kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
kweliHata chizi anatafakari pia na anajua uwepo wa Mungu mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweliHata chizi anatafakari pia na anajua uwepo wa Mungu mmoja
Mada huru hii mkuu 😃😃Kwahyo ndio mmemaliza ?
Mbona bado mada ni mbichi sana..
Nimefatilia tangu mwanzo naona kuna mahali mmekubaliana kutokukubaliana ila nadhani kuna kitu hamjawekana sana nyote!
Mtoa mada amejaribu kufikiri, kufuatilia sites na kuleta hoja kwa facts lakini wachangiaji kuna kitu mmekishikilia na ni kizuri lakini mlitakiwa muende taratibu....pande zote mbili mmeenda race na kuruhusu mihemko iliyochanganyikana
Mleta mada kaelezea vzurii sana na ameeleweka,mnachoshindwa kumuelewa ni juu ya uwepo wa hizi dini na Mungu anayeabudiwa ambaye kwa mujibu wa historia inaonyesha inawiana na mafundisho ya Anunak,na kwa mujibu wa neno Mungu ni cheo ambacho kilitumiwa na Anunak.ni wajibu wetu kumtafuta aliyeumba ulimwengu na akavifanya vyote vilivyomo.Imani yangu inaniambia kuna nguvu yenye mamlaka ambayo inatawala Dunia
Sio kweli kuwa Bible ilicopy hayo maandiko.Habari Wana JF na jukwaa la Intelligence natumaini mpo salama na tunasurvive chini ya jua kibishi,
Nimeona nilete hii mada ngumu kidogo kuhusu Accient civilization ya kale katika Dunia yetu,pamoja na nadharia mbali mbali za kuanguka na kupotea kwake,
Natumaini wale magreat thinkers watashashare idea zao kutoka vyanzo mbali mbali na natamani mjadala uwe endelevu na wale wenye watakaoweza kuweka rejea kutoka source mbali mbali wawe huru Ili mjadala uwe mpana kidogo hivyo uvumilivu unahitajika,
Note wafia Dini hamuhitajiki humu kama kitu hujui kaa kwa kutulia upate Somo na rejea mbali mbali,
Karibu!
Dunia ya kale ilipata kupitia katika ustaarabu mkubwa sana ambao Mpaka Leo unaacha utata mkubwa pamoja na fumbo kuu,
Wanasayansi,watu wa Dini,wanafalsa na wachunguzi huru wamejikuta kwenye sintofahamu juu ya ustaarabu ule uliopotea Huku wakibaki kwenye nadharia nyingi toka Hapo zamani,
Ushahidi kutoka maandiko ya kale ya Sumeria yaliyokutwa katika tablets za Mawe na michoro mbali mbali katika jamii nyingi za kale zimewataja viumbe walioitwa 'miungu'
"Miungu" au 'gods' tafsiri yake ikiwa na maana ya walioshuka kutoka 'mbinguni' au angani na Kushuka duniani,
Nadharia ya Miungu Katika Sumeria imewataja "ANUNNAKI"
Au Wana wa Annak
ANU =mtawala wa mbinguni na baba wa waanak na KI mother goddes mtawala wa Dunia,
Maandiko ya kale ya Wasumeria katika Mesopotamia yamewataja viumbe Anunak walipata Kuja duniani Miaka 450,000 BCE iliyopita,
Mtafiti wa mambo kale Zachariah Sitchin miaka ya 70's aliweza kutafsiri baadhi ya maandiko ya kale ya Wasumeria yanayodai Annunaki walipata Kuja pre human development yaani akiwa na maana Dunia ikikaliwa spicies ya Homo Elactus pekee,
Pia maandiko ya kale ya Sumeria yanadai Annunaki walitokea Sayari ya Nibiru ambayo huizunguka mfumo wetu wa Nyota ikiwa kwenye mhimili wake Kila baada ya miaka 3,600
Na maandiko hayo ya kale yanapata kuandika Annunaki ni intelligence being wenye high advanced science and technology na walipata kuja Duniani na Spaceships kwa lengo la kuchimba Dhahabu ikiwa kama metal ya mhimu huko kwenye sayari Yao ambayo waliitumia kurecover atmosphere ya anga lao,
Note hiyo ni according to Accient writings alizotafsiri Zachariah Sitchin,wanasayansi na Watafiti wa mambo kale kama Jesus Cediel,
Swali Wana jamii intelligence Inakuaje tablets kongwe na ya kale kuliko maandiko yoyote Yale yaani Sumerian iandike mambo kama hayo?
Fumbo!
Nitaendelea na mada karibuni Kwa mjadala!
ALALU:Mtangulizi wa mwanzo wa Annunaki
Katika accient tablets anatajwa Alalu huyu alikua ni agent kutoka Sayari ya Nibiru aliyepewa jukumu la kuzunguka Sayari mbali mbali kuangalia uwezekano wa kuwepo Kwa dhahabu,Alalu alifanikiwa kuifikia Dunia yapata miaka 450,000 BCE na kufanya tafiti mbali mbali Katika accient tablets anatajwa kama 'mungu' wa ugunduzi,Alalu alipata kutua Kush na akagundua hazina kubwa ya dhahabu,ugunduzi wa machimbo ya kale ya kush unathibitisha kugundulika Kwa dhahabu Kwa mara ya kwanza Katika uso wa Dunia ukifuatiwa ule wa South Africa na Maputo Msumbiji ambako miaka ya Hivi karibuni kuligundulika machimbo ya kale sana yalichimbwa Kwa ustadi Kwa kutumia vifaa vya kisasa unaoshangaza Dunia ya Leo,
Baada ya tafiti za Alalu walifuatia Wana wa Annak ENKI na ENLIL ambao walishuka na Spaceships s kubwa Wakiongozana na moja ya jamii ya Waanunaki waitwao IGIGI ambao waliotumika kama workers kwenye Migodi yote iliyoanzishwa huku wakiongozwa na ENKI na ENLIL kama viongozi,
Maandiko ya Sumeria yanadai baadae IGIGI walichoka kufanyishwa Kazi za machimbo ya dhahabu sababu ya brutality kitu kilichopelekea vita kubwa na ya kwanza Katika uso wa Dunia ikihusisha advanced weapons kama Nuclear weapons,
Baada ya resistance ya IGIGI
ENKI alikuja na Wazo la kumfanya Kiumbe awe replaced ndipo wakawafanya Nephilims (Wanefili) Hawa walikua ni Viumbe wenye mfanano na Annunak ila wakubwa na wenye nguvu,wakitumia Hybrid Nephilims walishindwa zaliana hivyo kuwapa mzigo ENKI kuwazalisha Kwa wingi kulingana na mahitaji na Kasi ya Kazi Katika Migodi maana walishindwa kuendana na Kasi sababu ya ukubwa na uzito wa miili Yao,
WAZO LA KUMFANYA BINADAMU,
Annunak Chronicles inaelezea mwanzo Dunia ilikaliwa na Viumbe waitwao Enkidu Katika Epic of Girgamesh wanamtaja Kiumbe Mtu Enkidu ambaye alikua spicies ya Homo Elactus walioishi duniani wakiwa hawana humanity waliishi pamoja na wanyama wa mwituni kama hayawani wengine,.
Enki alifikiria ni jinsi Gani atawafanya wale Enkidu wawe intelligence na akaja na Wazo la kuwaongezea vinasaba milini mwao Kwa kufanya DNA testing na walifanikiwa kufanya genre ya Homo sapiens wa kwanza,
Pia Maandiko ya Sumeria yanadai Annunaki walifanya human manipulation na cloning project na kumtengeneza mtu wa kwanza
ADAPA (Adamu)
Wakitumia DNA zao,manii na kupandikiza Kwa Kiumbe mke aliyekuja kuzaa genre ya Homo sapiens kamili iliyokamilika
(Sumeria tablets zinaelezea teknolojia ya Human cloning,human manipulation na sayansi nyinginezo kukamilisha Hilo)
Kwanini wamuumbe mtu Kwa mfano wao?
Ukisoma kitabu Cha Genesis kinadai Mungu alisema na tumfanye mtu Kwa mfano wetu
(Wale wa nadhari za Abrahamic Religion wajiulize ilikuaje Mungu aseme na tumfanye mtu Kwa mfano wetu)
Hiyo wetu inawakilisha uwingi ikiwa na maana ya "Gods"
(Walioshuka kutoka juu mbinguni na kuja Duniani)
NADHARIA ZA MUNGU NA MIUNGU/ KUUMBWA KWA BINADAMU WA KWANZA NA LOYAL BLOODLINE OF ADAM,
Mathalani umewahi sikia Nadharia kuhusu MUNGU au inawezekana ni mmoja unayeabudu nadharia hii ukiamini ni Supernatural power iliyoumba ulimwengu na vilivyomo,na nguvu hiyo Ipo ndani ya kiumbe aliyeketi kwenye kiti Cha enzi Cha Mbinguni na ni Mzee wa siku mwenye utukufu mkubwa akiwa kazunguka na wazee 24 wenye uhai,huko akihukumu Kwa haki jamii ya viumbe mbali mbali waliopewa majina ya Malaika,Maserafi,wanadamu nk
Nadharia hii ilitawala katika ulimwengu wa kale na wakisasa
Huko ikiwa na tofauti mbali mbali,
Mosi ni Ile Mungu hapo zamani alishuka Moja Kwa Moja mpaka duniani akiounga upepo katika bustan ya Eden Pahali anapoishi binadamu wa kwanza kuumbwa Adamu,
Ukisoma maandiko ya kitabu Cha Mwanzo kinadai Mungu alishuka wakati wa alasiri bustanini kuongea na kiumbe wake
(Code nitaelezea hapa Kwa kina)
Pia hapo kale Wana wa Mungu Walishuka mpaka duniani na kukutana na watu wa kale na kuishi nao maisha ya kawaida
(Refer Watchers/Angels)
Hiyo ilikua swala la kawaida tu bila shaka,
Pili:Nadharia za kisasa
Hapa tunaona katika zama Fulani miungu walikndoka duniani ni kama waliitelekezwa vile,sababu ya kufanya vile hatujui ila inakuja ibuka nadharia ya watu wanaojita Mitume na Manabii ya hapo kale wakijifanya ni maajent wa Mungu na wasemaji wake Kwa watu katika mambo Fulani Fulani,
Je ilikuaje yule Mungu na wale Malaika wake wasije Tena mpaka Leo hii toka zama zile na hata wakija wanafikia Kwa jamii Fulani Tena watu wa blodline Moja?
(Fumbo)
Leo ninaenda kukupa majibu ya hilo fumbo hapa hapa!
Tuendeleee
Maandiko ya Biblia kwa asilimia 99% hasa agano la kale limecopy Maandiko ya Sumeria ambayo ni makongwe Sana Kuliko maandiko yoyote yaliyowahi rekodiwa hapa Duniani,
Hili linaungwa mkono na jamii nzima ya Leo maana sumerian tablets ndio msingi wa ustaarabu wote wa Mwanadamu katika Historia ya Dunia,
Sumeria ilikua ndio sehemu ya kwanza Alphabet yenye character 600 +
Ikiiacha mbali Alphabet tuitimiayo yenye character 26 tu
Yaani ABC to Z basi
Pia Sumeria walikua na Mathematical table ya kushangaza Sana,
Wataalamu wa mambo kale Wanakiri endepo tutaweza gundua calculation na njia ya kufanya Hisabati kama wao tutapiga hatua Kubwa sana katika science and technology
Refer wanasayansi kushindwa fanya calculation za accient civilization zilizotumika katika ujenzi wa majengo kama Pyramids na site mbali mbali
(Mifano mnayo)
Sasa basi Bible ilicopy maandiko hayo sababu waliyanakiri na kucopy visa vile walikosa Information kuhusu Accient civilization hivyo kuoelekea kuunga unga visa vilivyokaa bila mpangilio maalumu yakiwa Randomly
(Wanatheolojia watanielewa)
Baada ya ugunduzi wa Sumerian tablets miaka ya 1880's na baadhi kuyatafsiri ndio tukajua zile information zote tata zimeelezewa Kwa ufasaha na kupangiliwa visa kuhusu Accient gods waliokuja kutoka Nibiru planet kutafuta dhahabu na hatimaye kumuumba Binadamu kama man power!
imani yako ni ipi mkuu?Mleta mada kaelezea vzurii sana na ameeleweka,mnachoshindwa kumuelewa ni juu ya uwepo wa hizi dini na Mungu anayeabudiwa ambaye kwa mujibu wa historia inaonyesha inawiana na mafundisho ya Anunak,na kwa mujibu wa neno Mungu ni cheo ambacho kilitumiwa na Anunak.ni wajibu wetu kumtafuta aliyeumba ulimwengu na akavifanya vyote vilivyomo.Imani yangu inaniambia kuna nguvu yenye mamlaka ambayo inatawala Dunia
Hivi unajua hawa Annunaki wapo pia kwenye Biblia unayosema imekopi hizo habari?🤨hakuna hakika Juu ya Hilo mkuu maana mara ya mwisho habari zao kurekodiwa ni kule Mesoamerica hasa kwenye Maandiko ya wamaya na Aztec nk
Ukisoma baadhi ya vyanzo inadai Annunaki waliokua duniani walitofautiana wao Kwa wao sababu kubwa Ilikua ni jinsi ya kuwahandle binadamu Kuna baadhi Yao walitaka binadamu aendelee kua mtumwa wao Kuna wengine walidai binadamu anastahili kupewa ujuzi na maarifa makubwa afanane na wao,tofauti Ile ilikuja kuzaa vita kubwa kati ya pande mbili maana Enki aliyewafanya binadamu alitaka wakubalike na watambuliwe Katika jamii ya wanibiru ila ENLIL alikataa akidai lengo la binadamu ilikua ni kuwa vijakazi Katika Migodi Yao na baada ya mission kukamilika wanastahili kuondoshwa na kutoweshwa Katika tofauti zao wakakubaliana kuwaacha huru ila Kwa sharti wasipewe access ya advanced technology Bali wapate elimu ya ujuzi wa kawaida kama
Engineering,Music,uchimbaji madini mbali mbali,kufua vyuma nk yaani Ile nyepesi tu na baada ya hapo waliondoka kurudi Kwao Nibiru planet na hawajawahi rejea Tena baada ya kukaa duniani Kwa Miaka maelfu nyingi sana,huo ndio ukawa mwisho wa accient civilization za kale kama Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus valley kuanguka na binadamu Kuanza survive Katika Hali ya kawaida huku akibakia na dhana ya Mungu,Miungu kutoka juu akitumainia ipo siku watarudi kuwakomboa kwa shida zao,
Mfano kule mexico kwenye jamii ya Aztec na Maya walitoa kafara za binadamu Ili kutuma maombi Kwa Miungu hiyo irudi itatue shida zao mbali mbali
Angalia movie ya Apocalypto ya Mel Gibson utapata idea kidogo kwanini wale watu wanatoa kafara kwa Miungu jua au star gods ambao ndio hao ANNUNAKI!
Mkuu sina intellegent kuuuubwa sana ila ninacho jua AKILI YA BINADAMU SIO FINITY ni INFINITY hatuna ukomo wa kufikiri kinacho tokea watu hua wanaamua kua finity wenyewe kwanza kwa kuchagua vitu vya kuelewa, ama alivyo VIKARIRI vinabaki hivyohivyo kichwani mwake, mtu wa namna hiyo hua anapitwa na vingi sana maana kila linalokuja kwake ni miner maana hakuna room ya ku'process data zaidi ya kuhifadhi(KUKARIRI) wengine akili zao ni OPEN SOURCE hata details ndogo tu mtu anaziumizia kichwa! Napataga shida sana ninapokutana na mtu alie kariri vitu na amejiwekea ukomo wa kuelewa kitu hata ukijitahidi kumuelewesha anasikia ila haelewiAngalizo: kutaka kumuweka Mungu katika tafsiri fulani ni jambo lisilowezekana. Yaani ni kama unataka tumucondense awe kakidonge tumuweke kwenye kikombe juu ya meza tuseme ndio huyu. Haiwezekani. Kwa akili zetu zenye mwisho wa kuelewa[finite] hatuwezi kumutafsiri yule ambaye hana mwisho [infinity].
Ndio, mungu sio jina ni cheo. Na huyu mungu kwa sisi viumbe kila mmoja huwa anamuelewa relatively na kile anachokijua hadi wakati huo. Yeye anabaki kuwa vyote katika yote. Top.
Mfano sisimizi anaweza kuwa anajua mwisho mtaa anaozuriria - Kwa hiyo atajua mungu kwake ni aliyeumba huo mtaa na vyote vilivyomo na yupo juu ya mtaa na pote katika mtaa
Binadamu wa kale akawa anaijua dunia tu so mungu akawa ni yule aliyeumba dunia yote, yeye yupo juu ya dunia yote na anadhihirika pote katika dunia yote. Ndio maana walipokuja viumbe kutoka nje ya dunia hao watu wakajua anhaa mungu ndo huyu hapa sasaa! kumbe bado inaendelea bhana. Tena inawezekana labda hao viumbe walitoka tu kisiwa fulani labda who knows
Binadamu wa sasa akaangalia na darubini akashangaa akasema Mungu ni aliyeumba ulimwengu wote so viumbe wote wapo chini yake yeye yupo juu ya vyote na anamanifest pote.
Binadamu tena huyohuyo wa sasa akanza kutengeneza mahesabu, manadharia, na mengineyo ya maulimwengu ameanza kusema oooh! kuna ulimwengu nyingi, sayari nyingine kuna viumbe wengine wana akili sana. Mungu atabaki kuwa yule aliye juu ya hayo maulimwengu yote na anamanifest pote ameyaumba au yapo chini yake. SIKU ZOTE BINADAMU ATAENDELEA KUMJUA MUNGU KADRI AKILI YAKE INAVYOPANUKA. Na huku kupanuka namaanisha vyote kwa ukuuuubwa na udoooogo. Kama juu ya vyote mbali, na ndani ya vyote karibu.
[emoji2962]Nadhani watu wengi sana mnachanganya mambo kutokana na uelewa finyu,Hivi kati ya Mungu wa kwenye BIBLIA na Annunak wa kwenye maandishi ya Sumeria nani mkongwe?
Sumeria Deities yaani Enki na Enlil ni wakongwe kuliko huyo Mungu wa Abrahamic Religion na usichokijua hata mwanzilishi wa hiyo Imani aliwaabudu hao hao ANUNAK Hivi Kwa ufahamu wako unadhani Biblia inamtaja Mungu Gani kama Sio Elohim/YWH mmoja wa miungu Annunaki Katika Mesopotamia aliyeabudiwa na Abraham aliyetokea Uru ya Ukaldayo Mesopotamia ambako ndio nadharia ya Miungu ilianza!
Halafu kingine rejea maana ya neno 'Mungu' nimelifafanua kule Juu maana yake likiwa kama cheo sio jina la kiumbe yeyote unayemfikiria kwenye kichwa chako maana huyo Mungu hayupo na Hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake!
Hakuna maisha baada ya kifo, ukifa biashara yako imesha nikama bulb imeungua tu au tv imekufaDumas the terrible:kwa hiyo wewe binafsi unajua au unaamini nini na baada ya Kifo chako nini kitafuata?
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Haya ndio maswali sasa sio hizo popoma nyingine zina piga kelele humuSwali langu hao Annunak si ndo walifanya human manipulation na human cloning ili kumpata binadam wa sasa... je waliwaumba race tofauti ama ndo nature nayo ilifanya yake ndo kukawa na hizi tofauti za human race?
Ukweli mchungu kwa wafia diniTumewajadili Sana Annunak na kumuumba Mtu Katika Uzi wa Artificial intelligence hapa huu Uzi ni mwendelezo tu juu ya Annunaki sababu nimeona watu wengi hawana ufahamu kuwahusu,lengo ni kuwafundisha binadamu wa Leo juu ya historia ya Dunia iliyofichwa Kwa muda mrefu Sana Kwa sababu mbali mbali either ajenda za Siri au ujinga na ukosefu wa exposure na maarifa juu mambo mengi,Pia kulingana na ukuaji wa science and technology watafiti wengi wa mambo kale wanazidi gundua maajabu ya Accient civilization na kujibu maswali magumu
Mfano zamani kwenye mawe na majengo ya kale kulikua na michoro ya UFO, Spaceships na viumbe vyenye mabawa mawili mapaka miaka ya 1800's binadamu hakujua kile ni Nini baada ya ugunduzi wa spacecraft ndio binadamu wa Leo tukajua kumbe Ile michoro ikiwaonesha Annunaki wakiwa na wings pamoja na vyombo vyao UFO Spaceships ndio tunagundua kumbe Hapo zamani za kale palikua na ustaarabu mkubwa kushinda wa kwetu!
Watafiti wanabaki na mshangao vile vile majengo kama Pyramids za Giza walidai ni Makaburi ya Pharaohs baada ya ugunduzi wa New World kule mexico,Peru,Costa Rica na Mesoamerica kiujumla wakazikuta kubwa na nyingi Sana Ndipo wakajiuliza je na haya ni Makaburi ya Pharao Gani?
Hapo Ndipo utafiti ukaanza fanyika Inakuaje utamaduni wa kale Katika Dunia nzima ufanane?
Na hapo tunaambiwa watu wa kale walikua duni Katika science and technology maajabu tunaona Kazi ambazo zinaacha utata mkubwa yaani majengo Yana miaka zaidi ya 15000 BCE hayana hata ufa na nimakubwa yaliyojengwa Kwa mawe ya miamba iliyochongwa Kwa kukatwa Kwa shape wakati Leo hatuna teknolojia hiyo hujiulizi tu nani kafanya?
Kwa taarifa nyepesi tu Hii race ya madini haikuishia kwa annunak bali ni kama ugonjwa wa kurithi walio tuachia binadamu wa leo! Unadhani kwanini banadamu anapambana sana kupekua anga!!? Unajua kinacho wapeleka hapo karibu tu MARS ni madini mzee, kuna vitu hatuwezi kuvifanya kulinga na ukosefu wa madini mean madini tuliyo nayo ama yaliyo gundulika mpaka sasa hapa duniani ndio yaliyo fikisha sayansi na technology hapa ilipo hivyo tunaamini kwenye kupata madini mapya pengine yanaweza yakatufikisha mbali zaidi zaidi ya hapa na yatafanya tugundue hata ambavyo bado hatujagunduaKwahyo Anunaki sio Mungu ila wanaumba binadamu kwa Advanced tech waliyonayo right?
Ila same advanced tech haiwez kuumba dhahabu wakatengeneza hkohko Nibiru? Hiyo advanced tech inashindwa tengeneza machine za kuchimba dhahabu Ila wanaingia gharama za kuumba mwanadam?
Hawa viumbe wenye advanced tech ambao wanajali Sana mazingira ya Nibiru walishindwa kuwa na proper exit strategy baada ya kuchimba dhahabu mpaka wagombane wao kwa wao na kususa kuamua kumwacha mwanadam?
Unajaribu kuonesha Mungu hayupo ila Imani na dhana ya kiwepo na kiumbe au cheo cha Uungu ilianza enz za hao Anunaki,
Swali, Nan aliyetengeneza sayari? Nan aliyetengeneza Nibiru na dhahabu? Tujuze kwanini watu tunakufa? Nadharia ya shetan ilianzia wapi na lini?
Mkuu una uhakika umesoma vyema hii habari? Na una uhakika umeyasoma haya tuliyokaririshwa vyema kiasi cha kuweza kuyachallenge ukilinganisha na hao Anunaki?
Wataelewa tukuhusu ANNUNAKI kumuumba Binadamu ni Moja ya advanced science waliyokuwanayo Annunaki,
Wewe kinachokushangaza ni kuumba Mtu badala ya kuumba mashine Hivi hujui Kutokana na wao kua advanced Mtu nae ni mashine ya Kazi Katika migodi Yao na ni Moja ya taknolojia kubwa sana kwao?
Pia swali lako la pili linanishangaza unashangaa Anunnaki kumuumba Mtu na kushindwa umba dhahabu
Please naomba nitajie element zinazounda dhahabu,Mimi nikupe element zinazounda Mtu/binadamu halafu twende field tuone nani ataibuka bingwa
Pia nakukumbusha utajaribu kama Kuna dhahabu ya maabara itatokea na Mimi nitakuonesha jinsi Gani human manipulation na cloning project inaweza ibua kiumbe chochote maabara na ukastaajabu,
Elimu! Elimu! Elimu!