Huna authority bwana mdogo akili finyu ya kuniambia kitu ambacho umekisoma,ebo be serious.Hahaaahhaahah pale akili ndogo inapojudge mambo magumu,nilitegemea utakuja na fact kukanusha madai ya Accient civilization kupitia maandiko ya Sumeria ila umeshindwa unaishia kubabaika tu nikikuuliza tablet Gani ya Wasumeria ambayo haijaelezea the begging of life Katika Dunia hasa kumhusu Mwanadamu na Mtu wa kwanza?
Hizo Sumerian tablets umewahi zisoma kamanda au unabisha kitu ambacho hata huna idea nacho kama ilivyo kawaida ya Waafrika wengi wa dizaini Yako?
Kingine Broo ngoja nikuchane Hiyo Elimu tu ya kuhusu hizi Dini za Abrahamic naijua nje ndani,na Tena nilikua muumini kindaki ndaki yaani kiufupi theolojia hainipigi chenga kiasi kwamba hata nikikutana na askofu wako tutashare glass ya champagne vizuri tu,
Halafu kingine watu kama nyie hua ni watetea Dini msiokua na ufahamu wowote zaidi ya kukariri bible verses mkijiona mnajua sana kuliko wengine,
Trust me Broo Kwa Elimu na ufahamu nilionao kuhusu Dini hasa ya ukristo nauwezo wa kujiita mtume na Nabii na nikakufanyia ushawishi ukaja nikupige sadaka,
Usione tunatoa hizi Elimu ukadhani tumepagawa na mapepo la hasha tunaujua ukweli mchungu ambao hampendi kuusikia ila Kwa maslahi ya kikundi Cha
Inaonesha una upeo mdogo wa akili na kuchanganua mambo na Tatizo nilionalo kwako ni Mtu ambaye hutumii mantiki kureson baadhi ya mambo,
Kitu ambacho nilisisitiza Toka mwanzo ni kwamba Habari za Annunaki na Accient civilization hayahusiani na Imani na hata wao ANNUNAK hawakujiona ni Miungu ila Hiyo ilichangiwa na binadamu waliowafanya kuwaona na kuwapa title ya MUNGU/Miungu na ndio nadharia za Dini zikazaliwa,
Upo too imational kuhusu hii mada sababu Toka Mwanzo nakuambia Maswala hayo waanzilishi ni wao na wao sio MUNGU Kwa nadharia za watu wa Dini Bali Kwa nadharia tofauti Sana na mnavyochukulia
Mpaka hapa Sina msaada na wewe mwenye kuelewa na aelewe!
Hiyo anunnak and sumeria ancient civilisation watu wameshasoma sana hizo habari.
Hivi kwa akili zako ndogo wachungaji,maaskofu,mapadre,masheikh na watu dini mbalimbali kwa level zao za elimu hawana hizo habari za Anunnak na hawazielewi kabisa,ila umekuja wewe sijui umetokea wapi baada ya kusoma tu umeona umeelewa vyema,yaani uko deep basi unakuja na conclusion zako kuwa oooh tumepigwa oooo hakuna Mungu oòoh hakuna hiki wala kile.
Nishaku challenge maswali kadhaa hapo juu na umeshindwa kujibu unakimbilia kuita watu hawana akili. Dogo hizo akili zako ziko wapi hizi za kusoma anunnak and ancient civilisation.
Nishakuuliza hao Anunnak kwa mujibu ulivýosoma,walipokuja duniani kutafuta dhahabu walikuta kuna viumbe wengine?
Ukiondoa binaadamu walikuta kuna viumbe gani?
Ukajikanyaga tu oooh walikuta kuna primitive homo sapiens sijui wakaanza kuwafanyia modification,sijui wakafanya human cloning and human manipulation.
Nikakuuliza kuwa vipi kuhusu viumbe wengine kama wadudu wanyama na mimea?
Baadae ukadai ooh walitengeneza vyote hivyo.
Kuna mdau akakuuliza je hao Anunnak waliikuta dunia tupu,ni nani aliumba dunia ukakosa jibu.
Walikuja duniani kutoka sayari ya nibiru meaning that na wao ni viumbe,ila binaadamu walioumbwa nao wakawapa umungu tu ila wao sio miungu,isipokuwa baba yao ndio Mungu wa huko nibiru sikatai sawa kwa mujibu wa hizo ancient tablets.
Je huyo baba yao Ak alikuwa Mungu wa ngapi kwa kipindi hicho wanawe wanakuja hapa duniani.
(MUNGU ni cheo kwa mujibu wa sumerian tablet)
Kwa maana hiyo kuna wakati katika utawala wa huko nibiru kulikuwa na mtawala YHYW ambaye Israelites ina quote kama Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo.
Sasa tuambie wakati hawa anunnaki wanashuka hapa planet earth katika mission yao ya kutafuta dhahabu je,wakati huo ulikuwa utawala wa An na ulikuwa utawala wa ngapi na YHYW yeye utawala wake ulikuwa wa ngani kutoka huu wa An.
Ukaja na jazba oooh wewe huna elimu ya historical time chatline.
Nikakujibu elimu iyo ninayo na watu humu si wajinga hiyo elimu wanayopia.
Sasa ebu anza kuelezea kwa mantinki kwa kuendana na wakati hao anunnak walikujaje na lengo lao nini na watakuja tena lini?
Usikimbilie kusema oooh mkafanye research wenyewe,hapana wewe dadavua tu hapa si umeleta hii mada mwenyewe watu tunataka tuelewe mwisho wake una conclude na nini?
Hapo mwanzo umesema hii mada haihusiani na dini lakini wewe mwenyewe unajikuta unataja watu wa dini,so tukubaliane kuwa hii mada haiwezi kutengana na wafia dini hata ufanyeje,kwa sababu ukishaongelea uumbaji umeongelea imani za dini pia.
Na ndio maana kuna sehemu nilikuambia hili swala zima la anunnaki majibu yake yako kwenye bible(mwanzo6)kama sikosei kuhusu wanefili.
Kwa taarifa yako na najua unajua hawa nefili jamaa zako Anunnak ni fallen angels tu,ni kazi ya shetani tu hiyo hakuna kingine bado hujui mengi kwenye ulimwengu wa roho dogo.
Nakusisitiza kajifunze tena usimeze mambo uwe unaelewa.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app