Nadhani inategemea na eneo uliopo, kuna wale wa kwenye L anaweka R utaona kibao kimeandikwa SAMIA LOAD na kuna wale ambao wazazi wao waliuza ng'ombe ili ng'ombe ziende shule ndio kama hapo kwenye FEED FORCE
Hao sidhan kama ni waanwani za makazi ndio walioandika hapo. Hao sio wachina kweli ndio waliokiweka ili kufunga barabara kupisha ujenzi? Ila nao walishindwa ata kufanya copy & paste