ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Billy Carson amestreamline mambo mengi sana juu ya akili ya Africa tumfuatilie jamaa......
duu mwamba kumbe unampata huyu mdau daa kweli Bongo wenye
kufuatilia madesa mpo wengi sana,
nastaajabu maana Billy ni my best friend na ni kama my Blood tulifahamiana long time kipindi natafuta info kuhusu haya mambo,
mkuu tupo pamoja sana umenikosha na kweli JF ni kichaka kikubwa sana!
 
Naam! Jamaa yupo vizuri kwenye pembe ya kuueleza ukweli juu ya Afrika
 
Mada nzuri sana na fikirishi....Kuna article nliisoma sehem inasema hata Ellon Musk ni allien...kwangu it's just a rumour ila nlitaka kujua zaidi kama Kuna mdau kaweza kuchimba deep hili suala!! Ninasoma
No Musk sio Allien ila ni mwamba alianza kufuatilia haya mambo ya Accient Civilization
akajikuta amekua crazy juu ya hidden history mwishowe akajikuta amepata idea mbali mbali
vile vie Nikola Tesla aliweza kugundua umeme wa AC huu tunaotumia baada ya kuanza solve codes za mahesabu zilizokutwa kwenye tablets za khemet na ma Pyramids
kuna siri nyingi juu ya dunia ya kale mkuu nikianza kuelezea baadhi hapa tutakesha!
 
Naam! Jamaa yupo vizuri kwenye pembe ya kuueleza ukweli juu ya Afrika
hasaa jamaa yupo vizuri sana hakuna kitu kizuri kama mtu kujitambua yeye ni nani
hiyo inakupa ujasiri sana mfano mimi kuna mambo kwenye hii dunia nayachukulia kwa jicho
la tofauti sana hasa juu ya hii tech na maendeleo ya mwanadamu nipo deep sana kujua legacy
ya Africa ya kale!
 
Tuna subiri mkuu
 
Muziki ndiyo sauti ya Dunia kwa Sasa Rasheed Jamal ameutumia mkabala huu ambao unamulikwa sana na walioona mwanga ila wasiotaka wengine kuona...."allegory of the cave"
 
Mkuu@Dumas the terrible, namna ulivyokuwa unawateea anunaki lakini sasa unamuamini kristo ni jambo linalostajaanisha.natamani kusikia ushuhuda wako!!
 
Mkuu@Dumas the terrible, namna ulivyokuwa unawateea anunaki lakini sasa unamuamini kristo ni jambo linalostajaanisha.natamani kusikia ushuhuda wako!!
Haahahaa pamoja mkuu tutasomana now nipo deep kwenye kufuatilia vitu Spirituality
na nimezamia huko baada ya kumaliza historicaly Na kukuta bado hakunipi majibu ya kuridhisha nikaamua kuingia site kuchimba kipi ni kipi nikajikuta nimeingia dimension ya ulimwengu mkubwa ambao sio huu wa kawaida na unaotawala vitu vyote,
Nimekuja kujipata nipo na mambo makubwa kuliko
yale niliyokua nayajua yaani mwanzo nilidhani Maji ya dimbwi ni Mengi kuliko yote mengine kumbe nisijue kuna Bahari!
 
[emoji23] we jamaa bana
 
Mkuu lete vitu tupate elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…