Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ni kama eti kwa sababu kwenye intaneti kuna porno basi tuzuie intaneti nchi nzima haiwezi kuwa sahihi. Bali tuone namna ya kuyaboresha maisha yetu kwa kutumia intaneti vizuri.
Waliopewa elimu ya uwepo wa Mungu hapo mwanzo kama waliamua kuibadili na kuanza kuwakandamiza wenzao kuwafanya watumwa waliitumia vibaya. Sasa tumeshafahamu hatutamkataa Mungu bali tutaukataa mfumo wa kiukandamizaji ambao hauko logical na idea ya Mungu mmoja anyway maana: Ikiwa sote ni wa Mungu mmoja, basi wote tu sawa, tu ndugu katika ufalme wa mbinguni hapana mmoja wa kumkandamiza mwenzie. Idea ya dini na Mungu ni nzuri ikifuatwa kwa ukweli na ukamilifu na uadilifu - Kama tu Yesu mwenyewe alivyoibainisha. Nasisitiza sio kama sheikh/mchungaji/mtume fulani alivyosema ila ni kama Yesu alivyobainisha.