Kuna au unao uhakika 100% ya hayo maandishi ya Kale ya sumeria ni genuine au je isiwe hizo tablets ndio wamecopy kutoka mafundisho ya Abraham,ni sayansi gani au uthibitisho gani upo wa uhakika pasina shaka kuwa hayo maandishi ni ya kale sana.
Maana mimi na wewe yote ni wa karne hii wewe unawezaje kuamini hayo maandishi ni genuine sie tushindwe kuamini.
Au kama upendavyo kusema huamini chochote,je wewe kama wewe unadhibitishaje kuwa hayo maandishi ya sumeria ni genuine sie wengine wote ambao unatuita(fools) tushindwe kuamini?
Sio kwamba wewe ndio fool umeingizwa mkenge na shetani kwa kuamini na kuyabeba kama yalivyo hayo mambo ya kale.
Mimi nasema huu ni mpango wa shetani wa kuhadaa watu wa Mungu.
Kwa maana hayo maandishi yawezekana vipi yakawa copycat ya maandiko ya dini(Mungu na Uumbaji)
Kuna namna unapigwa na kuna namna na wewe unapiga.
Sasa Sisi hatupigiki ila tutajifunza na wewe bumper to bumper mpaka kieleweke.
Sent from my SM-J610F using
JamiiForums mobile app