Anwani za makazi kazi iendelee

Anwani za makazi kazi iendelee

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Waandaji wa vibao vya anwani za makazi waupiga mwingi

FB_IMG_16512067706785493.jpg
 
Nadhani inategemea na eneo uliopo, kuna wale wa kwenye L anaweka R utaona kibao kimeandikwa SAMIA LOAD na kuna wale ambao wazazi wao waliuza ng'ombe ili ng'ombe ziende shule ndio kama hapo kwenye FEED FORCE
 
Bado sana wanashindwa hata kuitumia google kujua spelling sahihi za maneno
 
Kuna watu na wamelipwa kwa utumbo huo, hata kujiridhisha walichokifanya hakuna.
 
Msimamizi wa anwani za makazi kapewa zawadi ya ufanyakazi bora. Bongo noma.
 
Hivi vibao viachwe vitukumbushe mahitaji ya mfumo wetu wa elimu
 
Huku kwetu kuna kibao kimeandikwa MTAMBANI LOAD nikabaki nashangaa,haya mambo ya kupeana michongo haya sio kabisa...halafu si kimoja vipo vingi
 
Hao sidhan kama ni waanwani za makazi ndio walioandika hapo. Hao sio wachina kweli ndio waliokiweka ili kufunga barabara kupisha ujenzi? Ila nao walishindwa ata kufanya copy & paste
 
Back
Top Bottom