Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi.
Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika?
Mfano unakuta sehemu nyingi n sehemu ambazo zipo nje ya mji ambapo miaka mitatu nyuma ilkua n shamba Ila aliekuwa anamiliki kaamua akate viwanja na hata jirani ya kiwanja utakuta n shamba Tena hapa najiuliza serikali imejipangaje kutatua hyo changamoto bila kugawanya/kuipima ardhi husika.
Kwa ninavyojua mimi binafsi pia naona itakuwa njema mfano tukisema huu n mtaa/barabara ya PUTIN Basi plot ya kwanza ianze kwa mtiririko 001,002, 003,004, ......... & etc Sasa hapa unakuta Nyumba hapa unapita eneo Kama mita 100 ndo unakuta Nyumba nyingine hapo katikati inakuaje?
Mie naona n Bora hyo pesa Serikali wangeanza na kuyarasimisha makazi kwanza pili barabara ifuate tatu maji yaingie nne wananchi wajenge tano umeme ufike na mwisho hao wa anuani watakuwa wanaweza kugawa hzo anuani zao hata Kama plot haijapata mmiliki.
Karibuni mnifute tongotongo