ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

Tatizo lenu mnadhani Kila kitu ni Imani swala la Annunaki limekaa kijamii na kisayansi zaidi Tatizo lenu nyie dini zenu zimewalaghai nadharia zote kuhusu MUNGU/Miungu/Malaika/
Watchers/Shetani

Zote zilitolewa kwao hao hao ANNUNAKI na Jamii za kale na ndio Mpaka Leo zimetengenezwa kijanja,mKiufupi hata hamuelewi maana ya neno 'MUNGU' mnafuata mikumbo tu Bila fahamu Leo tunapowaletea maana yake mnacharuka mara oooh Annunaki sio MUNGU ila Kuna MUNGU muumba Bila kujua dhana Hiyo Ina maanisha waolishuka duniani na watawala wa mbinguni (Nephilim/12th planet Nibiru)
 
Dumas funga huu Uzi tafadhali! Narudia tena, kama huamini katika kitu chochote yaani hata katika hiki unachokihuburi hapa nakusihi kwa Jina la Yesu delete huu Uzi! Unatulisha vitu ambavyo hata wewe mwenyewe huviamini!!
Duuu hahahahaha hii Kali ya Mwaka kwamba nifunge Uzi Kwa lengo lipi?
Wewe ndie nakushauri uuage mjadala maana umekuzidi kimo ila Uzi utaendelea kuwepo kwenye server za JF na jukwaa hili Mpaka kieleweke,
Huu ni Mwanzo tu Bado Nina information nyingi na shahidi za kihistoria kuwahusu Annunaki,

Karibu Katika mjadala!
 
Swali langu hao Annunak si ndo walifanya human manipulation na human cloning ili kumpata binadam wa sasa... je waliwaumba race tofauti ama ndo nature nayo ilifanya yake ndo kukawa na hizi tofauti za human race?
Mkuu ukisoma accient tablets za Wasumeria alizotafsiri
Zachariah Sitchin zimeandika Annunaki walifanya human manipulation na cloning Kwa viumbe mbali mbali pamoja na mimea bustani ya Eden/Aden iliyokua pembeni mwa mji wa ERIDU ndio sehemu ya kwanza ANNUNAKI walifanya majaribio ya mazao ya kisasa miti yote ya matunda,mbegu mbali mbali za mboga mboga na vyakula vyote pale ndipo ilipokua inazalishwa,
Eden ilikua umepitia mito ya Tigris na Euphates aliyotumika kama chanzo Cha umwagiliaji wa mazao ya majaribio na ndipo ambapo Adapa (Adamu)
Wa kwanza alipata ishi na hao Miungu waliomfanya akiitunza bustani kabla hajafunguliwa akili na ya kutambua mema na mabaya na Moja ya jamii za Annunaki waliotaka asiwe mtumwa pale

(Dhana hii imekaa kisayansi zaidi ikiwa na maana waliaactivate ufahamu wake ajitambue zaidi jambo lililohatarisha angeweza fanya jambo kubwa na akatolewa Eden na kwenda kuishi nje Ambako alikutana na race ya jamii nyingine waliofanywa pia na hao hao ANNUNAKI ila wanatumika kuchimba Dhahabu)
 
Hiyo race nyingine chanzo chake n primitive waliowakuta hapahapa duniani au n primitive kutoka sayari yao walikuja kuwafanyia cloning hapa kwetu ndio maana wakawatenganisha?
Na pia naomba tujibu huu utofauti wa race zetu.
 
Hiyo race nyingine chanzo chake n primitive waliowakuta hapahapa duniani au n primitive kutoka sayari yao walikuja kuwafanyia cloning hapa kwetu ndio maana wakawatenganisha?
Na pia naomba tujibu huu utofauti wa race zetu.
Nadharia zipo mbili Mkuu ya kwanza ni Ile ya kumfanya Kiumbe anayeitwa Enkidu (Primitive)
Awe Homo sapiens
Nadharia ya pili walichukua genre ya kwao na kumix ya Enkidu ndio akapatikana Adam wa Eden au tunawaita Caucasian ambao ndio wazungu wa Leo!
 
Nadharia zipo mbili Mkuu ya kwanza ni Ile ya kumfanya Kiumbe anayeitwa Enkidu (Primitive)
Awe Homo sapiens
Nadharia ya pili walichukua genre ya kwao na kumix ya Enkidu ndio akapatikana Adam wa Eden au tunawaita Caucasian ambao ndio wazungu wa Leo!
Poa vip wahindi,waarabu,wachina na sisi wa africa tumetokana na nn?
 
Tatizo watu ambao hamuamini dhana ya "Umungu" mnaokoteza kila kitu ili mradi kinatofautiana na hiyo dhana ili mjifurahishe!

Narudia tena kuna siku hapa ulisema binadam tumetokana na bacteria! Leo tena unakuja kusema tumefanyiwa manipulation na Annunaki kutoka viumbe wa mwituni!

Kikubwa kila mtu ashike anachokiamini maana hata wewe hapa unaamini kitu ambacho hakijaonekana kwa zaidi ya maelfu ya miaka, unakuwa huna tofauti na mtu anayeamini kuna Mungu muumba mbingu na nchi.
 
Mkuu Annunaki walikuja duniani kutoka 12th Planet Nibiru (Mbinguni)
Kuja kufuata dhahabu kama metal ya mhimu Kwenye teknolojia Yao,maandiko ya Sumeria yanasema dhahabu ni ufunguo wa maisha wakiwa na maana ilitumika kurecover atmosphere ya sayari Yao iliyoharibiwa na vita iliyoitwa Galactic civilizations war au Katika nadharia ya watu wa dini wanaita vita ya Mbinguni
Hivyo baada ya mission Yao kukamilika waliondoka duniani Ina maana hawana interest na Sayari yetu maana ya kwao ni kubwa mara tatu na ya kwetu na ni high Intelligent isiyoelezeka,

Hebu nikufunulie Siri Moja upate kuunga dot
Unajua kwanini maandiko mengi yanayodaiwa ni matakatifu yameandika Mbingu imejengwa Kwa milango ya Dhahabu na madini mbali mbali huko akiishi 'MUNGU'
(master of high chamber)
Pamoja na malaika (Watchers) zake wakiilinda milango Hiyo?

Unajua maana ya maandiko kuandika Mungu amekaa Katika kiti Cha enzi chenye utukufu mkubwa pamoja na nguvu mamlaka na kuzungukwa na Baraza la wazee wa Siku 24?
Hivi unajua hayo maandiko yalitoka wapi kwingine kama sio
Mesopotamia ambako ndio nadharia ya Mungu/miungu ilianza na Israelites wakifuata mafundisho ya Abraham ambaye ndie baba Yao aliyechukua Hizo Nadharia huko Uru ya Ukardayo Mesopotamia akizungumzia Mkuu wa Annunaki aliyeketi kwenye kiti Cha enzi Cha Mbinguni
( Nephilim/12th planet Nibiru)
Ambako mtawala wake aliitwa
Elohim/Elojim/YHW

Watu wengi wapo fools walipata masimulizi ya nadharia tu na waliowaanzishia Hizo dini huko wakisahau ipo Siku tutaweza tafsiri maandiko ya kale ya Sumerian ambayo wameicopy Hiyo nadharia!
 
eti watu wasioamini dhana ya Mungu Hivi unajua maana ya Mungu kweli wewe?
Unajua
MUNGU ni cheo sio jina?

Haya nikuulize unaamini Katika MUNGU Gani Katika Ile Miungu mingi ya kale?
 
Halafu kitu kingine Ankori hebu amka basi Swala la ANNUNAK sio la kiimani aisee mbona mnakua wagumu kuelewa hakuna mtu timamu atayesema ANUNAK walikua Miungu ila nyie ndio mliechukua nadharia za Uungu kutoka kwao na kumtengeneza modern GOD ambaye mnaemwabudu na hamjawahi kumwona hauoni kati yangu na wewe Kuna utofauti hapo?

Narudia hakuna kiumbe anaitwa 'MUNGU'
Bali Hilo neno linatumika kama title tu lenye maana ya
'Master of High Chamber'
Katika accient tablets za kale za Wasumeria huyo Master of high chamber aliitwa 'ANU'
Wayahudi na Israelites walimwita
Elohim/Elojim/YHW

Soma kuelewa Ankori!
 
Hizo za ukifa unaenda maisha ya eternal ni fiction tu walizolaghaiwa watu wa kale na hao watchers kiufupi hakuna kitu kama hicho mtu ukifa unakua decay unatoweka kabisa udongoni yaani unakua deadly infinity,

Hizo dhana zilianzishwa na ENLIL wakati ANNUNAK wanaondoka duniani na kurudi kwao waliwaambia hivyo maana walijua wanaondoka duniani na hawatarudi Ili kuwafariji wakawapa porojo za life after death Kumbuka

Annunak walicotrol man kind na walikua na akili sana walitunga sheria walizoziita dini Ili iwe faraja Kwa watu watakaowaacha huko wakiwaahidi ipo Siku watarudi na kuwachukua waende wakaishi nao juu mbinguni
(Nephilim 12th planet ) kwenye Raha za milele na anakoishi Mungu Mkuu ambaye ndie baba wa waanak yaani ANU

Kiufupi Ile ilikua danganya toto tu ukisoma maandiko ya Sumeria yanadai race ya binadamu ilikataliwa na jamii ya wanibiru kwamba haitakiwi huko kwao sababu lengo ilikua ni kuwatumia kama vijakazi wa kuwachimbia dhahabu tu mwisho wanatoweshwa ila kutokana na kuishi nao Kwa Upendo Kwa miaka mingi baadhi ya watchers waona waache tu wasurvive wakitumainia ipo siku watarudi kuwakomboa kwenye shida zao!

Kwahiyo jombi zile story zenu za Malaika kuonekana zamani na kuishi duniani kwenye dini zenu unajua kwanini Leo hawaji Tena Kwa maelfu ya miaka?

Mlilaghaiwa Aiseee poleni Sana waamini!
 
Aisee Mkuu ukisoma Katika accient tablets za Sumeria binadamu kwao Alikua kama kijakazi tu wakuwafanyia kazi Katika migodi Yao hivyo baada ya project hawakuona sababu ya kujipa mizigo,
Accient tablets zinasema walipokua wanaondoka Kuna elimu na kanuni walimpa binadamu Ili asurvive duniani Kwa miaka mingi mbele Nazo ndio elimu ya Nyota, Muziki, Uhandisi, uchimbaji madini, Dini NK

Lengo ilikua ni kumwacha ajiendeshe mwenyewe na ndio maana baada ya wao kuondoka ule ustaarabu ukaanguka Kwa sababu binadamu Alikua tegemezi kwao Kwa kila kitu ndio hayo ma sites kama pyramids na ma underground bases mengi yalitelekezwa tu yakajifia mengine yanasurvive Mpaka Leo!
 
Mkuu huyo mtafsiri utamuamini vipi je kama kakuingiza chaka? Utajuaje...

Na enzi za hao majamaa kumbuka kulikuwa na viumbe wanaishi hapa duniani kabla ya kuja hao majamaa na kuumbwa kwa Adamu...

Swala langu ni nani aliyeumba hao viumbe wa kabla?
 
Mkuu huyo mtafsiri utamuamini vipi je kama kakuingiza chaka? Utajuaje...

Na enzi za hao majamaa kumbuka kulikuwa na viumbe wanaishi hapa duniani kabla ya kuja hao majamaa na kuumbwa kwa Adamu...

Swala langu ni nani aliyeumba hao viumbe wa kabla?
Annunaki walikuja duniani na kuikuta IPO kwenye nature yake inasurvive na viumbe wake!
 
Basi pia lugha ingekuwa ni moja tu iliyotokana na hao majamaa mana binadamu sindio walikuwa wanawafata....

Aache kutulisha matango poli huyu mkuu.
 
Kwny kitabu cha henoko Hawa Malaika wanaitwa fallen angels,ndio walikuja wakazaa na Binti za wanadam,ndo watoto wao walikua giants au wanefili wa kitabu cha mwanzo.

Lkn bdo sumerian texts ndo zinashinda hapa since ndo zimetangulia kuelezea historia ya uumbaji,ila the elite hasa kwny Roman Catholic wanajua historia yote hii lkn wakiusema watakosa biashara,ndo maana nasemaga religion na formal education ni the biggest scams kuwahi tokea Dunia hii.
 
Basi pia lugha ingekuwa ni moja tu iliyotokana na hao majamaa mana binadamu sindio walikuwa wanawafata....

Aache kutulisha matango poli huyu mkuu.
Lugha kutofautia sio ishu kutokana na umbali wa kijiografia....
Mm nimemuuliza hawa ndg zetu wahindi,waarabu na sisi wa africa chanzo chetu n kipi? Hajanijibu
Tatizo lake anataka kukaririsha watu vitu alivyomeza maswali ya msingi hajibu numempuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…