ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Imagine yule mkubwa kabisa, yule wa mwanzo kabisa[na mwisho] ndio huyo. Maana hata yeye alijitambulisha tu IAM THAT IAM -NIKO AMBAYE NIKO.

Kwa hiyo your wildest[and domesticatest🤦‍♂️😂🤣] imagination ndio huyo tumuabudu
Nilikuambia Toka Mwanzo MUNGU ni cheo sio Jina la kiumbe mbona unakua mgumu kuelewa?
Nikitolea mfano
MUNGU ANU mtawala wa mbinguni
(Nephilim 12th Planet Nibiru)
Pamoja na Elohim/YWH ambaye pia alikua mtawala wa huko huko Nibiru ila anaabudiwa na Abrahamic Religion,
Sasa wewe MUNGU Gani unaemdai hapa?
 
Kimsingi tukitaka kurahisisha Dumas the terrible ni kwamba fikiria kitu ambacho ndio lengo kuu na zuri la uwepo wetu hapa duniani halafu hicho kitu katika hali yake top most ndio sifa ya Mungu sasa.

Mfano;

Kama lengo ni kuishi basi ile maisha ya juu kabisa ndio yeye -- Iam the LIFE
Kama ukweli ndio kitu unachokiona kuwa cha juu kuliko vyote basi ndio yeye --I am the TRUTH
Ukichukulia upendo ndio cha msingi basi ule upendo perfect wa mwisho ndio yeye --God is LOVE
Na hata ukijikuta kwamba potelea pote kwanza dunia tunapita tu hamna cha nini wala nini bado ni yeye --Iam the WAY
Sasa Mungu is all that and even more. Unamjua Mungu kadri ya uelewa wako unavyokuwa...... IAMTHATIAM

Anzia hapo unijibu hili swali unahisi duniani tupo kwa lengo gani, achana na mahistoria achana na mavitabu. Nijibu tu lengo unalohisi
 
Imagine yule mkubwa kabisa, yule wa mwanzo kabisa[na mwisho] ndio huyo. Maana hata yeye alijitambulisha tu IAM THAT IAM -NIKO AMBAYE NIKO.

Kwa hiyo your wildest[and domesticatest🤦‍♂️😂🤣] imagination ndio huyo tumuabudu
aliyesema Niko ambaye Niko ni MUNGU
Elohim/ YWH /Jehovah
Anayeabudiwa na Israelites na Dini zote za Abrahamic na Ndie anayejitanabaisha kama Muumbaji kwenye maandiko ya Biblia
Nadanganya?
 
Mbona tangu mwanzo mimi ni mdau wa kwamba Mungu ni cheo! Tena ndo napenda aendelee kubaki kama cheo siku zote
 
aliyesema Niko ambaye Niko ni MUNGU
Elohim/ YWH /Jehovah
Anayeabudiwa na Israelites na Dini zote za Abrahamic na Ndie anayejitanabaisha kama Muumbaji kwenye maandiko ya Biblia
Nadanganya?
Dumas wewe na hao Israelites mko na tatizo moja, hamtaki kulikubali wazo la Mungu kama cheo mnataka mpaka tumpe jina. Tuseme kabisa specifically wa Yakobo, Wa Ibrahimu

Hamjui kama kumpa jina kunamfanya kuonekana kama wapo na wengine wanaolingana na yeye? Jambo ambalo sio kweli.

Israelites wamekuwa na nia ya kumbinafsisha Mungu na kumfanya wa taifa lao tangu miaka na miaka jambo ambalo sio kweli. Na ndio maana Yesu alipokuja akasema ufalme wa mbinguni ni kwa wote Myahudi na mmataifa, Jew and Gentile. Sababu za kisiasa zisisababishe ukababaika. Ukitaka kumjua Mungu we Msikilize Yesu Mwanae alichosema kumhusu.
 
Kimsingi tukitaka kurahisisha Dumas the terrible ni kwamba fikiria kitu ambacho ndio lengo kuu na zuri la uwepo wetu hapa duniani halafu hicho kitu katika hali yake top most ndio sifa ya Mungu sasa.

Mfano;

Kama lengo ni kuishi basi ile maisha ya juu kabisa ndio yeye -- Iam the LIFE
Kama ukweli ndio kitu unachokiona kuwa cha juu kuliko vyote basi ndio yeye --I am the TRUTH
Ukichukulia upendo ndio cha msingi basi ule upendo perfect wa mwisho ndio yeye --God is LOVE
Na hata ukijikuta kwamba potelea pote kwanza dunia tunapita tu hamna cha nini wala nini bado ni yeye --Iam the WAY
Sasa Mungu is all that and even more. Unamjua Mungu kadri ya uelewa wako unavyokuwa...... IAMTHATIAM

Anzia hapo unijibu hili swali unahisi duniani tupo kwa lengo gani, achana na mahistoria achana na mavitabu. Nijibu tu lengo unalohisi

Bro nishasema huko juu lengo la binadamu awe Kijakazi wa kuchimba dhahabu huu Ndio Ukweli ambao hata ukienda kuuliza jamii za Caucasian watakuambia,

Hakukua na lengo jingine zaidi ya Hilo na Ndio maana Katika historia ya Mwanadamu dhahabu imetajwa Sana na Ndio metal ya mhimu inayotbulisha utajiri wa Dunia,
Maandiko ya kale Katika jamii zote yanakiri Kuna Miungu ilikuja kuchukua dhahabu kama sadaka kutoka Kwa wanadamu na Ndio maana maandiko ya Biblia yanataja dhahabu imepambwa Katika malango ya Mbinguni na MUNGU Elohim kakalia kiti Cha Enzi kilichozingukwa na dhahabu akilindwa na malaika

Sasa Kwa Akali ya kawaida tu ukiwa mwenye akili timamu na umesoma maandiko ya Sumeria utajua tu huko ni Nibiru planet Ambako waanunaki wanatoka
Leo Ndio hao kwenye nadharia za Dini mnawaita Malaika, maserafi NK
 
Dumas wewe na hao Israelites mko na tatizo moja, hamtaki kulikubali wazo la Mungu kama cheo mnataka mpaka tumpe jina. Tuseme kabisa specifically wa Yakobo, Wa Ibrahimu

Hamjui kama kumpa jina kunamfanya kuonekana kama wapo na wengine wanaolingana na yeye? Jambo ambalo sio kweli.

Israelites wamekuwa na nia ya kumbinafsisha Mungu na kumfanya wa taifa lao tangu miaka na miaka jambo ambalo sio kweli. Na ndio maana Yesu alipokuja akasema ufalme wa mbinguni ni kwa wote Myahudi na mmataifa, Jew and Gentile. Sababu za kisiasa zisisababishe ukababaika. Ukitaka kumjua Mungu we Msikilize Yesu Mwanae alichosema kumhusu.
wewe unamjua Sana Mungu wa Israelites kuliko wao?
Yaani wao wakuanzishie nadharia za Mungu,Mbingu na mambo mengi ambayo bila wao usingejua Leo unakuja mmatumbi mmoja unajitia kumjua Mungu wa jamii za mashariki ya kati kuliko wenye Mungu wao

Stop joking broo Najua upo Brain washed kuhusu Dini ila sio Kwa kiwango hicho pia nahitimisha. Yule Mungu anayeabudiwa na Israelites ni kiumbe tu Tena anaitwa Elohim/YWH mtawala wa Nephilim 12th Planet Nibiru

Mimi nikiwa kama mwenye kutambua hizo nadharia siwezi fanya huo ujinga Katika umri wangu huu wa Miaka 23 tu ninatambua ukweli juu haya mambo natumaini mpka nikiweza kuufikia uzee sitakuja kua mjinga na nitaendelea kutoa Somo Kwa watu waujue ukweli mchungu ambao watu wengi wamezikwa wakiamini kumbe walipoteza energy na kutaabisha akili zao kuwaza vitu vya kufikirika
Na visivyo na mashiko Wala msaada Katika Dunia ya Leo

Nakazia hapa
Hakuna Mungu Wala shetani na nadharia zote kuhusu hayo mavitu waafrika tulipigwa na wahuni wachache Ili mtawaliwe mifikra

Amkeni hamjachelewa Sana Waafrika wenzangu!
 
Bro nishasema huko juu lengo la binadamu awe Kijakazi wa kuchimba dhahabu huu Ndio Ukweli ambao hata ukienda kuuliza jamii za Caucasian watakuambia,
Hakukua na lengo jingine zaidi ya Hilo na Ndio maana Katika historia ya Mwanadamu dhahabu imetajwa Sana na Ndio metal ya mhimu inayotbulisha utajiri wa Dunia,
Maandiko ya kale Katika jamii zote yanakiri Kuna Miungu ilikuja kuchukua dhahabu kama sadaka kutoka Kwa wanadamu na Ndio maana maandiko ya Biblia yanataja dhahabu imepambwa Katika malango ya Mbinguni na MUNGU Elohim kakalia kiti Cha Enzi kilichozingukwa na dhahabu akilindwa na malaika
Sasa Kwa Akali ya kawaida tu ukiwa mwenye akili timamu na umesoma maandiko ya Sumeria utajua tu huko ni Nibiru planet Ambako waanunaki wanatoka
Leo Ndio hao kwenye nadharia za Dini mnawaita Malaika, maserafi NK
KUCHIMBA DHAHABU, inajiendeleza mpaka kutafuta mali, kutafuta pesa ndio lengo la uwepo wetu binadamu kulingana na hao sumeria. Lengo kuu la uwepo wetu. Mungu ni PESA. Tafuta pesa mambo mengine baadae. Pesa ndo kila kitu itaendelea......

Nitakurudia nikiwa na maelezo mazuri ya huu upotoshaji, kama kuna mtu atanisaidia pia ntashukuru
 
Mbona tangu mwanzo mimi ni mdau wa kwamba Mungu ni cheo! Tena ndo napenda aendelee kubaki kama cheo siku zote
Tatizo lako Moja tu unajidai kutaka kutoka nje ya nadharia ya MUNGU huko ukiendelea kua humo humo ndani ya nadharia
hahaahhaa ukitaka kujua haya mambo lazima utoke huko Uwe nje ndipo utafiti ukweli mchungu hutahadaika na kubabaika kama ufanyavyo hapa
Yaani unamtaja MUNGU kama cheo halafu unakana jina lake alilojitambulisha Kwa watu wake hapo kale
Stop kidding broo!
 
KUCHIMBA DHAHABU, inajiendeleza mpaka kutafuta mali, kutafuta pesa ndio lengo la uwepo wetu binadamu kulingana na hao sumeria. Lengo kuu la uwepo wetu. Mungu ni PESA. Tafuta pesa mambo mengine baadae. Pesa ndo kila kitu itaendelea......

Nitakurudia nikiwa na maelezo mazuri ya huu upotoshaji, kama kuna mtu atanisaidia pia ntashukuru
hahahhaa kwamba Mungu alikuumba uje utafute pesa au sio,
Daaa hii Kali Ndio naisikia kwako Ina maana Ile alikuumba umwabudu huitaki Tena kaka?
Haaahahahahah
Wenzako wanaoamini nadharia za Mungu wanadai waliumbwa Ili wamuabudu Mungu
Yaani nyie mnavituko Sana
Mungu mpenda sifa kama zote Leo anageukwa na watu wanatafuta pesa Huku wakisahau kumwabudu kama lengo lake hapo Mwanzo
According to holy Bible!
Daaaaaaa
😁😁😁😁😁🔥🔥
 
Kukusanya maana yake mkuu ni kuitoa katika vifua na kuiweka katika maandishi yaani nakala ambaayo inachukulika.

Wakati wakati wa Mtume Qurani ilikuwa haijamalizika kushuka so huwezi kusema kwamba walikuwepo watu ambao wamehifadhi Qurani yote wakati ingine ilikuwa bado inaendelea kumshukia mtume.

So cha kusema ni kwamba wakati wa mtume wapo ambao walikuwa wamehifadhi Qurani ambayo imeshashuka tayari na sio Qurani yote.

Naam kipindi cha uhai na uzima wa mtume Qurani iliendelea kushuka kwa sababu aya nyingi zilikuwa zinashuka na matukio fulani yanapotokea.

Na wakati mtume yupo hai matukio yalikuwa yanaendelea kutokea so Qurani iliendelea kushuka ili kutoa miongozo mbalimbali.

Nikisema wakati wa mtume nakusudia wakati mtume yupo hai,so baada ya kufa mtume Qurani haikushuka tena ikabakia ile ile ambayo ilishuka tayari wakati mtume yupo hai.

Ni kweli wengi hawakujua kuso.a na kuandika lakini usisahau ndugu scars kwamba masahaba SIO WOTE kwamba walikuwa hawajui kusoma na kuandika(naamini unajua neno wengi haimaanishi wote)

Ndio maana ukisoma historia ya uislamu unakuta kwamba mtume alikuwa anaongozana na masahaba zake wakimuandikia mikataba mbalimbali ambayo alikuwa akiifunga na makabila mbalimbali.

Hiyo maana yake wapo masahaba ambao walijua kusoma na kuandika vizuri kuliko mtume muhammad.

Haha mkuu hata wewe unanichanganya pia unaposema kwamba kwanza ilikusanywa baada ya wale masahaba kuuwawa wakati mimi nina nukuu kadhaa zinazoashiria kwwmba jambo hilo lilifanyika tokea wakati wa mtume mwenyewe akiwa hai.

Kitendo cha kumtafuta huyo mtu maana yake walijua kwamba alikuwa ameshaifanya hiyo kazi ya kuikusanya Qurani.

Kwa sababu huyo ibn thaabit ni katika watu ambao walikuwa wakiikusanya Qurani wakati wa mtume.

Hadithi ambayo nimekutajia mkuu pale juu katika wale watu watano basi huyo ibn thaabit yumo kwa maana akijulikana kwa kazi yake hiyo ya kukusanya Qurani tokea wakati wa mtume.

Neno kukusanya maana yake ni kuiandika Qurani katika sehemu moja kimpangilo kwamba sura hii ina aya hizi na hiz n.k
Yani unaniacha High way sana mpaka nahisi hiyo source uliyopatia hayo maelezo pengine umeitafsiri tofauti na kwamba ili maanisha baadhi ya verses zilizo nukuliwa kwenye pieces of papers na mifupa nk.

Hii ni site ya kiislamu unaweza cheki hapa ikieleza zoezi lilivyofanyika na katika nyakati gani, labda kama utanambia kuwa nao hawa hawajui ukweli halisi.

Lakini kama utaweza unipe hicho kitabu chako ambacho kina hayo madai
 
Binadamu ni kiumbe mbishi Sana yaani Ili uamini habari za Annunak ilikupasa tutumie Lugha zao hahahaha
Hivi unajua accient Sumerian walikua na chart Yenye alfabet 600?
Ukiachana na hizi 26 za kwetu?
Yaani wewe kujua
ABC mapka Z unajiona mjanja Kwa taarifa Yako jamii za kale ziliongea Mpaka Lugha ya Hesabu yaani Kwa kutumia namba Lugha ilitengenezwa
Hao ndio accient civilization wanaoushangaza ulimwengu wa kisasa
Leo ukienda Museums za ulaya wamehifadhi Hizo Lugha na zinawashinda kutafsiri endapo wakiweza Hii Dunia haitakua kama uionavyo kamanda usidhani maendeleo uyaonayo yamekuja Kwa bahati Mbaya Leo upo na ki smartphone Cha Tecno hujui hata aliyegundua alipata Wapi formula Endelea kukariri
Mimi nakupeeni elimu tu nyie Waafrika mlio nyuma Kwa Kila kitu Hadi Leo mtu hajui mwanzo wao Huku mkikaria nadharia za Kuumbwa na Mungu hata huyo Mungu hammjui Hivi mna akili nyie
Inasikitisha sana!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeongeaa wew ,nikakuelewa weee ,nikafikiriaa weee ,kua how about tunavyokemea mapepo yanakimbia ,why ukitaja yesu yanaungua ,why yanaogopa mahali patakatifu church nn.. hizo nguvu zinazo watisha na kuwaxtikiza zinatoka wap.?
 
hahahhaa kwamba Mungu alikuumba uje utafute pesa au sio,
Daaa hii Kali Ndio naisikia kwako Ina maana Ile alikuumba umwabudu huitaki Tena kaka?
Haaahahahahah
Wenzako wanaoamini nadharia za Mungu wanadai waliumbwa Ili wamuabudu Mungu
Yaani nyie mnavituko Sana
Mungu mpenda sifa kama zote Leo anageukwa na watu wanatafuta pesa Huku wakisahau kumwabudu kama lengo lake hapo Mwanzo
According to holy Bible!
Daaaaaaa
😁😁😁😁😁🔥🔥
Dumas wewe ndio uliyesema kuwa lengo la kuwepo kwetu ni kuchimba dhahabu, nimekuendelezea katika mstari huohuo wa mantiki ya kuchimba dhahabu ndio kwa leo inakuwa kutafuta pesa. Kwa hiyo anayekutaka uamini hizo habari za anunaki ndio ujue mwishoni anakutaka ukiri kuwa mungu ni dhahabu na pesa na uiabudu badala ya Mungu wa kweli.

Lengo la kuwepo kwetu haliwezi kuwa katika kitu kinachoshikika au kinachotafsirika kirahisi hivyo. Ndio maana vitu kama upendo, ukweli, furaha na life ndio vinakaribiana kuwa lengo la kuwepo kwetu. Na nikutoe wasiwasi tu mimi binafsi ninamuabudu Mungu
 
Yaani nilikuwa natamani aje mtu akuelimishe kuwa kutafuta dhahabu haliwezi kuwa lengo letu kuu, bahati nzuri na maajabu wewe mwenyewe umenisaidia. Umeonesha how ridiculous that idea is. Thank you.

Sasa achana na sumerians tuambie tu wewe kama wewe unahisi lengo la sisi kuwepo duniani ni lipii?
 
Mungu Gani huyo akifuatwa waafrika tutapiga hatua kimaendeleo?
Bado ni kama unacheza mulemule, unaposema waafrika unataka tena tumbinafsishe awe wa waafrika. Hebu funguka jaribu kumtafakari huyu Mungu wa wote wazungu na waafrika wanaoonekana na wasioonekana. Ongeza kidogo uwanda wa kufikiri
 
Yani unaniacha High way sana mpaka nahisi hiyo source uliyopatia hayo maelezo pengine umeitafsiri tofauti na kwamba ili maanisha baadhi ya verses zilizo nukuliwa kwenye pieces of papers na mifupa nk.

Hii ni site ya kiislamu unaweza cheki hapa ikieleza zoezi lilivyofanyika na katika nyakati gani, labda kama utanambia kuwa nao hawa hawajui ukweli halisi.

Lakini kama utaweza unipe hicho kitabu chako ambacho kina hayo madai

Ok nikipata muda mkuu nitapitia hii site alafu nikishaona shida iko wapi nitakuja tena hapa tujadili au hata PM kwa kuhofia tusijetoka nje ya maudhui ya mtoa mada.
 
Bado ni kama unacheza mulemule, unaposema waafrika unataka tena tumbinafsishe awe wa waafrika. Hebu funguka jaribu kumtafakari huyu Mungu wa wote wazungu na waafrika wanaoonekana na wasioonekana. Ongeza kidogo uwanda wa kufikiri
Aiseee haya sawa Asante Kwa mchango wako!
 
Yaani nilikuwa natamani aje mtu akuelimishe kuwa kutafuta dhahabu haliwezi kuwa lengo letu kuu, bahati nzuri na maajabu wewe mwenyewe umenisaidia. Umeonesha how ridiculous that idea is. Thank you.

Sasa achana na sumerians tuambie tu wewe kama wewe unahisi lengo la sisi kuwepo duniani ni lipii?
Kama Ulinisoma mwanzoni mwa thread nilivyoelezea dhana ya Miungu kumaliza mission Yao na kuwaacha huru binadamu free duniani huko wakiwapa Elimu za kusurvive usingeniuliza lengo langu hapa duniani,
Inaeleweka tu ya kwamba unazaliwa unapambana uishi,Kuna mambo utafanya Ili kuiendeleza Dunia iwe sehemu nzuri ya future generations kusurvive then unakufa na kupotea Kabisa unakua huna chako Tena,
Only struggle for nothing!
 
Inaeleweka tu ya kwamba unazaliwa unapambana uishi,Kuna mambo utafanya Ili kuiendeleza Dunia iwe sehemu nzuri ya future generations
Dumas inaonesha upo karibu sana na Mungu kuliko hata unavyodhani nikutoe wasiwasi kufanya mambo mazuri kwa ajili ya wewe, wenzako na future generations ni sehemu ya msingi sana katika kumuabudu Mungu. Service to ones brother, ones neighbour.

Msikie Yesu mwenyewe alivyofundisha

Marko 12:30-31 BHN​

Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.’ Na ya pili ndiyo hii: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ Hakuna amri nyingine iliyo kubwa zaidi kuliko hizi.”
 
...kusurvive then unakufa na kupotea Kabisa unakua huna chako Tena,
Only struggle for nothing!
Hapa sasa ndio pamebakia, tumaini la maisha yajayo. Hakuna tumaini kwa hii miili yetu ya nyama hii itakufa na itakuwa mbolea tu nothing.
Lakini ili uwe na hilo tumaini ni lazima uwe na utambuzi wa kitu kilicho tofauti na mwili zaidi ya mwili. Kitu hicho ni wewe na sio material wanaita roho yako, soul, sijui nafsi chochote utakachoiita ila sharti kiwe tofauti na hizi material za mifupa damu na nyama.

Kwa hiyo kaka hatua ya kwanza ya kutambua lengo upo vizuri, kilichobakia ni kujijua tu na kumjua Mungu. Ukishajitambua utamtambua na Mungu automatically. Kwa kuwa Mungu ni roho pia na sisi ni wanae wa kiroho. Goodluck.
 
Back
Top Bottom