ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Hakuna 12th planet nibiru astronomical and scientific observations mpaka Leo hawajadhibitisha kuwa kuna planet hiyo.
Nadharia nzima na madai yote ya anunnaki ni yameprove kuwa Pseudoscience.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Nephilim ambao wanaelezewa kwenye historia za Mesopotamia ni hao hao walioelezewa kwenye biblia.
Sio chochote hao zaidi ya kuwa ni fallen angels.
The devil is the liar,kuweni makini

Hiyo ya 12th Planet inatumika tu kama reference ya kuelezea hiyo intelligence Planet ambapo Kuna vipimo vipo katika Hisabati ya Hali ya juu wanasayansi Bado hawajang'amua code maalumu kujua pahari ilipo,
Pili kupitia baadhi ya Accient calculation ambazo scientist wanafanya Leo tumeanza gundua sayari ambazo zipo Habitable zone mfano ni
Kepler - B

Pia kumbuka elimu ya Anga na nyota Kila siku wanagundua mambo mapya hivyo acha kulimit mambo Kwa upeo wako kama wale watu wa dini waliomlimit Galileo Galilei alipogundua darubini upeo na Sayari ya Sumbura!
Wake up & think big dude!
 
Nephilim ambao wanaelezewa kwenye historia za Mesopotamia ni hao hao walioelezewa kwenye biblia.
Sio chochote hao zaidi ya kuwa ni fallen angels.
The devil is the liar,kuweni makini

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Nephilim hao hao ndio walioelezewa kwenye Mesopotamian tablets kama Annunak na ni makongwe kuliko hiyo Biblia Yako
So tumuamini nani kati ya OG na copy?

Kingine Mimi sio devil ni
Dumas the terrible and am not Lier please go to research!
 
Hizo zote ni Nadharia tu ambazo Israelites waliamini na Hata rejea zako ukitumia bible na maandiko mengine kumthibitisha Huyo Mungu unaemdai itakua ni uwendawazimu tu,
Nje ya Abrahamic religion Ambazo walizikopy huko Mesopotamia kuzungumzia Hizo habari na Nadharia ya MUNGU/MIUNGU
Usingezijua ila Kwa sababu utamaduni wao ulikua strong umejikuta Umemezwa Ndani yake na upo Kwenye dome nje ya hapo huna fact kumprove Huyo Mungu bila kurejea maandiko Yao,
Think twice!
Nani kakudanganya kwamba ni waisraeli na mesopotamia peke yake walioamini uwepo wa mambo ya kiroho? Hivii hata historia za kijadi umezipitia baadhi.
Wakikuyu: Waliamini yupo mungu anaishi mlima kenya -Mwene Nyaga. Na waliamini radi ni panga lake muungurumo ni pale anapolinoa. Waliamini mababu zao wapo na wanawaangalia na wao waliwaheshimu na kuwaomba mambo mengi madogomadogo ya kila siku. Waliamini yule Mungu alikuwa ni mkubwa kuliko mababu na hapaswi kusumbuliwa kwa mambo madogomadogo.

Wasukuma: Wanaamini tangu zamani mambo ya mizimu, na mababu na hii humpa mtu baraka za mafanikio ya kimali[nsabo, ngombe] na mwili[bhupanga/afya]. Lakini pia waliamini uwepo wa Mungu mkuu huyu aliitwa LIWELERO, hakuwa anafananishwa na vitu na aliwapa watu baraka za akili [masala]. Jua na mwezi ni vitochi vyake japo wengine wanamiksi kuwa jua ndiyo yeye.

Hawa watu akija mzungu /muisraeli akaleta concept inayoendana na hiyo kuhusu mungu, wapo bound kuipokea maana tayari ile mizizi ya imani wanayo. Hata wakikataa kutakuwa na utaifa na ukabila upo unaplay part.

Sasa wewe ni nani huyo aliyekusisitiza kwamba imani zote hata concept ya mungu imeletwa na muisraeli kutoka sumeria?
 
Nephilim hao hao ndio walioelezewa kwenye Mesopotamian tablets kama Annunak na ni makongwe kuliko hiyo Biblia Yako
So tumuamini nani kati ya OG na copy?

Kingine Mimi sio devil ni
Dumas the terrible and am not Lier please go to research!

I didn't call you a devil,I just said devil is the liar. Watu wawe makini na mambo mengi tu ikiwemo haya masuala ya Anunnaki. Bado inasisitizwa kuwa baadhi ya findings kwenye Mesopotamia tablets ni Pseudoscience. Sumerians walioweka hizo records ni watu pia,na zechariah sitchin ndio inajulikana ni binaadamu pekee katika kizazi hiki aliyeweza ku decipher hizo sumerian cuneiforms,bado inatajwa kuwa sio kwamba ni alikuwa mtaalamu au mjuvi wa archaeology but he was very interested in.

Kuna contradictions nyingi sana za kisayansi kuanzia Human cloning and creation,genomics za binadamu kwa wakati tofauti tofauti na sehemu tofauti tofauti.Kuna baadhi za tafiti zinaonyesha kuwa baadhi ya races fulani fulani wana DNA of what so called aliens/Anunnaki/Nephilims.

Nimeweka majina yote hayo kwa sababu naamini yote yanamaanisha kiumbe kimoja kila moja kwa Uwanda wake.
Kuna baadhi ya binaadamu hasa wa kisasa hawana kabisa even,0.0001% ya hizo DNA.
Hao wenye chembe za Anunnaki DNA(Neanderthals)ni hawa walioishi maeneo yote ya Europe and Asia or Eurasia almost 35000yrs back ambao kwa sasa wanajulikana as caucasian.
Those dudes were very muscular very powerful at working and moving huge loads.
Science ya Cloning na science zingine.
Hii science inaelezwa kweli ilianzia maeneo hayo ya Mesopotamia ambayo ndio Iraq ya Leo hii.
Sawa sawa kabisa na sio hio tu nyanja nyingi za ujuzi mbalimbali source ni huko,hata great mathematicians asili yao wengi ni huko ni sahihi kabisa.
Tunachobisha au ninachobisha mimi binafsi maana nisije generalise bure hapa,si usahihi wa historia ya sumerians,Babylon and whatever concerns those ancient civilisation.
Ninacho oppose hapa ni uumbaji wa mtu au binadamu na the so called Anunnaki.
Narudia tena hakuna proof scientifically kuwa binadamu alikuwa created na the so called anunnaki.
Why nasema hivyo kwa sababu nyingi tu,kwa sababu kwanza binadamu kama kiumbe wakati hao anunnak wanawasili walikuwepo in that form sijui kama primate au primitive na walichofanya hao anunnak ni cloning na ndio maana maeneo mengi tu duniani hakuna DNA ya Neanderthals and anunnaki hakuna na zilizopo ni huko huko Eurasia and some parts of Russia.
Tena kwa sasa kuna %sana ina maana kadri muda unavyosonga zinapotea,kwa mujibu wa studies nyingi za genomics.
Human cloning hata sasa inafanyika si ndio,tunajua hilo linafanyika mimea kwa wanyama kwa malengo ya kisayansi na technolojia,kwa uzalishaji na kadhalika kwa kifupi hilo lipo na linafanyika na mpaka yapo matukio yalishafanyika accidentally tu na wengi wakashuhudia ama kusikia mbuzi au ng'ombe anazaa kiumbe wa ajabu kama mtu si mtu kama mbwa si mbwa ila ni kiumbe na anakuwa amezaliwa hayo yapo yamefanyika sana kama ni accidentally au makusidikally whatever but the point it is possible.
Japan wanazalisha viumbe fulani wanaitwa CHIMERA.Wanazalishwa kwa minajiri ya kupata viungo kwa ajili ya matibabu ya binaadamu.
Viungo kama figo,moyo,mapafu nk.viwezekane kupatikana kutoka viumbe hao badala ya binaadamu kamili au kusubiria mtu afe au kuchukua toka kwenye maiti.
So nachosema kuwa anunnaki walipowasili waliwakuta watu wao wakaingilia mfumo mzima wa maisha ya watu kwa kufanya human cloning.
Na ndio hilo tukio limeelezewa kwenye biblia.
Japo ukisikia neno biblia au Mungu unang'aka but hayo tuyaweke pembeni kwanza maana mwisho wa siku imani na kuabudu bado ni uhuru wa mtu binafsi hilo ni la msingi.
Kwa msingi huo tuseme tu biblia ni kitabu tu historia.
So kwenye biblia inatajwa ni kama viumbe wa Mungu waliofukuzwa huko mbinguni muda mrefu tu na wao katika kuzunguka zunguka kwao wakawaona binti za binadamu wakawashukia na kuzaa nao(Human Cloning is where happened and nephilim was created)
Kumbuka kuwa human cloning hata wewe hapo kesho ukiamua kukamata la puppy kazuri kazuri kama kale kamanunu ka Wema Sepetu na kama kako kwenye hot period ukikapelekea moto katashika mimba na katazaa tu sasa matokeo ya hicho kiumbe ndio mfano wake huo.
Tunaoamini kwenye Mungu na uumbaji wake tunasema hiyo dhambi na ni kufuru sana,lakini inawezekana sana tu.
Na kwa wanaoamini kwenye Humanitarianism wanasimamia msimamo kuwa huo sio utu,hata wanasayansi wenyewe wanasimamia msimamo huo huo kuwa huo si utu,na wanasayansi kwa asilimia kubwa ni atheist lakini ni waamini wa falsafa ya UTU.
Yapo mengi ya kuchambua na kuangalia ukweli wa anunnaki kuumba mtu au la.

Angalia nadharia ya Bing Bang na Galaxies kwa ujumla(Ulimwengu wote ).Makadirio tu ya wanasayansi wanakubaliana ni kama 13 billion years ago.Sio padogo hapo kwa macho na ufahamu wa binadamu hiyo ni milele stage ya kwanza,maybe kuna stage 2,3,4,5,,,,,,the universe is infite si ndio wote tunajua hayo.
Astronomers professional and amateurs kwa miaka na miaka wapo wanafatilia the so called the universe na ikiwepo hiyo 12th planet nibiru ambayo sumerian coneiforms inaonyesha ni kama ipo kwenye mzingo wake na unafanya mzunguko wake kwa mbali sana,na inasemekana itaweza kufikia sehemu ya karibu na Jua au huwa inafanya hivyo kila baada ya miaka 3600,sijakosea.Lakini hata wewe unajua wanasayansi wanakubaliana hiyo sayari haipo ndio maana wanaipa jina planet x,jitihada zipo zinafanyika ionekane.
Nachosema ni kuwa the whole universe is there so long long ago,right?
Sumerians cuneiforms zinaonyesha anunnaki arrived on earth almost 400,000 upto 350,000 BC right? Yes ndio hivyo.
Sasa jiulize kitu inakuwaje wawe creators wetu na kila kitu walichokikuta juu ya uso wa dunia.

Tuje kwa Mungu sasa(ambaye hayupo kwa mujibu wa wasioamini) yeye inadaiwa kaumba ulimwengu na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,right? Ndio ni hivyo hivyo.
Na inasemwa baada ya Mungu kuumba kila kitu kwa hapa ulimwenguni(ikiwa na maana hapa duniani na kwenye nyota,jua,mbingu na anga zima,,meaning the whole galaxy) ndio akamuumba mtu.
Kwa hivyo mtu ni kiumbe wa mwisho kuumbwa na Mungu muumbaji wa vyote wakiwemo hao anunnaki(ambao kwa kweli ni waovu na ni waasi)
Hivyo basi anunnaki alikuwa kweli ni kweli alikuja kwa sababu ametajwa Kuja hapa duniani,ila nakataa na mwenye kujielewa yeyote atakataa Kuwa alikuja kuumba mtu,that's never and never existed.
Yeye alikuja kweli lakini as an intruder,na akaja na high level of knowledge by that time ndio maana jamii za huko zitastaarabika kwa wakati huo.
Maana bado naamini ustaarabu wa kisasa kwa wakati huu ni zaidi ya wakati huo.Japo msingi wake ni huo ustaarabu wa mwanzo.
Na katika jitihada za Mungu kuwaondo hao nephilim ndio kuna matukio kama ya mafuriko kabla na baada ya nuhu.
Nachosema tuendelee kujifunza kwa kuangalia ukweli uko wapi zaidi.
Alamsiki.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Nani kakudanganya kwamba ni waisraeli na mesopotamia peke yake walioamini uwepo wa mambo ya kiroho? Hivii hata historia za kijadi umezipitia baadhi.
Wakikuyu: Waliamini yupo mungu anaishi mlima kenya -Mwene Nyaga. Na waliamini radi ni panga lake muungurumo ni pale anapolinoa. Waliamini mababu zao wapo na wanawaangalia na wao waliwaheshimu na kuwaomba mambo mengi madogomadogo ya kila siku. Waliamini yule Mungu alikuwa ni mkubwa kuliko mababu na hapaswi kusumbuliwa kwa mambo madogomadogo.

Wasukuma: Wanaamini tangu zamani mambo ya mizimu, na mababu na hii humpa mtu baraka za mafanikio ya kimali[nsabo, ngombe] na mwili[bhupanga/afya]. Lakini pia waliamini uwepo wa Mungu mkuu huyu aliitwa LIWELERO, hakuwa anafananishwa na vitu na aliwapa watu baraka za akili [masala]. Jua na mwezi ni vitochi vyake japo wengine wanamiksi kuwa jua ndiyo yeye.

Hawa watu akija mzungu /muisraeli akaleta concept inayoendana na hiyo kuhusu mungu, wapo bound kuipokea maana tayari ile mizizi ya imani wanayo. Hata wakikataa kutakuwa na utaifa na ukabila upo unaplay part.

Sasa wewe ni nani huyo aliyekusisitiza kwamba imani zote hata concept ya mungu imeletwa na muisraeli kutoka sumeria?
Nilishatoa concept ya gods Toka mwanzo kumbuka hizo jamii ulizotaja zinazopatika hapa asili yake sio hapa ni wahamia Toka Kwenye jamii za kale,
Mfano Bantu societies ni cult za Wakush ambako huko historia inajulikana asili ya kuabudu Miungu!
 
Unajua labda sijui nikuambieje tu. Ni kwamba suala la kuamini au kuhisi kuwa kuna mungu au mambo ya kiroho ni kama innate hivi. Kila jamii inazaliwa nayo. Kwa baadae kadri elimu na uelewa kiroho unavyokua ndio wanazidi kuyaelewa haswaa yapoje kiuhalisia.

Sema kuna tatizo la watu kuwa na hamu ya kuyaona mambo ya kiroho physically ndio inayosumbua. Kwa hiyo kila akija mtu/kiumbe kujaribu kuelekeza watu kuhusu Mungu wa kiroho watu hawamuelewi au mbaya zaidi wanaishia kumfanya huyo kuwa ndio mungu. Hao wa Sumeria inaonekana kuwa ni viumbe/malaika waliokuwa wanamfahamu Mungu na wakawaelekeza watu kuwa Mungu yupo. Sema watu ndio wakaamua kuwafanya hao ndio miungu. Au niweke wazi je wao walisisitiza kwamba huyo master of high chamber anafanana na wao? Au ni kwamba wao ndio waliofanana na wanadamu.

Kingine cha kufikiri ni kwamba, kama unasema watu walikuwa kama manyani tu wakafanyiwa hiyo 'cloning', ili wafanane na hao viumbe. Na mpaka leo tunajiona tunafanana na manyani kiphysically hivi kwa nini usiassume/usiwaze kwamba cloning ilifanywa ili tufanane na hao viumbe kiakili? na sio kimwili? Ila wao ndio waliamua kufanana nasi kimwili ili tuelewane?

Sio mara ya moja hilo limetokea maana hata YESU mwenyewe alikuja na akatuelekeza kwa Mungu lakini baadhi ya watu wanasema yeye ndio Mungu. Mind you inajulikana na mimi pia naamini kuwa Yesu na Mungu ni Mmoja, lakini najua Yesu yupo na Mungu yupo. Watu wa material hamuwezi kuelewa hicho kitu wakati sie wa kiroho ni kitu easy tu.

Kwa hiyo kuendana na wewe tukiamua kusema kuwa anunaki walikuwapo na Mungu yupo utakuwa na lipi la kusema? Najaribu kuweka hoja ya kwamba hao anunaki wakiwa kwenye hiyo 12thplanetnibiru wanakuwa katika hali ya ki-roho ndiyo maana haionekani. Na sio planet bali ni dimension nyingine tu? Hili jambo namuomba na Artificial intelligence aje pia akusaidie kujibu.
 
Mara nyingi Watu mnaoamini Nadharia ya Mungu katika uhalisia hua mnashindwa kuthibitisha uwepo wake automatically na Kwa logoc zaidi ya kusema Hilo ni swala la Imani and blah! Blah!
Hua nauliza Inakuaje Mungu mnayedai aliumba vitu visible Halafu yeye awe invisible Kwa vitu ambavyo alivifanya yeye hauoni mkanyiko na inageuka hadith tu zisizo na uhalisia juu ya uwepo wake?
 
Hakuna 12th planet nibiru astronomical and scientific observations mpaka Leo hawajadhibitisha kuwa kuna planet hiyo.
Nadharia nzima na madai yote ya anunnaki ni yameprove kuwa Pseudoscience.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Huamini kama 12th Planet Nibiru ipo ukidai hakuna scientific calculation na location ilipo huko wewe una amini Mungu na Mbinguni pasipo uthibitisho scientifically,vipi Kwa upande wako Arif?
😁😁😁😁
 
Mara nyingi Watu mnaoamini Nadharia ya Mungu katika uhalisia hua mnashindwa kuthibitisha uwepo wake automatically na Kwa logoc zaidi ya kusema Hilo ni swala la Imani and blah! Blah!
Hua nauliza Inakuaje Mungu mnayedai aliumba vitu visible Halafu yeye awe invisible Kwa vitu ambavyo alivifanya yeye hauoni mkanyiko na inageuka hadith tu zisizo na uhalisia juu ya uwepo wake?
Nimetoka kuiandika hii kitu mahala kumbe upo hapa pia uliyelihitaji hili jibu pia, ipo hivii;

...
mnaokomalia kutaka uthibitisho wa Mungu, tena muda mwingine mnaenda mbali kutaka ajitokeze mbele yako physically laivu ajithibitishe hamjajua tu kile mnachokiomba. Poleni sana.

Kutokana na utukufu alionao ikitokea akaamua kujitokeza kwako nikwambie ndugu hautabaki majivu, bali hata hayo majivu yatavukishwa na huo mvuke utatawanyika uwe atomu nazo zivunjikevunjike yaani hautaona hata kavumbi ka matirio ya mwili wako. Hiyo ni kutokana na ule tunaita utukufu, utukufu ni zaidi ya nguvu maana wenyewe ndio msingi hata wa hizo nguvu zenyewe. Hayupo mtu anayeweza kumutazama Mungu na akaishi. Utawaona malaika wake, utaziona nguvu zake kama moto etc lakini Yeye ukimuona utabaki mvuk... no.. hapana... hata mvuke wako hautaonekana.

Lakini njia ambayo inatumika ni ile ya kuwasiliana ki-roho na watu waliokuza vyeo vyao kiroho. Nayo sio directly ni kama resonation, resonance bila kugusana. So mitume na manabii wanapo-resonate na ujumbe wa Mungu basi wanatuambia na sisi hayo ndiyo mafunuo na unabii.

Lakini usijione mdogo, kila mmoja anayo nafasi ya kuresonate/kuitikia na mambo ya kiroho inaanza tu na yeye kukubali kuwa wake Mwenyezi.
 
Acha porojo Aisee Huyo Mungu muweza wa yote kwanini ajitokeze katika Hali ya kutisha namna hiyo kiasi kwamba nikimuona naangamia,
Anashindwaje Kuja Kwa namna ambayo itanifanya nimwone wa kuvutia Sana na ushawishi wa Hali ya juu kiasi kwamba nisiwe na shaka juu ya sifa zake anazopewa na nyie vibaraka wake?

My friend unajaribu kuniaminisha vitu ambavyo Hata wewe ukiwa free mind hutaweza kuamini kamwe!
 
yaani Mungu muweza wa yote amtume mwanae ambaye ni binadamu aje atuaminishe uwepo wake Hivi Ina make sense?
Yaani Ina maana Huyo Mungu ni kiumbe Fulani ambaye anaweza kua na Wana huoni hizo ni sifa za viumbe wa kawaida kama ilivyo binadamu,ng'ombe,kuku NK?

Bado sijakuelewa Aisee haimake sense ujue?
Tatizo umejifixi sana kwenye material, na sina mifano mizuri ya kueleza ngoja tujaribu kutumia njia hii labda utaelewa;

Chukulia sentensi zifuatazo:

Sentensi baba: Ninalo gari zuri, lina rangi ya bluu na linalotembea mwendo kasi sana.
Sentensi mwana: Ninalo gari la bluu linalotembea kasi.

Ukiziangalia huoni kama ninaruhusiwa kusema sentensi mwana na sentesi baba ni moja. Na ninaruhusiwa kusema hiyo sentensi mwana ni baba tu. Lakini siwezi kusema kuwa hiyo sentensi baba ni mwana? Mungu ni roho kwa hiyo mambo yake yasolvu hivyo kiideal lakini ukianza kufananisha na ng'ombe sijui binadamu unakuwa unazingua. Au ndo tuseme akili yako haiwezi kun'gamua mambo abstract?
 
yaani Mungu muweza wa yote amtume mwanae ambaye ni binadamu aje atuaminishe uwepo wake Hivi Ina make sense?
Yaani Ina maana Huyo Mungu ni kiumbe Fulani ambaye anaweza kua na Wana huoni hizo ni sifa za viumbe wa kawaida kama ilivyo binadamu,ng'ombe,kuku NK?

Bado sijakuelewa Aisee haimake sense ujue?
Hata wewe ni mwanae, sema upo unabisha ndio maana haufaidi vizuri utukufu wake. Ni kama toto linapoamua kusema wewe sio baba angu. Wakati in essence lina vinasaba vya huyo mzee. Sasa hii ni kibinadamu, kibaiolojia, kimaterial.

Kimungu tunaenenda ki ideal, kwa kuamini na kuyatenda mapenzi ya Mungu. Ukiamini na kuenenda kama mapenzi ya Mungu yanavyotaka unafanyika kuwa mwana sasa kabisakabisa KIIMANI.
 
Bado hujanipa uthibitisho wa Huyo Mungu unajumba jumba tu kama maharage yanatokota na vijimifano mfu visivyo na uhalisia,
Mungu angekuwepo na angekua mjuzi wa yote usingejipa Kazi hapa ya kuniaminisha uwepo wake,
Kumbuka Hata Mimi nilikua muumini wa hizo Nadharia kabla sijaacha Sasa kama Mimi binafsi sikuona mantic wala logic juu ya uwepo wake wewe mtu Baki ambaye Bado unaamini Nadharia nilizoacha kuamini utanambia Nini nikuelewe?

Acha kua brain washed fikiri nje ya box!
 
🤦‍♂️😂🤣🤣🤣 dah! hivi unajua Bora hata ungejaribu kuwa consistent na wewe mwenyewe mzeebaba.

I mean mwanzo ulikuwa unaamini nadharia za kiimani baadaye ukafundishwa kuacha kuziamini na ukaacha - [Kama unaifahamu tafsiri ya kuwa brainwashed je huu sio mfano hai?]

Halafu pia mwanzo ulikuwa unafikiri kuwa kuna maada, na kuna mizimu kuna roho na vitu vingine vya kiroho baadaye ukaachana na vya kiroho ukaanza kutaka kila kitu kiishie kwenye matter/maada tu. Je kati ya anayefikiri kuwa kuna maada na zaidi ya maada na yule anayefikiri kuwa kuna maada tu ni nani anayejiweka ndani ya boksi!?
 
Jamaa naona umeuliza maswali ya msingi sana ambayo yangeweza kufunga haya majadiliano lkn naona wamekukaushia hawataki kuyajibu[emoji23][emoji23]
Maswali magumu sana haya kwa wazee wa nadharia[emoji16][emoji16]. Hayo maAnnunaki ni ma alliens kama ma alliens wengine ambao ni mapimbi tu kwa MUNGU muumba wa mbingu na dunia na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
 
Hakuna Kiumbe anayejua mwanzo wa galaxies,Sayari na maisha Katika ulimwengu zaidi ya nadharia tu mara hivi mara vile na hata watakaokupa majibu ya kwamba Kuna Kiumbe au nguvu iliyofanywa hivyo lazima wahoji chanzo Cha hiyo nguvu ni Nini,hivyo Watu wa Dini mnavyokuja na nadharia za Mungu lazima watueleze chanzo Cha huyo Mungu vile vile Watu wa Sayansi wakija na nadharia za
Big Bang lazima tujue vile vile chanzo chake,
Hivyo Hilo swala Lina contradiction nyingi Sana huwezi jibu maswali magumu Kwa majibu mepesi na ndio maana mtu timamu akiuluzwa chanzo Cha huu ulimwengu hawezi kukupa majibu sababu ukweli unajulikana hakuna Kiumbe yeyote anayejua hata hao ANNUNAKI hawakusema chanzo Chao zaidi tu ya kutaja mahali wanapotokea hivyo nadhani umepata jibu ya Swali lako!
Chanzo cha nguvu ni nguvu yenyewe. Hapo ukiambiwa chanzo cha nguvu ni MUNGU utaanza kuhoji yuko wapi?, alishawahi kuonekana wapi? Maswali ambayo yanaweza kufanana na maswali kuhusu historia ya Annunaki(kwasababu hakuna aliyewahi kuwaona)

Ukiwauliza waisraeli wana kumbukumbu ya sehemu zinazoonyesha alama ambapo MUNGU alijidhihirisha mbele ya wanadamu kwa ishara. Hapo utaongea nini?

Hiyo inafana na mfano wa kumbukumbu za masalia ya historia ya Annunaki.

Nimeisoma vizur sana historia ya hawa viumbe(Annunaki) ina ukakasi sana ukiitafakari. Kwasababu kuna baadhi ya wagunduzi na watafsiri wa baadhi ya masalia ya Annunaki walimisinterprete baadhi ya mambo.

Kwa hiyo hatushangai kama atakuja mtu kutuambia habar za matokeo ya uongo kuhusu historia ya Annunaki kwasababu kwenye historia kwenyew kuna critique kibao zinazohusu historia.

Huu mjadala unahitaji hoja nzito sana kuutetea.
 
Kuna kusoma na kuelewa mambo na kusoma na kufyonza kama dodoki,jamaa wanafikiria hizo habari za anunnaki watu hawazijui au hazienei.
Wanashindwa kupata picha kwa nini zinakosa nguvu hizo habari kwa sababu kimantiki zinakosa uhalali wa kudhibitishwa Kwenye nyanja mbalimbali.
Zinakosa uhalali kihistoria,kisayansi,zinabaki kuwa mythology.
Kuna critics nyingi sana na zina mashiko kuhusu anunnaki,ndio maana tunasema hizo ni
PSEUDOSCIENCE.

hahahaha kama mnazijua si mshare hapa mnaishia kupiga mbinja tu huko hamleti madini ya kukanusha,mpaka Leo hii navyo andika hapa Habari za Annunaki hazina ukakasi Bali zina shahidi za kihistoria na tafiti za kisayansi,wewe kama unadhani Watu wanajua au wewe unajua mbona wanaotoa hizi Habari ni wachache na wengi wanakua hawana information zaidi ya kusoma Kwenye mabandiko yetu hapa?
Kitu kingine tushakizungumzia hapa Watu wengi wanaoendesha Mifumo ya hii Dunia Wanakanusha Habari za Annunaki na kuziita Zina mkanganyiko huko wakiujua Ukweli lengo ni kuogaopa kuukiri Ukweli mchungu utakao sababisha kuvunjika Kwa historia za Uongo katika nyanja zote za kiutawala katika historia ya Dunia,Leo hii haya madai yakikanushwa kua ni kweli mathalani utakua mwisho wa ulaji wa taasisi nyingi zilizojijenga Toka mwanzo hasa kuanzia za kihistoria,dini,utamaduni,Sanaa na Kila Kitu na itasababisha mass haisteria,
Hilo lengo lilishajadiliwa na UNESCO akiwa kama kibaraka wa hizo Nadharia njama ya kwamba mambo yote na historia ya Dunia ya ukweli Pamoja na makumbusho na kumbukumbu zote zenye utata zilizojengwa na Annunak ziwe nyara na Watu wasiambiwe ukweli kamwe waendelee kua watumwa wa fikra na kuendeshwa Kwa manufaa ya Watu wachache,
Leo angalia media,majarida,vitabu na machapisho mbali mbali yanavyopotosha juu ya sites zote zenye utata mfano ni kupotosha ya kwamba pyramids za Giza zimejengwa na Mapharao na ni Makaburi ya mumiani,
Tukija wauliza kama makaburi tu yamedumu mpaka Leo tunaomba mtuoneshe majengo waliyoishi wanabaki na kiwewe
Yaani Kwa Akili timamu mtu ajenge makaburi makubwa Kuliko nyumba anayoishi Ina make sense?
Haya tukiuliza na Zile Pyramids za Mexico ni Makaburi ya Pharaohs Gani mtajibu Nini?
Mnaopinga either ni lack of information na knowledge mkijificha Kwenye kichaka Cha utata na Udini nje ya hapo hamna jipya Wala hoja zenu hazina nguvu zaidi ya kupinga bila fact

Alamsiki!
 
Back
Top Bottom