Antony Mtaka hatumiki kikamilifu

Huyu kuwa mkuu wa mkoa sio level zake anastahili uwaziri, ni bonge la genius na anaushawishi Sana na ana maono sana
 
Atafaa Sana kama akipewa u pili halafu baadae umoja kama tetesi zikiwa kweli zikazidi zaidi ya matarajio!!!
 
Hamna kitu hapo, Dodoma imemshinda akawa bize kumpa mkwewe tenda ya kufyatua matofali ya shule za serikali.

Dodoma ili prove uwezo wake, kwamba anafaa kuongoza mashamba ya miti na parachichi
 
Asante mkuu kwa kuliona hili!. Huyu jamaa ana akili sana, na anajiamini!
 
Welcome to reality, na kama huamini angalia tu ofice nyingi, if you are smart unakuwa threat . Hawakuoni kama asset. Ziko ofisi chache zitakuchukulia kama asset.

Logic behind mabos hawataki kuonekana hawajui kazi. Hiki kitu kipo hadi ngazi za juu
Kabisa, yuko vizuri sana.
 
Yupo vizuri sana, ila ccm ina hazina nyingi sana ya viongozi
 
System ya Stanza haitaki watu smart mkuu, inataka stupid and famous kwa maslahi ya chama.
 
Never outshine your master mzee
Kweli mkuu hii rule inahusiana na hapa kwa hili aliloleta mleta mda?

Kwahiyo hata kutatua changamoto za ardhi, mashamba, miundombinu, hospital n.k huko ni kum - outshine master au sijaelewa Roadmap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…