Budda hakuna maandiko ya moja kwa moja aisee maandiko yao yanafanyiwa tafiti na taasisi mbali mbali za kihistoria hivyo kwa sisi matomaso hua tunaingia vyanzo mbali mbali kuangalia update maana majamaa kila siku yapo site yanaleta uptadate vipande vipande hivyo inabidi kusoma vyanzo mbali mbali vinavyo fanana na uconnect dot ndio uelewe la sivyo unaingizwa chaka na hutaelewa moja kwa moja maana haya mambo ni mazito na yanachanganya usipokua smart na inteligent kichwa kitapasuka,
pia kuna mambo mengine hua nashindwa kuweka wazi au kufunguka maana vyanzo vya taarifa ni watu wanaoaminika na ni secret service ambao nimebahatika kua na acces nao kutokana kua mdau mkubwa wa mambo hayo,
pindi nikiweka hapa hao wapuuzi UNESCO &CO bado hawajajua baadhi ya siri nyingi za Dunia ya kale hua wanafuatilia kwa karibu machapisho kama haya kujua ukweli ili waufiche kubalance mass heisteria wanajua historia za uongo na mchongo walizodanganya watu kwa miongo mingi zitafichuka hivyo kusababisha watu kuanza kuhoji baadhi ya mambo mazito,
kipindi naanza hii mada mwanzoni tu nilifunguka baadhi ya code kadhaa ambazo hakuna pimbi mwingine angejua ila maajabu nikaona machapisho huko UROPA kwenye channel za YOUTUBE majamaa yamecopy na kuanza kufanyia utafiti maana sikuandika humu JF ni kwenye mtandao wa kufuatilia mambo kale majamaa yakaanza nisaka kwa udi na uvumba na unajua tech ni ndogo nikaona yatanifikia huku nikamute long time nimerudi juzi juzi tu hapa!
sitaki nongwa!