ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

haaahaaa sijui mnataka marejeo Gani nyie watu yaani wewe sites zote ambazo walijenga kama Pyramids za Giza, Mesoamerica, Canary islands, Indonesia,china na underground bases nyingi Sana Kila siku zinakua documented Bado huamini
Tatizo mnaleta ubishi Bila kujielimisha Ili ubishe Kwa fact
Sina muda wa kuwalazimisha sawa Ankori baki hivyo hivyo!
Usipate shida wewe thibitisha ya kuwa
hizi site walijenga hao Anunaki.
 
Naomba utuonyeshe mchakato unafanyika vipi na usahihi wake ukoje ?
Unapenda kitonga Mimi ndie nilikufanya ukimbie shule?
Nenda kajifunze huko maarifa hayo Sina haja ya Kuanza kukupa elimu Mimi sio Lecture,naanzaje kukupa elimu kuhusu carbon 14
Ka google huko jinsi inavyofanya kazi ndio upate majibu
Tuendelee na mada!
 
Usipate shida wewe thibitisha ya kuwa
hizi site walijenga hao Anunaki.
Nenda kwenye Hizo site jombi usitake uthibitisho Toka kwangu wakati unaonekana wewe sio mtu wa kujifunza ila unataka mabishano tu,
Nakupa sites hapa
Pyramids of Giza -Egypt
Pyramids of Mesoamerica -Mexico,Peru,Costa Rica,
Nazca lines - Peru
Temple of condor - Peru
Machu Picchu - Peru
Great stone of Costa Rica
Accient ENKI gold mining - South Afrika/Mozambique
Rama setu bridge -Tamil Nadu India
Angkor wat - kambodia

Grand Ziggurat of Uru - Iraq
Stonehenge - Great Britain
Grand canyon - USA
Accient Gabon Nuclear reactors -Gabon
Dogon tribe - Mali

Haya Sasa nimekupa sites Hizo hapo ni baadhi tu ya Zile nyingi Nenda kajionee historia inasemaje juu ya Annunaki na Accient civilization!

Mpaka hapo nimekusaidia ukirejea njoo tuendeleze mjadala na nipo tayari kukosolewa Ankori!
 
Unapenda kitonga Mimi ndie nilikufanya ukimbie shule?
Nenda kajifunze huko maarifa hayo Sina haja ya Kuanza kukupa elimu Mimi sio Lecture,naanzaje kukupa elimu kuhusu carbon 14
Ka google huko jinsi inavyofanya kazi ndio upate majibu
Tuendelee na mada!
Hili limeisha. Huwa napenda kujadiliana na watu wanao jua wanayo yaandika na kuyaegemea.

Unayo yaegemea mimi huenda nikawa nayajua kukuzidi wewe, ila nafanya hivi kuonyesha ujinga wenu ulipo.
 
Nenda kwenye Hizo site jombi usitake uthibitisho Toka kwangu wakati unaonekana wewe sio mtu wa kujifunza ila unataka mabishano tu,
Nakupa sites hapa
Pyramids of Giza -Egypt
Pyramids of Mesoamerica -Mexico,Peru,Costa Rica,
Nazca lines - Peru
Temple of condor - Peru
Machu Picchu - Peru
Great stone of Costa Rica
Accient ENKI gold mining - South Afrika/Mozambique
Rama setu bridge -Tamil Nadu India
Angkor wat - kambodia

Grand Ziggurat of Uru - Iraq
Stonehenge - Great Britain
Grand canyon - USA
Accient Gabon Nuclear reactors -Gabon
Dogon tribe - Mali

Haya Sasa nimekupa sites Hizo hapo ni baadhi tu ya Zile nyingi Nenda kajionee historia inasemaje juu ya Annunaki na Accient civilization!

Mpaka hapo nimekusaidia ukirejea njoo tuendeleze mjadala na nipo tayari kukosolewa Ankori!
Umeelewa swali langu au ninachotaka ?
 
Hili limeisha. Huwa napenda kujadiliana na watu wanao jua wanayo yaandika na kuyaegemea.

Unayo yaegemea mimi huenda nikawa nayajua kukuzidi wewe, ila nafanya hivi kuonyesha ujinga wenu ulipo.
Sawa mwerevu haya Lete mambo!
 
Umeelewa swali langu au ninachotaka ?
si unataka ushahidi juu ya sites zilizojengwa na Annunak Nini hujaelewa Ankori choma nauli nenda sites acha kubishana kitoto hapa,nenda Rudi na ushahidi hapa kwamba
Dumas the Terrible niliwadanganya juu ya sites nilizokupa ukahakikishe ya kwamba wajenzi wake sio Annunak ila ni Malaika na ushahidi huu hapa!
Unakwama wapi Ankori!
Simple tu!
 
Hapo hujaonyesha ushahidi, bali umetaja majina.
 
Kuna au unao uhakika 100% ya hayo maandishi ya Kale ya sumeria ni genuine au je isiwe hizo tablets ndio wamecopy kutoka mafundisho ya Abraham,ni sayansi gani au uthibitisho gani upo wa uhakika pasina shaka kuwa hayo maandishi ni ya kale sana.
Maana mimi na wewe yote ni wa karne hii wewe unawezaje kuamini hayo maandishi ni genuine sie tushindwe kuamini.
Au kama upendavyo kusema huamini chochote,je wewe kama wewe unadhibitishaje kuwa hayo maandishi ya sumeria ni genuine sie wengine wote ambao unatuita(fools) tushindwe kuamini?

Sio kwamba wewe ndio fool umeingizwa mkenge na shetani kwa kuamini na kuyabeba kama yalivyo hayo mambo ya kale.

Mimi nasema huu ni mpango wa shetani wa kuhadaa watu wa Mungu.

Kwa maana hayo maandishi yawezekana vipi yakawa copycat ya maandiko ya dini(Mungu na Uumbaji)

Kuna namna unapigwa na kuna namna na wewe unapiga.

Sasa Sisi hatupigiki ila tutajifunza na wewe bumper to bumper mpaka kieleweke.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Ivi inamana Hawa annunaki hawahitaji dhababu Tena , ili wafanye repair ya sayari Yao ya Nibiru. Au Kuna Mbinu nyingine wanatumia kupata dhahabu duniani, kama Mbinu nyingine ipo itaje.
 
Wewe jamaa kuna sehemu unapata wenge tena super wenge unajichanganya sana.
Hauko straightforward unarukaruka tu,na hii story itakuwa umeimeza kama ilivyo hujachambua na kutafakari vyema

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kwa ushauri ndugu itafute wewe uisome halafu uiwasilishe hapa jamvini itapendeza sana maana Unaona yangu Ina wenge na haieleweki Kwako!
Ni ushauri tu Ankori!
 
Kuna au unao uhakika 100% ya hayo maandishi ya Kale ya sumeria ni genuine au je isiwe hizo tablets ndio wamecopy kutoka mafundisho ya Abraham,ni sayansi gani au uthibitisho gani upo wa uhakika pasina shaka kuwa hayo maandishi ni ya kale sana.
Maana mimi na wewe yote ni wa karne hii wewe unawezaje kuamini hayo maandishi ni genuine sie tushindwe kuamini.
Au kama upendavyo kusema huamini chochote,je wewe kama wewe unadhibitishaje kuwa hayo maandishi ya sumeria ni genuine sie wengine wote ambao unatuita(fools) tushindwe kuamini?

Sio kwamba wewe ndio fool umeingizwa mkenge na shetani kwa kuamini na kuyabeba kama yalivyo hayo mambo ya kale.

Mimi nasema huu ni mpango wa shetani wa kuhadaa watu wa Mungu.

Kwa maana hayo maandishi yawezekana vipi yakawa copycat ya maandiko ya dini(Mungu na Uumbaji)

Kuna namna unapigwa na kuna namna na wewe unapiga.

Sasa Sisi hatupigiki ila tutajifunza na wewe bumper to bumper mpaka kieleweke.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vingine unataka kuleta ujuaji unauliza swali la kitoto sana ambalo Kwa mtu mwenye Akili timamu aliyeenda shule na anajua historical time chatline atakushangaa
Yaani unataka kunambia Maandiko ya Sumeria yacopy maandiko ya Abraham
Hivi Kwa akili zako za kawaida na ulivyosoma bible verse zinasema Abraham na babaye Tera akiwa na mjomba wake Laban walitoka wapi?

Unajua Uru ya Ukaldayo Mesopotamia ambako alitoka Abrahamu kabla hajahamia Kaanan Kisha misri alikokaa Kwa muda kabla hajatimuliwa na Pharao alipomdanganya Sarai ni dadae na Pharao akaruka nae?

Muwe mnasoma badala ya kukurupuka yaani wewe unataka Mimi niandike Kila kitu hapa vitu vingine mkasome huko usitegemee source kutoka kwangu kama primary source utalost
Punguza ubishi na ujuaji!
 
Ivi inamana Hawa annunaki hawahitaji dhababu Tena , ili wafanye repair ya sayari Yao ya Nibiru. Au Kuna Mbinu nyingine wanatumia kupata dhahabu duniani, kama Mbinu nyingine ipo itaje.
Mkuu Hawa jamaa mission Yao ilimalizika kitambo Sana na waliondoka duniani golden age ilipomalizika
Note golden age ni kipindi Babel tower unaangukuka nadharia za kuanguka mnara wa Babel unahusisha kuanguka Kwa civilization zote kubwa duniani
Hiyo ilichangiwa na hao watchers kurudi kwao
12th Planet Nibiru (mbinguni)

Baada ya hapo tunaona historia mpya inaanza andikwa wanaibuka kina Abraham na Babaye Tera wanahama kutoka Uru ya Ukaldayo MESOPOTAMIA Mpaka kaanani na kuanzisha nadharia za Mungu Elohim/YWH

Maana miungu waliotegemewa washarudi kwao!
 
Kuna vitu vingine unataka kuleta ujuaji unauliza swali la kitoto sana ambalo Kwa mtu mwenye Akili timamu aliyeenda shule na anajua historical time chatline atakushangaa
Yaani unataka kunambia Maandiko ya Sumeria yacopy maandiko ya Abraham
Hivi Kwa akili zako za kawaida na ulivyosoma bible verse zinasema Abraham na babaye Tera akiwa na mjomba wake Laban walitoka wapi?
Unajua Uru ya Ukaldayo Mesopotamia ambako alitoka Abrahamu kabla hajahamia Kaanan Kisha misri alikokaa Kwa muda kabla hajatimuliwa na Pharao alipomdanganya Sarai ni dadae na Pharao akaruka nae?

Muwe mnasoma badala ya kukurupuka yaani wewe unataka Mimi niandike Kila kitu hapa vitu vingine mkasome huko usitegemee source kutoka kwangu kama primary source utalost
Punguza ubishi na ujuaji!
Nikuambie tu acha kuwa mpuuzi(unapuuzia sana huo ni udhaifu wa kijinga) na ukae ukijua hakuna swali la kijinga ila huwa kuna majibu ya kijinga tu.
Na swali la kitoto ndio huwa swali gumu zaidi duniani kuliko swali lolote lile kila mtu anajua watoto ndio wana maswali magumu sana ila huwa wanapewa majibu ya kijinga badala ya kupewa majibu ya kitoto.

Kama swali langu la kitoto basi nijibu jibu la kitoto sio la kijinga(kwa kutupuuzia)
Kuna maswali mengi unaulizwa unajibu nusu nusu.
Historical chat line tunazijua vizuri tu pengine zaidi yako.
Ndio maana nakuambia ebu thibitisha,isije kuwa hao annunak ni hekaya tu za kucopy history za kina Abraham na baba yake Tera.
Jibu maswali hakuna swali la kijinga hata kama la kitoto.
Ila najua utajibu ujinga au utajibu swali the choice is yours.

kama unajua historical chatline kama unavyojinasibu Hapa usingekuja na maswali ya kijinga Kwa kusema Sumeria tablets zimecopy maandiko ya Abraham Kila mtu mwenye akili timamu na anajua table ya majira na muda Katika Historia ya Dunia hakika atakushangaa Sana unaye jiita mjuzi kwazo,
Kingine nimetoa msisitizo juu ya historical sites za kale zilijengwa na ANUNNAK Toka Mwanzo wa Uzi kama Unaona sieleweki kwanini usuende extra miles ukatafuta source mwenyewe kuliko kujitia ujuaji Hapa ukitegemea Mimi nikupe information zote huoni Upo na Low IQ namna ya kudeal na mambo magumu kama Haya yanayotaka evidence kutoka vyanzo vya kuaminika?

Usipanic karibu Mkuu tuendeleze mjadala!
 
Back
Top Bottom