Nephilim hao hao ndio walioelezewa kwenye Mesopotamian tablets kama Annunak na ni makongwe kuliko hiyo Biblia Yako
So tumuamini nani kati ya OG na copy?
Kingine Mimi sio devil ni
Dumas the terrible and am not Lier please go to research!
I didn't call you a devil,I just said devil is the liar. Watu wawe makini na mambo mengi tu ikiwemo haya masuala ya Anunnaki. Bado inasisitizwa kuwa baadhi ya findings kwenye Mesopotamia tablets ni Pseudoscience. Sumerians walioweka hizo records ni watu pia,na zechariah sitchin ndio inajulikana ni binaadamu pekee katika kizazi hiki aliyeweza ku decipher hizo sumerian cuneiforms,bado inatajwa kuwa sio kwamba ni alikuwa mtaalamu au mjuvi wa archaeology but he was very interested in.
Kuna contradictions nyingi sana za kisayansi kuanzia Human cloning and creation,genomics za binadamu kwa wakati tofauti tofauti na sehemu tofauti tofauti.Kuna baadhi za tafiti zinaonyesha kuwa baadhi ya races fulani fulani wana DNA of what so called aliens/Anunnaki/Nephilims.
Nimeweka majina yote hayo kwa sababu naamini yote yanamaanisha kiumbe kimoja kila moja kwa Uwanda wake.
Kuna baadhi ya binaadamu hasa wa kisasa hawana kabisa even,0.0001% ya hizo DNA.
Hao wenye chembe za Anunnaki DNA(Neanderthals)ni hawa walioishi maeneo yote ya Europe and Asia or Eurasia almost 35000yrs back ambao kwa sasa wanajulikana as caucasian.
Those dudes were very muscular very powerful at working and moving huge loads.
Science ya Cloning na science zingine.
Hii science inaelezwa kweli ilianzia maeneo hayo ya Mesopotamia ambayo ndio Iraq ya Leo hii.
Sawa sawa kabisa na sio hio tu nyanja nyingi za ujuzi mbalimbali source ni huko,hata great mathematicians asili yao wengi ni huko ni sahihi kabisa.
Tunachobisha au ninachobisha mimi binafsi maana nisije generalise bure hapa,si usahihi wa historia ya sumerians,Babylon and whatever concerns those ancient civilisation.
Ninacho oppose hapa ni uumbaji wa mtu au binadamu na the so called Anunnaki.
Narudia tena hakuna proof scientifically kuwa binadamu alikuwa created na the so called anunnaki.
Why nasema hivyo kwa sababu nyingi tu,kwa sababu kwanza binadamu kama kiumbe wakati hao anunnak wanawasili walikuwepo in that form sijui kama primate au primitive na walichofanya hao anunnak ni cloning na ndio maana maeneo mengi tu duniani hakuna DNA ya Neanderthals and anunnaki hakuna na zilizopo ni huko huko Eurasia and some parts of Russia.
Tena kwa sasa kuna %sana ina maana kadri muda unavyosonga zinapotea,kwa mujibu wa studies nyingi za genomics.
Human cloning hata sasa inafanyika si ndio,tunajua hilo linafanyika mimea kwa wanyama kwa malengo ya kisayansi na technolojia,kwa uzalishaji na kadhalika kwa kifupi hilo lipo na linafanyika na mpaka yapo matukio yalishafanyika accidentally tu na wengi wakashuhudia ama kusikia mbuzi au ng'ombe anazaa kiumbe wa ajabu kama mtu si mtu kama mbwa si mbwa ila ni kiumbe na anakuwa amezaliwa hayo yapo yamefanyika sana kama ni accidentally au makusidikally whatever but the point it is possible.
Japan wanazalisha viumbe fulani wanaitwa CHIMERA.Wanazalishwa kwa minajiri ya kupata viungo kwa ajili ya matibabu ya binaadamu.
Viungo kama figo,moyo,mapafu nk.viwezekane kupatikana kutoka viumbe hao badala ya binaadamu kamili au kusubiria mtu afe au kuchukua toka kwenye maiti.
So nachosema kuwa anunnaki walipowasili waliwakuta watu wao wakaingilia mfumo mzima wa maisha ya watu kwa kufanya human cloning.
Na ndio hilo tukio limeelezewa kwenye biblia.
Japo ukisikia neno biblia au Mungu unang'aka but hayo tuyaweke pembeni kwanza maana mwisho wa siku imani na kuabudu bado ni uhuru wa mtu binafsi hilo ni la msingi.
Kwa msingi huo tuseme tu biblia ni kitabu tu historia.
So kwenye biblia inatajwa ni kama viumbe wa Mungu waliofukuzwa huko mbinguni muda mrefu tu na wao katika kuzunguka zunguka kwao wakawaona binti za binadamu wakawashukia na kuzaa nao(Human Cloning is where happened and nephilim was created)
Kumbuka kuwa human cloning hata wewe hapo kesho ukiamua kukamata la puppy kazuri kazuri kama kale kamanunu ka Wema Sepetu na kama kako kwenye hot period ukikapelekea moto katashika mimba na katazaa tu sasa matokeo ya hicho kiumbe ndio mfano wake huo.
Tunaoamini kwenye Mungu na uumbaji wake tunasema hiyo dhambi na ni kufuru sana,lakini inawezekana sana tu.
Na kwa wanaoamini kwenye Humanitarianism wanasimamia msimamo kuwa huo sio utu,hata wanasayansi wenyewe wanasimamia msimamo huo huo kuwa huo si utu,na wanasayansi kwa asilimia kubwa ni atheist lakini ni waamini wa falsafa ya UTU.
Yapo mengi ya kuchambua na kuangalia ukweli wa anunnaki kuumba mtu au la.
Angalia nadharia ya Bing Bang na Galaxies kwa ujumla(Ulimwengu wote ).Makadirio tu ya wanasayansi wanakubaliana ni kama 13 billion years ago.Sio padogo hapo kwa macho na ufahamu wa binadamu hiyo ni milele stage ya kwanza,maybe kuna stage 2,3,4,5,,,,,,the universe is infite si ndio wote tunajua hayo.
Astronomers professional and amateurs kwa miaka na miaka wapo wanafatilia the so called the universe na ikiwepo hiyo 12th planet nibiru ambayo sumerian coneiforms inaonyesha ni kama ipo kwenye mzingo wake na unafanya mzunguko wake kwa mbali sana,na inasemekana itaweza kufikia sehemu ya karibu na Jua au huwa inafanya hivyo kila baada ya miaka 3600,sijakosea.Lakini hata wewe unajua wanasayansi wanakubaliana hiyo sayari haipo ndio maana wanaipa jina planet x,jitihada zipo zinafanyika ionekane.
Nachosema ni kuwa the whole universe is there so long long ago,right?
Sumerians cuneiforms zinaonyesha anunnaki arrived on earth almost 400,000 upto 350,000 BC right? Yes ndio hivyo.
Sasa jiulize kitu inakuwaje wawe creators wetu na kila kitu walichokikuta juu ya uso wa dunia.
Tuje kwa Mungu sasa(ambaye hayupo kwa mujibu wa wasioamini) yeye inadaiwa kaumba ulimwengu na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana,right? Ndio ni hivyo hivyo.
Na inasemwa baada ya Mungu kuumba kila kitu kwa hapa ulimwenguni(ikiwa na maana hapa duniani na kwenye nyota,jua,mbingu na anga zima,,meaning the whole galaxy) ndio akamuumba mtu.
Kwa hivyo mtu ni kiumbe wa mwisho kuumbwa na Mungu muumbaji wa vyote wakiwemo hao anunnaki(ambao kwa kweli ni waovu na ni waasi)
Hivyo basi anunnaki alikuwa kweli ni kweli alikuja kwa sababu ametajwa Kuja hapa duniani,ila nakataa na mwenye kujielewa yeyote atakataa Kuwa alikuja kuumba mtu,that's never and never existed.
Yeye alikuja kweli lakini as an intruder,na akaja na high level of knowledge by that time ndio maana jamii za huko zitastaarabika kwa wakati huo.
Maana bado naamini ustaarabu wa kisasa kwa wakati huu ni zaidi ya wakati huo.Japo msingi wake ni huo ustaarabu wa mwanzo.
Na katika jitihada za Mungu kuwaondo hao nephilim ndio kuna matukio kama ya mafuriko kabla na baada ya nuhu.
Nachosema tuendelee kujifunza kwa kuangalia ukweli uko wapi zaidi.
Alamsiki.
Sent from my SM-J610F using
JamiiForums mobile app