ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Habari mkuu nimepitia SoMo lako wakati naanza nilikua Kama sielewieliwe but nahisi nimeanza kuelewa swali langu......duniani hakuna mungu..?? Mungu umesema Ni cheo he has anunaki naweza kuwaita mungu...?
 
Kwahyo ndio mmemaliza ?
Mbona bado mada ni mbichi sana..
Nimefatilia tangu mwanzo naona kuna mahali mmekubaliana kutokukubaliana ila nadhani kuna kitu hamjawekana sana nyote!
Mtoa mada amejaribu kufikiri, kufuatilia sites na kuleta hoja kwa facts lakini wachangiaji kuna kitu mmekishikilia na ni kizuri lakini mlitakiwa muende taratibu....pande zote mbili mmeenda race na kuruhusu mihemko iliyochanganyikana
 
Mada huru hii mkuu 😃😃
 
AISEE NAJARIBU TU KUJIULIZA KWA SAUTI KUBWA........ HIVI HUYO BWANA ANNUNAK ALIYEWATUMA NDUGU ZAKE KUTAFITI DHAHABU NA KUZIPATA ZIKIWA DUNIANI NI WAZI KUWA HAKUZIWEKA YEYE WALA HAJUI ZILIKOTOKA RIGHT? KAMA JIBU NI NDIO NAJIULIZA TENA NINANI ALIYEHUSIKA KUIFANYA HII STADI YA HIZO DHAHABU?. NAJIULIZA TENA HIVI NI KWELI KUWA INAWEZEKANA KUKAWA NA KILICHOUNDWA BILA KUWA NA MUUNDAJI? YAANI KWA MAJIBU RAHISI TU KUWA KILIJIFANYA CHENYEWE....? NO!.......... AISEE NATAMANI SANA KUMJUA HUYO ALIYEFANYA HIYO STADI YA KUTENGENEZA HIYO DHAHABU ILIYOMVUTIA HUYO BWANA ANNUANIKI SIJUI.... ILI AITUMIE KWA MATUMIZI YAKE. (MUNGU WANGU NA BABA YANGU UWASAMEHE MAANA HAWAJUI WALITENDALO)
 
Nakubaliana nanyi kwa hadithi na elimu yenye kutukumbusha nyakati za nyuma juu ya uwepo wa Kiumbe Annunaki na viumbe wengine ambao kwa pamoja ni Alliens waliofanya mengi ya ajabu na sisi binadam tuwaone miungu kwa kuiabudu na kuwa watumwa wao....

Ok palikuwa na viumbe wengine walio HAI kabisa wakati wa ujio wao na kabla ya mawazo yao ya kumform mtu....

Hao viumbe Alliens wenyewe walikuwa HAI wakamtengeneza mtu na kumpa uhai ...je waliutoa wapi huo UHAI ?

Na hao wanyama na ndege walipewa UHAI na nani ikiwa walikutwa duniani na hao annunak ?

Annunaki Walipata wapi hiyo roho iliyowafanya wao waishi kabla ya wao kututengeneza sisi .?
 
Japo nimesoma uzi wako juu juu, ila nimepata picha yako,

Kuwa wewe ni mmojawapo wa wasomi wanaokataa uwepo wa Mungu.

Anyways, tusilazimike kubadili akili za watu, let's believe that God is there.
 
Mleta mada kaelezea vzurii sana na ameeleweka,mnachoshindwa kumuelewa ni juu ya uwepo wa hizi dini na Mungu anayeabudiwa ambaye kwa mujibu wa historia inaonyesha inawiana na mafundisho ya Anunak,na kwa mujibu wa neno Mungu ni cheo ambacho kilitumiwa na Anunak.ni wajibu wetu kumtafuta aliyeumba ulimwengu na akavifanya vyote vilivyomo.Imani yangu inaniambia kuna nguvu yenye mamlaka ambayo inatawala Dunia
 

Ume summurize vizuri mkuu wengi wameshindwa kuelewa hapo
 
Sio kweli kuwa Bible ilicopy hayo maandiko.
Katika Dunia hii kuna nguvu mbili, ya Mungu na shetani. Shetani ni bingwa wa photocopy. Ukiangalia Biblia kitabu cha Mwanzo (inategemea kama unaamini!) Mungu alitoa unabii huu:

" Nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke,
kati ya uzawa wako na uzawa wake;
yeye atakiponda kichwa chako,
nawe utamwuma kisigino chake.”

Kumbuka kuwa 'nyoka' au shetani aliuwepo hapo. Hivyo si ajabu kuona alivotoka na kwenda kudangaya mataifa mengine kuhusu uzao wa mtoto wa ajabu nk. Hizi historia zipo za kufanana sana katika jamii mbalimbali za zamani. Hii ni mbinu ya shetani kufifisha habari za kweli za Mungu. Hivyo kama unaamini katika Mungu mmoja basi ni vizuri kutambua haya.
 
imani yako ni ipi mkuu?
 
Hivi unajua hawa Annunaki wapo pia kwenye Biblia unayosema imekopi hizo habari?🤨
 
Mkuu sina intellegent kuuuubwa sana ila ninacho jua AKILI YA BINADAMU SIO FINITY ni INFINITY hatuna ukomo wa kufikiri kinacho tokea watu hua wanaamua kua finity wenyewe kwanza kwa kuchagua vitu vya kuelewa, ama alivyo VIKARIRI vinabaki hivyohivyo kichwani mwake, mtu wa namna hiyo hua anapitwa na vingi sana maana kila linalokuja kwake ni miner maana hakuna room ya ku'process data zaidi ya kuhifadhi(KUKARIRI) wengine akili zao ni OPEN SOURCE hata details ndogo tu mtu anaziumizia kichwa! Napataga shida sana ninapokutana na mtu alie kariri vitu na amejiwekea ukomo wa kuelewa kitu hata ukijitahidi kumuelewesha anasikia ila haelewi
 
[emoji2962]
 
Swali langu hao Annunak si ndo walifanya human manipulation na human cloning ili kumpata binadam wa sasa... je waliwaumba race tofauti ama ndo nature nayo ilifanya yake ndo kukawa na hizi tofauti za human race?
Haya ndio maswali sasa sio hizo popoma nyingine zina piga kelele humu
 
Ukweli mchungu kwa wafia dini
 
Kwa taarifa nyepesi tu Hii race ya madini haikuishia kwa annunak bali ni kama ugonjwa wa kurithi walio tuachia binadamu wa leo! Unadhani kwanini banadamu anapambana sana kupekua anga!!? Unajua kinacho wapeleka hapo karibu tu MARS ni madini mzee, kuna vitu hatuwezi kuvifanya kulinga na ukosefu wa madini mean madini tuliyo nayo ama yaliyo gundulika mpaka sasa hapa duniani ndio yaliyo fikisha sayansi na technology hapa ilipo hivyo tunaamini kwenye kupata madini mapya pengine yanaweza yakatufikisha mbali zaidi zaidi ya hapa na yatafanya tugundue hata ambavyo bado hatujagundua
 
Wataelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…