Anubi: Mungu wa mauti na vifo

Anubi: Mungu wa mauti na vifo

Hapa duniani kuna nchi mbili ambazo zina maajabu mengi ya kale na yasiyo na maelezo ya kisayansi, India na Egypt. India ina vitu vya ajabu sana kuanzia maandishi ya kale na vitu vilivyopo ambavyo havina maelezo ya kisayansi ya kueleweka.
na misri je??
 
Achana na sayansi,
SAYANSI HAINA MAJIBU KATIKA IMANI AU MUNGU.
 
Kwa hiyo shetani yuko je,na mtu utamjuaje?
Personally I think it's just a fictional scapegoat for human failings.
kama ya kukujibu Labda nkuulize

Na kuhusu Mungu nayo waamini ni fiction???
 
Hapa duniani kuna nchi mbili ambazo zina maajabu mengi ya kale na yasiyo na maelezo ya kisayansi, India na Egypt. India ina vitu vya ajabu sana kuanzia maandishi ya kale na vitu vilivyopo ambavyo havina maelezo ya kisayansi ya kueleweka.
Kama kila mtu ataongea hivi basi kila mtu atataja nchi zake. Kisomi unatakiwa uweke na evidence. Bila evidence unaongea tu kubwabwaja.
 
Nimeongea wka kifupi sikuongea kama vile ninaandika makala. India ni nchi yenye mambo mengi ya ajabu sana. Ningekuwa ninaandika makala ningeyaorodhesha maajabu ya India ila kwa kuwa nilikuwa nacomment na niliyekuwa najadiliana naye yeye amenielewa ndiyo maana akaongeza Greece.
 
😊
 
Back
Top Bottom