!? Unajua shule ya boarding kwa mujibu wa mtaala wanafunzi wanatakiwa wasizidi wangapi!? Usalama wao ukoje( moto,magonjwa,ulinzi) idadi ya matundo ya vyoo na miundo mbinu mingine inakidhi mahitaji!? Vipi ubora wa chakula,mtaala unatambua extra curriculum lakini sio utitiri wa mitihani na kumkaririsha majibu,umeshawahi jiuliza mbona Kuna wanafunzi wanafaulu lakini uwezo wao ni duni!? wadhibiti ubora wanafanyaje kazi zao hapo!?mtaka kachemka sanaMkuu Mtaala wa Taifa umetoa Sera tu, Kuwa muda wa kufundishia ni Masaa sita kwa siku. Lakini pia mtaala umetambua shughuli za ziada za kujisomea na kujiendeleza kimasomo Nje ya hayo masaa sita. Mtekelezaji hapo ni TAMISEMI kwa utaratibu wake.
11.3 Shughuli za ziada katika Mtaala
Shughuli za ziada katika Mtaala zitafanyika kwa lengo la kuimarisha maarifa na stadi ambazo mwanafunzi amejifunza ndani ya darasa. Hii itamwezesha mwanafunzi kuchangamana na wanafunzi wengine pamoja na mazingira ya nje ya darasa. Muktadha huu huimarisha ujenzi wa maana kwa yale anayojifunza. Shughuli hizo zitajumuisha klabu za masomo na maeneo mengine ya kujifunza. Vilevile zitakuwepo shughuli za michezo, uzalishaji mali, utamaduni, malezi na unasihi. Shughuli hizi zitawezesha wanafunzi kujifunza kwa kina. Ufuatao ni ufafanuzi wa shughuli za ziada katika Mtaala:
a) Klabu za masomo
Klabu hizi zitahusisha masomo mbalimbali na klabu za masuala mtambuka. Hizi ni kama klabu ya mazingira, VVU na UKIMWI, jinsia na haki za mtoto. Nyingine ni kama klabu ya stadi za maisha, kupinga/kudhibiti rushwa, afya, uelimishaji rika, biashara na usalama barabarani.
b)Michezo na sanaa
Wanafunzi watahimizwa kucheza michezo mbalimbali ili kuibua vipaji na vipawa ambavyo vitapaswa kuendelezwa. Michezo itafanyika kwa wanafunzi wote kufuatana na ratiba itakayopangwa na shule husika. Michezo hiyo ni pamoja na: uigizaji, uimbaji na riadha. Mingine ni kama mpira wa miguu, pete, mikono, kikapu, wavu, meza, mchezo wa bao. Umahiri katika shughuli za michezo umegawanywa kimadarasa kama inavyooneshwa kwenye Jedwali Na. 20.
TAMISEMI Iinatekeleza majukumu yafuatayo:-
i)Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Ugatuaji Madaraka (D byD), Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikaliza Mitaa, Maendeleo Mijini na Vijijini;ii)Kuziwezesha Tawala za Mikoa kutekeleza majukumu yake ya kisheria;iii)Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kutekeleza majukumu yake ya kisheria;iv)Kuratibu shughuli za utoaji wa huduma mijini kama vile usafiri na usafirishaji, upatikanaji wa maji safi na usafi wa mazingira;v)Kusimamia shughuli za Tume ya Utumishi wa Walimu;vi)Kusimamia shughuli za Elimu ya Msingi na Sekondari;vii)Kujenga uwezo wa watumishi wa OR –TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi; naviii)Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programuna Miradi iliyopo chini ya OR-TAMISEMI.
Mheshimiwa Spika,majukumu yanayotekelezwa na Mikoa ni kama ifuatavyo:-i)Kuhakikisha kunakuwepo amani, usalama na utulivu katika Mikoa na Wilaya;ii)Kusimamia na kuratibu shughuli zote za maendeleo katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa;iii)Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa ili zitekeleze majukumu yake kwa ufanisi;iv)Kufuatilia utekelezaji wa miradi na programu mbalimbali zinazotekelezwa na Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika maeneo yake;v)Kuratibu usimamizi na uendeshaji wa Elimu ya Msingi na Sekondari katika Mamlaka za Serikali za Mitaa;vi)Kusimamia uendeshaji wa Afya ya Msingi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa; navii)Kuhakikisha kuwa Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia misingi utawala.
National Curriculum inatambua shughuli za ziada nje ya muda wa masomo. Curriculum haijapanga muda wa kutokaUmeongea vema sana mkuu, watu wengi akiwepo Mtaka suala la national curriculum hawalielewi wanaendeshwa kwa miemko na kukosa busara tu.
Waziri wa elimu yuko sahihi 100% na bado katumia busara kutokurupuka kumjibu mkuu wa mkoa.
Hawa watoto tunawatesa sana kwa overdose,hii ni brain masturbation kwa watoto na haikubaliki kitaaluma!
Umeeleza vizuri utekelezaji wa mtaala katika local level,lakini hautakiwi kukiuka sera yenyewe,kuwarundika watoto 1000 pamoja ndivyo mtaala unasema hivyo!? Unajua shule ya boarding kwa mujibu wa mtaala wanafunzi wanatakiwa wasizidi wangapi!? Usalama wao ukoje( moto,magonjwa,ulinzi) idadi ya matundo ya vyoo na miundo mbinu mingine inakidhi mahitaji!? Vipi ubora wa chakula,mtaala unatambua extra curriculum lakini sio utitiri wa mitihani na kumkaririsha majibu,umeshawahi jiuliza mbona Kuna wanafunzi wanafaulu lakini uwezo wao ni duni!? wadhibiti ubora wanafanyaje kazi zao hapo!?mtaka kachemka sana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hujajua governance wewe...Mkoa ni strategic position siyo governance position...Kuna serikali mbili Tanzania; local ambayo ipo at village level where by-laws are formed and enforced (hii inaitwa operational level) na Central Government ambayo ina enforce constitutional laws( institutions at local and central are enforced congruently)...By-laws zinapitishwa na council at district level...Kwahiyo Mkuu wa Mkoa hana instruments, siyo budget wala sheria yeye anafanya link kati ya local na central government kwahiyo ni coordinator!Mkuu unafahamu maana ya SERA.
Unafahamu kuwa Usimamizi wa uendeshaji wa Shule za Msingi upo Chini ya TAMISEMI?
Unafahamu kuwa TAMISEMI kimkoa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa
Unafahamu pia majukumu ya kuhakikisha Ufauku katika shule za msingi mkoa ni la Tamisemi?
Suala la ratiba ya kutoka limewekwa na wizara ya Elimu , Lakini suala extra time au makambi kwa madarasa ya mitihani si Suala la kisera mkuu, Ni suala la Mikakati ya Ufaulu ndani ya mkoa.Kama halileti shida Wizara ya elimu haipaswi kuintervine sababu linaihusu TAMISEMI.
Woengi tunasahau kuwa Ofisi ya Mkuu wa mkoa ipo chini ya TAMISEMI kimkoa. Nilitegemea Ummy Mwalimu kuliingilia hili si Ndalichako sababu suala la uendeshaji wa Shule za Msingi ni ka TANISEMI
Tutafute maana ya SERA ya elimu kwanza ndo turudi
Hujajua governance wewe...Mkoa ni strategic position siyo governance position...Kuna serikali mbili Tanzania; local ambayo ipo at village level where by-laws are formed and enforced (hii inaitwa operational level) na Central Government ambayo ina enforce constitutional laws( institutions at local and central are enforced congruently)...By-laws zinapitishwa na council at district level...Kwahiyo Mkuu wa Mkoa hana instruments, siyo budget wala sheria yeye anafanya link kati ya local na central government kwahiyo ni coordinator!
Kutoelewa kwetu kwa governance ndiyo maana tunashindwa kuwafikia wananchi kwa usahihi na kwa uhakika...Kama governance inhefanywa inavyotakiwa budget ingetumika zaidi at operational level ambayo jurisdiction yake ni "Village Government" hii ni serikali kamili na wanafanya maamuzi ya raia ambapo kila mmoja anaamua kuhusu maisha yake (General Assembly).....Ugatushaji wetu unapokwa somewhere hasa inapokuja kwenye budget na ndiyo maana unakuta saa nyingine kuna hizi confusion za kunyang'anyana madaraka na migongano isiyo ya lazima...So to speak kwa swala la elimu ni baraza la madiwani lingeweza kuamua na kuweka by-laws ambazo hazikinzani na sheria mama (sera ya elimu ambayo inaenda sambamba na Katiba yetu)...Mkuu wa Mkoa angewa coordinate tu na kuhakikisha wapo sawa na wanaenda pamoja katika Mkoa wake, yeye hakuna sehemu anahusika kutunga au ku enforce laws...Nisahihisheni na niambieni Mkuu wa Mkoa anasimamia sheria gani? Je kuna sheria ya mkoa? Nchi yetu haina mikoa ambayo ni majibo...Kama hasimamii sheria ama ya central au local anawezaje kuamua kwa intuition yake? Hapa ndipo tunapo create confusion...Na kwakua watu wetu hawahoji wala kusema lolote hata viongozi wanaposema kwa utashi wao, basi tunajiendea tu hata bila kuongozwa na sheria, kanuni au miongozo na kuishia ku create conflicts zisizo na msingi...