captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Huyu kuwa mkuu wa mkoa sio level zake anastahili uwaziri, ni bonge la genius na anaushawishi Sana na ana maono sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafaa Sana kama akipewa u pili halafu baadae umoja kama tetesi zikiwa kweli zikazidi zaidi ya matarajio!!!Antony ana vipawa na vipaji ambavyo havijatumiwa kwa ukubwa wake, kila fulsa anazopewa anatosha kila mahali anapopangiwa anamudu mpaka chenji inabaki.
Watu wa jinsi yake huwa wanapatikana wachache kwa msimu, tunapopata bahati ya watu kama hawa tuwatumie vizuri.
Hamna kitu hapo, Dodoma imemshinda akawa bize kumpa mkwewe tenda ya kufyatua matofali ya shule za serikali.Antony ana vipawa na vipaji ambavyo havijatumiwa kwa ukubwa wake, kila fulsa anazopewa anatosha kila mahali anapopangiwa anamudu mpaka chenji inabaki.
Watu wa jinsi yake huwa wanapatikana wachache kwa msimu, tunapopata bahati ya watu kama hawa tuwatumie vizuri.
Asante mkuu kwa kuliona hili!. Huyu jamaa ana akili sana, na anajiamini!Antony ana vipawa na vipaji ambavyo havijatumiwa kwa ukubwa wake, kila fulsa anazopewa anatosha kila mahali anapopangiwa anamudu mpaka chenji inabaki.
Watu wa jinsi yake huwa wanapatikana wachache kwa msimu, tunapopata bahati ya watu kama hawa tuwatumie vizuri.
Kabisa, yuko vizuri sana.Welcome to reality, na kama huamini angalia tu ofice nyingi, if you are smart unakuwa threat . Hawakuoni kama asset. Ziko ofisi chache zitakuchukulia kama asset.
Logic behind mabos hawataki kuonekana hawajui kazi. Hiki kitu kipo hadi ngazi za juu
Waliomteua walimkuta humohumo serikalini,Unajua Waliomteua walipomtoa? Punguza shobo