ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Kwa hiyo binadamu akifa anaoza basi?
 
Kua na heshima bas, kama elimu ya bibilia ime kutosha hii tuachie tujifunze
Achana nae huyo boya yaani alivyo mfinyu wa Akili anadhani biblia aliyosoma imemaliza Kila kitu bila kujua walioikusanya waliweka chapter zinazowafaa wao Kwa maslahi Yao,Kuna vitabu vingi Sana ambavyo vimetajwa Kwa bible kama reference mfano book of Enoch,Jasher, Giants na vingine vingi Sana ambavyo wahuni wa Nicea hawakuviainisha et havina uvuvio wa Roho mtakatifu ,ikiwa mwenye Akili timamu ni lazima uhoji walitumia vigezo vipi kujudge unabaki na mshangao ila waumini kama huyo boya hayajui Haya anabaki akibwajaja ujinga ujinga na ujuaji usio na faida
Ni wa kupuuziwa!
 
Watu kuweka kumbukumbu zao kwenye maandishi haimaanishi kwamba waliokuwa hawaandiki walikuwa hawajui chochote!

Jamii nyingi zilitunza kumbukumbu kwa njia za kusimuliana. Miungu/Mungu halina ubishi ni kama kila jamii iliiamini toka kale.
 
Haijaandikwa popote juu ya Asili ya hao hayawani Bali Annunak waliwakuta tu wanasurvive hapa hapa Duniani!
Hapo sasa tumeelewana!

Sasa tumalizie swali la lingine;

Sasa, muumba wa vyote wanadamu (kabla ya unachokisema kuwa modified), mimea, wadudu n.k...
Dini zingine zimeandika habari za huyo muumba wa vyote.

Kwanini unasema haijaandikwa popote? Wakati unakiri kusoma baadhi ya vitabu vya dini hizo?
 
Watu kuweka kumbukumbu zao kwenye maandishi haimaanishi kwamba waliokuwa hawaandiki walikuwa hawajui chochote!

Jamii nyingi zilitunza kumbukumbu kwa njia za kusimuliana. Miungu/Mungu halina ubishi ni kama kila jamii iliiamini toka kale.
toka kale Gani na SUMERIAN waliishi zama zipi?
Nimeshakwambia Mesopotamia ndio msingi wa modern human yaani hapo ndipo Kila dhana unayoijua Katika Maisha ya mwanadamu ilianzia
Kuanzia Kilimo ,ufugaji,Ujenzi wa makazi ya kudumu,Muungano wa jamii zilizoishi Katika shina la familia, ngazi ya vijiji na miji,
Biashara mbali mbali, usafiri wa nchi kavu Kwa kuwatumia wanyama farasi,punda nk,

Pia kulikua na usafiri wa majini Kupitia mito Euphrates na Tigris
Pia Wasumeria ndio binadamu pekee walianza unda merikebu Toka Hapo kale,nadharia za kuabudu Mungu na Miungu hazikuachwa nyuma,

Yaani ukizungumzia Mesopotamia na jamii zake za Wasumeria,Akkadian, Babylonian,Indus Valley,Uruk na Ukaldayo hapo ndio msingi wa historia ya mwanadamu wa kisasa,
Haya wewe naomba nitajie sehemu nyingine unazodai zilikua na ustaarabu tofauti na hizo!
 
Nadharia za hizo dini zinataja Mungu muumba wa vyote, hiyo ya kwako ni ya miungu iliyomodify kiumbe mmoja tu...hapo unaona kuna mfanano?
 
Driving Force itakuwa, ambacho sitaki kutendewa, nisiwatendee wengine. Na ambacho napenda kutendewa inanipasa niwatendee wengine pia.
 
ndugu mimi naomba niulize,sawa hao anunaki waliacha elim zao hapa,lakini je kuhusiana na dunia nyingine ya uchawi dunia zisizoonekana zenye maendeleo kuliko sisi tuliopo kwenye dunia hii inayaonekana, je anunaki wanahusika pia kuacha dunia iliyojificha na inayoonekana?
 
Sikia wewe dogo boya ni wewe na wenzako tushakupiga maswali unarukaruka tu. Usijikute unazo akili kwa vitu walivyoandika watu wenye akili wote Sisi tunasoma tu hizo habari usijfanye mjuaji sana.

Unadhani unalosoma ukileta ndio halina kupingwa,hivyo vitabu vyenyewe tu bina critics zake pia na hata mada yoyote ukileta kunakuwa na critics lazima unadhani kila jambo utakalosema watu watakubali straight uko dunia ya wapi.

Hakuna kitabu au maandishi duniani ambayo kaandika binadamu akosakane mkosoaji.
The anunnaki ancient civilisation sijapinga hizo habari zipo na wasomi kibao duniani wanazijua na wapo waliopinga,wewe ni nani kuwa ndio unajifanya unazielewa sana.
Tunaku criticize kwa maswali jibu unaruka wewe boya sana wewe dogo,tena mfinyu wa kufikiri huna critical thinking unameza kila kitu kama kibuyu cha demu malaya pale kimboka ebo kuwa na adabu shubamiit.

Nachokuambia hizo mada hujazielewa vizuri soma tena na uelewe mvumbuzi mwenyewe wa mambo hayo Zachariah alikubali challenges,wewe ni nani umesoma tu unajifanya umeelewa acha kuwa hanithi basi bwege wewe.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Huyo mnunaki aliwezaje kumfanya Kiumbe anayeitwa mwanamke apende Pesa kiasi hiki.??[emoji1787][emoji23]
 
Driving Force itakuwa, ambacho sitaki kutendewa, nisiwatendee wengine. Na ambacho napenda kutendewa inanipasa niwatendee wengine pia.
Utakuwa umeishi na umetenda na kuenenda vema kabisa, sema utakuwa umekosa labda ile kujitambua tu na kulitambua lengo lako kwa makusudi mapana zaidi ya ulimwengu wote. Nitatoa mfano;

Mfano wenyewe ni wa kibailojia[with a lot of imagination🤦‍♂️] maana ndo nnachokijuajua kiasi chake: vidole vya mkono vinaweza kushirikiana[vyenyewe kwa vyenyewe] na kusaidiana kukamata vitu na vikifanya hivyo vitakuwa vimetimiza lengo la kuwepo kwake na vitakuwa na furaha kiasi kutimiza hilo. Na yule mtu anayevimiliki atafurahi na anaendelea kuvipenda na kuvimiliki. Sasa imagine vikajitambua kwamba vyenyewe ni sehemu ya mwili mkubwa zaidi unaojumuisha hadi moyo hadi ubongo? Na kazi vinayofanya inamfurahisha mtu mwenyewe mzima kwa ujumla wake!! mi naona vitakuwa na furaha zaidi.

Kwa vidole mtu ndo kama mungu wao kwa hiyo hata vikiishia tu kusaidiana vitakuwa viko sawa na ni sahihi sema kama vingejitambua na kumtambua mtu wao ingependeza zaidi. Na mind you hiyo ni kwa faida yao vyenyewe havimuongezei kitu wala kumpunguzia kitu mtu husika. Kumtambua Mungu ni kwa faida yetu wanadamu, kwa upendo wake anatutafuta lakini make no mistake humpunguzii kitu kwa kukataa kumtambua.
 
Hii hapa ni ushauri kwa Dumas the terrible : Nimependa unavyojitahidi kuzitafuta taarifa na kuutafuta ukweli komaa mwanangu maana hiyo ndiyo kazi yetu hapa duniani. Usiache. Tumia logic yako[na kwa msaada wa roho mtakatifu] kujua kipi sahihi kipi sio.

Angalizo tu ni kwamba unapotumia logic hii huwa inaathiriwa na premise iliyopo tayari, kwa hiyo unaweza ukaona stori inaenda vizuri, very logical kumbe imesimama kwenye premise hewa!. Kuwa makini. Ndio maana kila wakati nakuuliza lengo lako/letu kuu hapa duniani unafikiri ni nini ili niijue premise yako, au hata usipoisema at least uwe na msimamo nayo.
Na unapotumia 'roho'[sina hakika kama unaamini hili] napo pia kuwa makini usichotwe na preconceived notions and emotions ukaanza kutafsiri mambo kivyakovyako badala ya uhalisia unaofunuliwa.
 
Umekaa kishari sana, na huo mtazamo wako mgando unakupofua hadi huoni tofauti ya maoni binafsi na mashambulizi. Hebu eleza kwa undani hayo unayoropoka tu. Wivu upi unaongelea? Wapi nimedai unapotosha?
 
Duuu Hilo nashindwa kujibu mkuu Bado nipo Kwenye utafiti kuhusu hiyo Dunia isiyoonekana na maswala kama hayo,
Hahahahah pia kuhusu Dunia ya uchawi nadhani unazungumzia GAMBOSH au sio,Ngoja nitafiti ipo Siku nitakuja na majibu!
 
Umekaa kishari sana, na huo mtazamo wako mgando unakupofua hadi huoni tofauti ya maoni binafsi na mashambulizi. Hebu eleza kwa undani hayo unayoropoka tu. Wivu upi unaongelea? Wapi nimedai unapotosha?
Sorry Labda nilichanganya member na quote mkuu Kuna Mwingine Humu kadai napotosha ndio maana nimepanic kidogo maana kama nimeleta bandiko la kupotosha yeye aje akanushe Kwa bandiko la kutopotosha Ili Watu waujue ukweli sio maneno matupu bila fact!
 
Nadharia za hizo dini zinataja Mungu muumba wa vyote, hiyo ya kwako ni ya miungu iliyomodify kiumbe mmoja tu...hapo unaona kuna mfanano?
Annunak hawakumodify human tu Bali na wanyama,mimea na ndege
Angalia baadhi ya wanyama na ndege wafugwao jiulize Wana connection Gani na binadamu mfano paka,mbwa,ngombe,punda nk hao hata ukiwapeleka mbali na makazi ya Watu yaani mwituni watafanya Juu chini watafute makazi ya binadamu yalipo maana Asili Yao ni hivyo,
Nikuulize kitu hao wanyama walianzaje kuishi na binadamu hapo mwanzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…