Anwar Saadat akili kubwa

Ni kweli
 
Ni kweli lakn huyu jamal abdel nasser ndio alipoteza eneo la misri kwa waisrael 1967(operation focus ) na walimshinikiza ajiuzulu na bila shaka akajiuzulu
 
Ni kweli lakn huyu jamal abdel nasser ndio alipoteza eneo la misri kwa waisrael 1967(operation focus ) na walimshinikiza ajiuzulu na bila shaka akajiuzulu
Nasser alikuwa na mapungufu ila sio sawa na sadat. Na Kumbuka sadat alishafeli kurudisha maeneo ya misri. Alipewa sinai baada ya kukubali kuweka silaha chini na kufanya mazungumzo ya amani kitu ambacho israel ndo walikuwa wanakitaka siku zote kwasababu misri ndo ilikuwa ndo nchi ya kiarabu yenye ushawishi na nguvu kubwa kijeshi. Sadat alirudisha maeneo ya misri ila mwisho wa siku Israel ndo walifaidika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…