ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Sasa hayo maandiko ya wasumeria Nani aliandika km Anunaki walishuka wakaumba watu kwa ajili ya kuchimba dhahabu je hao wasumeria walikua ni nyani au waliandik historian baada matukio kupita?
Hayo maandiko yaliandikwa na gods wenyewe yaani ANUNAKI Na waliyaandika katika TABLET za Mawe yakiwa na lugha hiyo inayodaiwa ni ya SUMERIA au ni Lugha yao Maana mpaka sasa watafiti wanaachwa njia panda maana ile LUGHA ni tata na complex sana katika historia ya Mwanadamu
Kwanza ina ALPHABET zaidi ya 300 Wakati huo leo tunazo 26 tu Vile vile ina lugha ya HESABU ambazo hazina calculation katika Mfumo Wetu Wa Leo,
Nikola Tesla Mwanadamu alikua genious wa hesabu aliyegundua Umeme Wa AC tunaotumia Leo alijaribu kidogo kufanya calculation hizo ndio zilizofanya leo tuna TANESCO
Nae alizipata kwenye PYRAMIDS za Giza wakati vilaza wanasema yale ni Makaburi ya MAPHARAO
yeye alisema yalikua POWER PLANT za kuzalisha NGUVU KUBWA ya UMEME mionzi tena WIRELESS Uliotumika Kusapply Nguvu Duniani Ili na kuweka MAGNETIC
vile vile alisema kuna uwezekano zilikua ni PLASMA GENERATOR Za KUchaJI MAKERUBI au SPACESHIP za WAANUNAK Maana juzi hapa uligunduliwa wanja wa ndege za Anunak huko Lebanon wenye Matofali ya Mawe ya miamba yenye Tani zaidi ya 1000 Kwa jiwe moja
Na yana miaka zaidi ya 5000 BC huko
ni maswali mengi kuliko majibu ndugu!
 
Naona siku hz hizi story za UFO na SPACESHIP zinapamba moto ,mitandaoni
 
Ukijaribu kufatilia Hawa Sumerian wanaoamini katika Mungu mingi (polytheism) ambapo ni sawanamataifa mengi kila jamii ilikuwa na miungu yake inayoiamini tofauti na Imani ya Sasa inayoiamini katika Mungu mmoja (monotheism).
Ukifatilia hata uku afrika mababu zetu walikuwa wanaamini katika miungu na walikuwa wakisema neno au ukienda kinyume na matakwa ya miungu kinakupata kitu kibaya lakini ilipo kuja Imani ya Mungu mmojani kama miungu ikasizi na kukosa nguvu.
 
Yaa kweli hao miungu wengine wali iharibu Dunia ya Kale sana Human Being wakawa Slaves
Kwao kumbuka hao Anunaki ni group of Deities walikua wengi sana na walistawi duniani kote kuanzia kule Misri,India,China,Ankor Wat ,Meso America,Babylon kote na miji yake ya kale kama Eridu,nippur,kish,Shurupak,Nenev NK Na Huko kote walijenga Mahekalu Makubwa Mfano India kulikua na mungu Krishna na Alijenga mahekalu katika miamba migumu yaani anachonga hekalu kwa teknolojia za miungu kitu ambacho binadamu wa leo hatuna uwezo nacho hata chembe maana ni high advanced Technology mara buku na ya kwetu pia huko PERU na Mexico mungu Quetzacolt Au kukukan ndie aliyejenga yale mapyaramids yote na ndie enjinia wa Pyramids za Misri Pia

Hawa gods walikua wanaonekana live kwa nguvu zao ila baadae MUNGU Mkuu wa miungu JEHOVA au EL ambae ndie the ALL aliwakomesha maana inadaiwa before aliumba ADAM wa kwanza majamaa yalikuja na science za Kuclone humanoid yakaleta machotara ya ajabu yaliyo corrupt nature na MUNGU EL akaamua ayafutilie mbali na kuyafungia gizani Yaani kwenye dimension yao ya Asili Sio hii pysical World!

Hao ndio divine being wa kale
 
Mkuu katika maelezo yako ya mwanzo umesema ANU alikuwa mtawala wa Mbinguni na KI mkewe mtawala wa duniani lakini hapa kwenye maelezo yako umesema ANU alikuwa mtawala wa Nibiru hapa ambayo sayari hii iliaribiwa na vita ya Mbinguni hapa mbona mkanganyiko, lakini pia huyo ANU anasemekana ndio aliekuwa na nguvu alishindwa vp kuzuia vita ya Mbinguni, na vp aje kutafuta madini duniani wakati KI mkewe ndie mtawala wa duniani anaijua Dunia .
 
Mkuu hapa kwenye kuumba mtu kwa ajili ya kuchimba almasi kama ndio technology mbona wanazidiwa na watu wa Leo waliotengeneza machine ambazo zinachimba ina advance na kwa wingi kuliko watu, rejea wachimbaji wadogowadogo vs makampuni yanayotumia machine mfano GGM
 
mkuu wacha masihara Binadamu wa leo unasema anachimba madini?
Annunak ndio waliosababisha baadhi ya majabari makubwa sana na underground tunnels around the World hivi unajua ile Grand Canyon Arizona marekani wanasayansi wanasema palipigwa na kimondo ila uhalisia ni accient mining?
broo huko maputo na great Zimbabwe kuna machimbo ya dhahabu yana miaka zaidi ya 3500 BC na yamechimbwa kwa ustadi na tech ambayo leo hatuna pia huko INDIA,Peru na Kush nako kuna ushahidi wa mamillion ya tani ya dhahabu yalichimbwa hapo kale hujiulizi hizo dhahabu zilipotelea wapi na hua haziozi,
watafiti wanadai dhahabu iliyochimbwa KUSH tu Akiba yake ilitosha Kukidhi mahitaji ya hapo kale na ya dunia ya leo vipi kuhusu ile tu aliyokuwa nayo Mansa Musa wa Mali ilitosha kushusha value ya dhahabu kwa miaka mingi Sana ajabu hatujui ilikopotelea hata kwenye mabaki ya kale haipo!

kama umesoma visa vya Mbingu kujengwa kwa dhahabu basi utajua kwanini miungu ya kale ili offer dhahabu kwa wanadamu
dhahabu ina fumbo tata sana mkuu!
 
Kuna mtu katoa ufafanuzi mzuri sana akinukuu angano la Kale katika kitabu cha Mwanzo, hawa malaika wachafu walivyoshuka na kuanza kuzaa na binadamu na kupatikana kizazi kingine kilichokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili lakini matendo machafu ambayo hayakumpendeza Mwenyezi Mungu.

Mtoa hoja bado hajaeleza zaidi kuhusu hawa viumbe wengine wasioonekana (hawana mwili) na wao wapo kundi gani? (Majini, mizimu, mapepo nk) ambao wao bado wanaishi na sisi na wana uwezo ndani yao.

 
Still together blood
 
Nimeupenda Sana mfanonwako mkuu hakika nifikirishi birashaka umefikilia kwa kina

Lakini umesimamia Sana katika Imani yako ningeshauri ungetoka kidoogo nje ya Imani au unachokiamini ili tuweze kufikia mwisho mzuri wenye kutu weka huruπŸ™πŸ™πŸ™
 
πŸ™πŸ™
 
😲😲
 
Nahisi huyo jamaa utakuwa unamwagia ugali na mboga mkuu achana nae twende kazi
 
Au nikama

Kama kutakuwa na kapicha tafadhari mkuu nahisi navutiwa na hii habari na Naina kina ukweri mwingi mnoπŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…