ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Hahaaahhaahah pale akili ndogo inapojudge mambo magumu,nilitegemea utakuja na fact kukanusha madai ya Accient civilization kupitia maandiko ya Sumeria ila umeshindwa unaishia kubabaika tu nikikuuliza tablet Gani ya Wasumeria ambayo haijaelezea the begging of life Katika Dunia hasa kumhusu Mwanadamu na Mtu wa kwanza?
Hizo Sumerian tablets umewahi zisoma kamanda au unabisha kitu ambacho hata huna idea nacho kama ilivyo kawaida ya Waafrika wengi wa dizaini Yako?

Kingine Broo ngoja nikuchane Hiyo Elimu tu ya kuhusu hizi Dini za Abrahamic naijua nje ndani,na Tena nilikua muumini kindaki ndaki yaani kiufupi theolojia hainipigi chenga kiasi kwamba hata nikikutana na askofu wako tutashare glass ya champagne vizuri tu,
Halafu kingine watu kama nyie hua ni watetea Dini msiokua na ufahamu wowote zaidi ya kukariri bible verses mkijiona mnajua sana kuliko wengine,
Trust me Broo Kwa Elimu na ufahamu nilionao kuhusu Dini hasa ya ukristo nauwezo wa kujiita mtume na Nabii na nikakufanyia ushawishi ukaja nikupige sadaka,

Usione tunatoa hizi Elimu ukadhani tumepagawa na mapepo la hasha tunaujua ukweli mchungu ambao hampendi kuusikia ila Kwa maslahi ya kikundi Cha

Inaonesha una upeo mdogo wa akili na kuchanganua mambo na Tatizo nilionalo kwako ni Mtu ambaye hutumii mantiki kureson baadhi ya mambo,
Kitu ambacho nilisisitiza Toka mwanzo ni kwamba Habari za Annunaki na Accient civilization hayahusiani na Imani na hata wao ANNUNAK hawakujiona ni Miungu ila Hiyo ilichangiwa na binadamu waliowafanya kuwaona na kuwapa title ya MUNGU/Miungu na ndio nadharia za Dini zikazaliwa,

Upo too imational kuhusu hii mada sababu Toka Mwanzo nakuambia Maswala hayo waanzilishi ni wao na wao sio MUNGU Kwa nadharia za watu wa Dini Bali Kwa nadharia tofauti Sana na mnavyochukulia

Mpaka hapa Sina msaada na wewe mwenye kuelewa na aelewe!
Huna authority bwana mdogo akili finyu ya kuniambia kitu ambacho umekisoma,ebo be serious.
Hiyo anunnak and sumeria ancient civilisation watu wameshasoma sana hizo habari.
Hivi kwa akili zako ndogo wachungaji,maaskofu,mapadre,masheikh na watu dini mbalimbali kwa level zao za elimu hawana hizo habari za Anunnak na hawazielewi kabisa,ila umekuja wewe sijui umetokea wapi baada ya kusoma tu umeona umeelewa vyema,yaani uko deep basi unakuja na conclusion zako kuwa oooh tumepigwa oooo hakuna Mungu oòoh hakuna hiki wala kile.

Nishaku challenge maswali kadhaa hapo juu na umeshindwa kujibu unakimbilia kuita watu hawana akili. Dogo hizo akili zako ziko wapi hizi za kusoma anunnak and ancient civilisation.
Nishakuuliza hao Anunnak kwa mujibu ulivýosoma,walipokuja duniani kutafuta dhahabu walikuta kuna viumbe wengine?

Ukiondoa binaadamu walikuta kuna viumbe gani?
Ukajikanyaga tu oooh walikuta kuna primitive homo sapiens sijui wakaanza kuwafanyia modification,sijui wakafanya human cloning and human manipulation.
Nikakuuliza kuwa vipi kuhusu viumbe wengine kama wadudu wanyama na mimea?
Baadae ukadai ooh walitengeneza vyote hivyo.
Kuna mdau akakuuliza je hao Anunnak waliikuta dunia tupu,ni nani aliumba dunia ukakosa jibu.

Walikuja duniani kutoka sayari ya nibiru meaning that na wao ni viumbe,ila binaadamu walioumbwa nao wakawapa umungu tu ila wao sio miungu,isipokuwa baba yao ndio Mungu wa huko nibiru sikatai sawa kwa mujibu wa hizo ancient tablets.
Je huyo baba yao Ak alikuwa Mungu wa ngapi kwa kipindi hicho wanawe wanakuja hapa duniani.

(MUNGU ni cheo kwa mujibu wa sumerian tablet)
Kwa maana hiyo kuna wakati katika utawala wa huko nibiru kulikuwa na mtawala YHYW ambaye Israelites ina quote kama Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo.
Sasa tuambie wakati hawa anunnaki wanashuka hapa planet earth katika mission yao ya kutafuta dhahabu je,wakati huo ulikuwa utawala wa An na ulikuwa utawala wa ngapi na YHYW yeye utawala wake ulikuwa wa ngani kutoka huu wa An.
Ukaja na jazba oooh wewe huna elimu ya historical time chatline.
Nikakujibu elimu iyo ninayo na watu humu si wajinga hiyo elimu wanayopia.
Sasa ebu anza kuelezea kwa mantinki kwa kuendana na wakati hao anunnak walikujaje na lengo lao nini na watakuja tena lini?

Usikimbilie kusema oooh mkafanye research wenyewe,hapana wewe dadavua tu hapa si umeleta hii mada mwenyewe watu tunataka tuelewe mwisho wake una conclude na nini?
Hapo mwanzo umesema hii mada haihusiani na dini lakini wewe mwenyewe unajikuta unataja watu wa dini,so tukubaliane kuwa hii mada haiwezi kutengana na wafia dini hata ufanyeje,kwa sababu ukishaongelea uumbaji umeongelea imani za dini pia.
Na ndio maana kuna sehemu nilikuambia hili swala zima la anunnaki majibu yake yako kwenye bible(mwanzo6)kama sikosei kuhusu wanefili.

Kwa taarifa yako na najua unajua hawa nefili jamaa zako Anunnak ni fallen angels tu,ni kazi ya shetani tu hiyo hakuna kingine bado hujui mengi kwenye ulimwengu wa roho dogo.
Nakusisitiza kajifunze tena usimeze mambo uwe unaelewa.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Akuna kitu kama hicho watu
Mnapaswa kuwa Na fikiria kwanza
Mnaposema mwanadamu aliumbwa Na anunaki kwasababu ya kuchimba zahabu
Duniani
Hizo zahabu zilitengenezwa Nanani au ziliumbwa Nanani? Au dunia kipindi icho iliumbwa Nanani ?

Acheni Zarau bwana anunaki sio kitu ni michoro tu
Hawa madogo wamepagawa na hizo opium za Anunnak,majibu yako kwenye bible Anunnak ni fallen Angels.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Dogo tena wewe dogo sana jipe moyo kuwa unajua Sanaa hizo tablets uje juzi tu hapa duniani alafu unadai kuwa unajua teolojia kuliko askofu wangu,unaweza kuchukua sadaka yangu au pesa yangu.
Kweli utandawazi na uhuru wa kufikiria,nakupa tu pole nenda kajifunze tena dogo hujaelewa chochote cha msingi ndani ya hizo hekaya za sumeria na hujui chochote kuhusu dini yoyote.
By the way huna uwezo wa kufikiria,nilichoona kwako unaweza tu kuhifadhi data nyingi ulizosoma kutoka vitabu mbalimbali ila uwezo wa kufikiria huna na sikia dogo nina uhakika hayo umeyameza kama yalivyo na utakaa nayo kama yalivyo hayana maana kwako wala kwa jamii yako.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Acha kujitia ukubwa Kwa kuniita dogo hapa jamvini Arif,hapa kipimo Cha ukubwa ni ukomavu wa Akili Huko umri ikiwa Namba tu,

Respect ni kitu Cha mhimu Sana Katika Maisha,jifunze kuheshimu Watu
Kingine kama unaona Mimi nimekariri Hii Elimu hapa ushauri wangu na wewe itafute Tena usiishie kukariri kama Mimi Bali uielewe pia ndio uje hapa ubishane na Mimi,
Tatizo lako unajitia ukubwa Huko ukiwa mjinga kama ungekua mwerevu madai ya yangu yangepingwa Kwa fact sio mipasho kama ufanyavyo na ungeenda mbali Kwa kukanusha source na vyanzo nilivyoweka hapa kuhusu Accient civilization ungefanya la maana ila
Sababu unaonesha utoto nakupuuzia!
 
Dogo wewe ndio hutumii akili nadhani unakurupuka sana ukishasema Mungu tu maana yake ni imani tayari,basi jaribu hata kuwa na akili hata za kuvukia barabara.
Ndio maana hapo mwanzo nishakuambia hii mada unaleta unajichanganya wewe mwenyewe ni kama jambo unalolijua wewe mwenyewe umejiaminisha ni kweli basi akili yako ndogo imelinasa kama sumaku unashindwa kutetea hoja zako.
Anza mwanzo nenda mpaka kwenye lengo lako unazunguka zunguka sana,mara haihusu watu wa dini kama haihusu watu wa dini Abraham na dini yake wanaingiaje hapa.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Bado mtoto Kwenye maswala Haya ushauri wangu acha kubweka hapa nenda site kapate hii Elimu nayoimwaga hapa,narudia Tena wewe Bado kindergarten yaani Kwenye maswala ya Imani na nadharia za Mungu/Miungu Bado upo chekechea believe me,
Yaani kama Mpaka Leo unachukulia swala la Mungu ni Imani pole Sana,trust me hujui kitu kumhusu huyo Mungu unayedai maswala yake ni Imani wakati wenye Akili timamu wanajua hilo jina ni cheo tu hata Mfalme Zumaridi anacho!
 
Hawa madogo wamepagawa na hizo opium za Anunnak,majibu yako kwenye bible Anunnak ni fallen Angels.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
hahahahahah Vituko kama hivi utavikuta Facebook Sasa ulichokua unabisha Nini kama Biblia imesema Annunak ni fallen angel kumbe ulikua unajua kuwahusu ila unaleta ujuaji na ubishi wa kijuha tu hapa Haya
Haya Tupe na Elimu broo hao fallen angel ndio kina nani?
na Walishuka wapi?
Kwa malengo yapi?
Na Leo wapo wapi?

Mwaga maelimu hapa kuwahusu hao Fallen angel ambao umedai Biblia imewataja
Tunasubiri!
 
Acha kujitia ukubwa Kwa kuniita dogo hapa jamvini Arif,hapa kipimo Cha ukubwa ni ukomavu wa Akili Huko umri ikiwa Namba tu,
Respect ni kitu Cha mhimu Sana Katika Maisha,jifunze kuheshimu Watu
Kingine kama unaona Mimi nimekariri Hii Elimu hapa ushauri wangu na wewe itafute Tena usiishie kukariri kama Mimi Bali uielewe pia ndio uje hapa ubishane na Mimi,
Tatizo lako unajitia ukubwa Huko ukiwa mjinga kama ungekua mwerevu madai ya yangu yangepingwa Kwa fact sio mipasho kama ufanyavyo na ungeenda mbali Kwa kukanusha source na vyanzo nilivyoweka hapa kuhusu Accient civilization ungefanya la maana ila
Sababu unaonesha utoto nakupuuzia!
Wewe dogo tu kiumri ni dogo ni kiakili ni mdogo tu sana kama nukta,wewe umekariri nimekupa maswali na umeshindwa kujibu nishakuambia na uelewe huns authority ya kunielewesha unayo chance ya kutupa habari tu.

Kuelewa watu tunaelewa ndio maana tunakuuliza maswali unaleta majibu ya bangi mbichi.
Nakushauri nenda kasome tena this time uelewe na uje na majibu ya maswali yetu,usijitie ujinga wa kupuuzia maswali haya yote umeyasoma na wala hukuyavumbua usijitie unazo akili za kubandika habari kwenye ubongo wako na ukashindwa kuzidadavua.
Nenda kasome tena ujibu hayo maswali au laa unaleta porojo tu hapa

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Bado mtoto Kwenye maswala Haya ushauri wangu acha kubweka hapa nenda site kapate hii Elimu nayoimwaga hapa,narudia Tena wewe Bado kindergarten yaani Kwenye maswala ya Imani na nadharia za Mungu/Miungu Bado upo chekechea believe me,
Yaani kama Mpaka Leo unachukulia swala la Mungu ni Imani pole Sana,trust me hujui kitu kumhusu huyo Mungu unayedai maswala yake ni Imani wakati wenye Akili timamu wanajua hilo jina ni cheo tu hata Mfalme Zumaridi anacho!
Wewe ndio mdogo kwenye kila nyanja nina uhakika unachojua ni kusoma tu na ukipigwa maswali unapaniki.

Wehu huwa una kawaida ya kuanza hivi hivi ya kuona wanaokuzunguka ni wehu,kumbe wewe ndio mwehu mwenyewe,unataka heshima jibu maswali sio unaleta mada na conclusion zako za ajabu.

Jibu maswali hapo juu,planet earth hao Anunnak walipokuja ni nani aliyeitengeneza,walivyovikuta ni nani aliyevitengeneza jibu hatua kwa hatu with historical time chat with evidence. Hizo sumeria plates walizoandika pia ni binaadamu tu kama wewe,unathibitisha vipi hizo ni habari za kweli.

Haya ndio ni habari za kweli unathibitisha vipi kuwa wao ndio walikuja kutengeneza binaadamu. Acha utoto acha ujinga jibu maswali maswali ni mengi sana usikwepe hata moja na yatakuja mengi sana.

By the way ukitaka heshimu toa kwanza heshima utaipata heshima,ukiita watu wajinga na wao watakuona mjinga tu.
Aya endelea kutudanganya

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Bado mtoto Kwenye maswala Haya ushauri wangu acha kubweka hapa nenda site kapate hii Elimu nayoimwaga hapa,narudia Tena wewe Bado kindergarten yaani Kwenye maswala ya Imani na nadharia za Mungu/Miungu Bado upo chekechea believe me,
Yaani kama Mpaka Leo unachukulia swala la Mungu ni Imani pole Sana,trust me hujui kitu kumhusu huyo Mungu unayedai maswala yake ni Imani wakati wenye Akili timamu wanajua hilo jina ni cheo tu hata Mfalme Zumaridi anacho!
Kabla hujapinga kitu jaribu kutafuta maana yake kabla hujapinga.
Nini maana ya Imani?
Nini maana ya Mungu?
Kuna mawasiliano gani kati ya Mungu na kiumbe wake,njia ni ipi?
Perception ya kiumbe kujua mambo yasiyobayana ni nini?
Ebu tupe jibu wewe kijana mwenye kuijua teolojia ya dini ya Abraham.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Binadamu ni kiumbe mbishi Sana yaani Ili uamini habari za Annunak ilikupasa tutumie Lugha zao hahahaha
Hivi unajua accient Sumerian walikua na chart Yenye alfabet 600?
Ukiachana na hizi 26 za kwetu?
Yaani wewe kujua
ABC mapka Z unajiona mjanja Kwa taarifa Yako jamii za kale ziliongea Mpaka Lugha ya Hesabu yaani Kwa kutumia namba Lugha ilitengenezwa
Hao ndio accient civilization wanaoushangaza ulimwengu wa kisasa
Leo ukienda Museums za ulaya wamehifadhi Hizo Lugha na zinawashinda kutafsiri endapo wakiweza Hii Dunia haitakua kama uionavyo kamanda usidhani maendeleo uyaonayo yamekuja Kwa bahati Mbaya Leo upo na ki smartphone Cha Tecno hujui hata aliyegundua alipata Wapi formula Endelea kukariri
Mimi nakupeeni elimu tu nyie Waafrika mlio nyuma Kwa Kila kitu Hadi Leo mtu hajui mwanzo wao Huku mkikaria nadharia za Kuumbwa na Mungu hata huyo Mungu hammjui Hivi mna akili nyie
Inasikitisha sana!
😁😁😁😁
mkuu Annunaki waliumbwa na nani?
 
mkuu Annunaki waliumbwa na nani?
Hilo swala ni gumu kukujibu Kwa sababu wao walitaja tu Sayari waliyotokea ambayo ni Intelligent Planet Nibiru na ndio mwandiko ya sumerian yanadai,
Ila kuhusu modern human yaani Homo sapiens alitengenezwa na wao hivyo kutokana na nadharia za uumbaji binadamu ndie aliumbwa na Annunak ila wao haijulikani!
 
Kabla hujapinga kitu jaribu kutafuta maana yake kabla hujapinga.
Nini maana ya Imani?
Nini maana ya Mungu?
Kuna mawasiliano gani kati ya Mungu na kiumbe wake,njia ni ipi?
Perception ya kiumbe kujua mambo yasiyobayana ni nini?
Ebu tupe jibu wewe kijana mwenye kuijua teolojia ya dini ya Abraham.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
IMANI- swala la kuamini nadharia Fulani ambayo inashindwa thibitishwa Katika mazingira halisia,Imani pia ni kama hisia juu ya swala Fulani ambalo huna uhakika nalo,

MUNGU - ni cheo Cha mtawala mkuu wa 12th Planet Nibiru (Heaven)
Ambapo Katika accient SUMERIAN tablets Ina maana ya
(Master of high chamber)

Katika Sumeria neno MUNGU Ndipo lilipoanzia wakimtaja
ANU mtawala mkuu wa ANUNNAKI Huko
(Nephilim 12th Planet Nibiru)

Vipi Bado hujaelewa?
 
Hebu leta Yako yenye uhalisia na Mifumo iliyopo itapendeza tujifunze hapa hapa!
Relax. Gospel yangu ni kuhoji kila kitu. Siwezi kusambaza uongo ili mradi nijionyeshe najua mambo. Cha kujifunza elimu na maarifa vina tabia ya kukua sambamba na mstari wa muda. Sio regressive. Hizo hadithi ni za kale unategemeaje kuwe na jambo jipya na la maana kwa nyakati hizi? Eti nilete yangu. Nkt.
 
ukiwa ni mwenye akili timamu huwezi watenganisha accient Sumerian na dhana za Mungu na miungu hebu Soma kichwa Cha mada acha kukurupuka,
Mesopotamia ndipo ilipoanzia dhana ya Mungu na hekalu la kwanza la Mungu ANU Katika Uruk ndipo ilipoanzia,
Kitu kingine angalia tafsiri ya neno Mungu/Miungu ndipo uje uniqote Tena,
Karibu!
Hii sidhani kuwa ni sahihi, unachokiita dhana ya Mungu kilikuwepo kwenye jamii nyingi tu za binadamu. Hakikuanzia mahali fulani...
Mwanadamu wengi kwa maeneo tofauti walihisi na kuamini kuwa kuna Mungu/miungu sio hapo tu ulipopataja
 
Swali zuri Mkuu,Katika Epic of Girgamesh Annunak walimkuta kiumbe Primitive aitwaye Enkidu,
Maandiko ya Sumeria yanaweka wazi kuwa huyo kiumbe Alikua na manyoya mwilini mwake akiwa na mfanano na mtu ila si timifu,alikula majani kama hayawani wengine,Hana ufahamu wowote na hucheza Katika bustani ya kumwagilia akiwalinda wenzake wasishambuliwe na Alliens,
Hapa tunaona Annunaki waliwakuta primitive na waliwaongozea uwezo Ili wawe genre ya Homo sapiens!
Hao hayawani aliwaumba/create nani ama nini asili yake?
 
Relax. Gospel yangu ni kuhoji kila kitu. Siwezi kusambaza uongo ili mradi nijionyeshe najua mambo. Cha kujifunza elimu na maarifa vina tabia ya kukua sambamba na mstari wa muda. Sio regressive. Hizo hadithi ni za kale unategemeaje kuwe na jambo jipya na la maana kwa nyakati hizi? Eti nilete yangu. Nkt.
kama Huna Kaa Kwa kutulia Kuna Wengine hata hayo ya kale hawayajui ndio wanapata darasa hapa,wewe kama ulikua unayajua umefuata Nini hapa?
Onesha okomavu wa Akili mtu smart hafanyi ujuaji unaoleta hapa tupo kupeana elimu na sio lazima ukuguse wewe tu,

Wenye kiu ya mambo kama Haya wapo na wanaomba tushare hapa jamvini wewe ni nani unipangie. Acha wivu pia kama na wewe unacho Cha kupotosha kama nifanyavyo Mimi kama unavyodai kilete hapa tukichambue!
 
Hii sidhani kuwa ni sahihi, unachokiita dhana ya Mungu kilikuwepo kwenye jamii nyingi tu za binadamu. Hakikuanzia mahali fulani...
Mwanadamu wengi kwa maeneo tofauti walihisi na kuamini kuwa kuna Mungu/miungu sio hapo tu ulipopataja
unachotakiwa ulete ushahidi ni wapi pengine Katika historia ya mwanadamu nadharia ya Mungu/Miungu ilianzia tofauti na Mesopotamia?

Mathalani maandiko yote ya Abrahamic Religion na Dini nyingine nadharia zao zimeanzia Huko yaani Mesopotamia na Indus Valley Katika historia ya mwanzo wa Uwepo wa mwanadamu Huko ndiko Kwenye rekodi za kale zaidi kuhusu nadharia hizo haya naomba na wewe niambie Huko Kwenye Jamii nyingine ni wapi?
 
IMANI- swala la kuamini nadharia Fulani ambayo inashindwa thibitishwa Katika mazingira halisia,Imani pia ni kama hisia juu ya swala Fulani ambalo huna uhakika nalo,

MUNGU - ni cheo Cha mtawala mkuu wa 12th Planet Nibiru (Heaven)
Ambapo Katika accient SUMERIAN tablets Ina maana ya
(Master of high chamber)

Katika Sumeria neno MUNGU Ndipo lilipoanzia wakimtaja
ANU mtawala mkuu wa ANUNNAKI Huko
(Nephilim 12th Planet Nibiru)

Vipi Bado hujaelewa?
Nakuja na naelewa vizuri sana

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Huna authority bwana mdogo akili finyu ya kuniambia kitu ambacho umekisoma,ebo be serious.
Hiyo anunnak and sumeria ancient civilisation watu wameshasoma sana hizo habari.
Hivi kwa akili zako ndogo wachungaji,maaskofu,mapadre,masheikh na watu dini mbalimbali kwa level zao za elimu hawana hizo habari za Anunnak na hawazielewi kabisa,ila umekuja wewe sijui umetokea wapi baada ya kusoma tu umeona umeelewa vyema,yaani uko deep basi unakuja na conclusion zako kuwa oooh tumepigwa oooo hakuna Mungu oòoh hakuna hiki wala kile.
Nishaku challenge maswali kadhaa hapo juu na umeshindwa kujibu unakimbilia kuita watu hawana akili.
Dogo hizo akili zako ziko wapi hizi za kusoma anunnak and ancient civilisation.
Nishakuuliza hao Anunnak kwa mujibu ulivýosoma,walipokuja duniani kutafuta dhahabu walikuta kuna viumbe wengine?
Ukiondoa binaadamu walikuta kuna viumbe gani?
Ukajikanyaga tu oooh walikuta kuna primitive homo sapiens sijui wakaanza kuwafanyia modification,sijui wakafanya human cloning and human manipulation.
Nikakuuliza kuwa vipi kuhusu viumbe wengine kama wadudu wanyama na mimea?
Baadae ukadai ooh walitengeneza vyote hivyo.
Kuna mdau akakuuliza je hao Anunnak waliikuta dunia tupu,ni nani aliumba dunia ukakosa jibu.
Walikuja duniani kutoka sayari ya nibiru meaning that na wao ni viumbe,ila binaadamu walioumbwa nao wakawapa umungu tu ila wao sio miungu,isipokuwa baba yao ndio Mungu wa huko nibiru sikatai sawa kwa mujibu wa hizo ancient tablets.
Je huyo baba yao Ak alikuwa Mungu wa ngapi kwa kipindi hicho wanawe wanakuja hapa duniani.
(MUNGU ni cheo kwa mujibu wa sumerian tablet)
Kwa maana hiyo kuna wakati katika utawala wa huko nibiru kulikuwa na mtawala YHYW ambaye Israelites ina quote kama Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo.
Sasa tuambie wakati hawa anunnaki wanashuka hapa planet earth katika mission yao ya kutafuta dhahabu je,wakati huo ulikuwa utawala wa An na ulikuwa utawala wa ngapi na YHYW yeye utawala wake ulikuwa wa ngani kutoka huu wa An.
Ukaja na jazba oooh wewe huna elimu ya historical time chatline.
Nikakujibu elimu iyo ninayo na watu humu si wajinga hiyo elimu wanayopia.
Sasa ebu anza kuelezea kwa mantinki kwa kuendana na wakati hao anunnak walikujaje na lengo lao nini na watakuja tena lini?
Usikimbilie kusema oooh mkafanye research wenyewe,hapana wewe dadavua tu hapa si umeleta hii mada mwenyewe watu tunataka tuelewe mwisho wake una conclude na nini?
Hapo mwanzo umesema hii mada haihusiani na dini lakini wewe mwenyewe unajikuta unataja watu wa dini,so tukubaliane kuwa hii mada haiwezi kutengana na wafia dini hata ufanyeje,kwa sababu ukishaongelea uumbaji umeongelea imani za dini pia.
Na ndio maana kuna sehemu nilikuambia hili swala zima la anunnaki majibu yake yako kwenye bible(mwanzo6)kama sikosei kuhusu wanefili.
Kwa taarifa yako na najua unajua hawa nefili jamaa zako Anunnak ni fallen angels tu,ni kazi ya shetani tu hiyo hakuna kingine bado hujui mengi kwenye ulimwengu wa roho dogo.
Nakusisitiza kajifunze tena usimeze mambo uwe unaelewa.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kua na heshima bas, kama elimu ya bibilia ime kutosha hii tuachie tujifunze
 
Back
Top Bottom