Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
- #221
Nilikuambia Toka Mwanzo MUNGU ni cheo sio Jina la kiumbe mbona unakua mgumu kuelewa?Imagine yule mkubwa kabisa, yule wa mwanzo kabisa[na mwisho] ndio huyo. Maana hata yeye alijitambulisha tu IAM THAT IAM -NIKO AMBAYE NIKO.
Kwa hiyo your wildest[and domesticatest🤦♂️😂🤣] imagination ndio huyo tumuabudu
Nikitolea mfano
MUNGU ANU mtawala wa mbinguni
(Nephilim 12th Planet Nibiru)
Pamoja na Elohim/YWH ambaye pia alikua mtawala wa huko huko Nibiru ila anaabudiwa na Abrahamic Religion,
Sasa wewe MUNGU Gani unaemdai hapa?