Anwar Saadat akili kubwa

Anwar Saadat akili kubwa

Hakuna kiongozi asiependwa na wa misri kama anwar sadat. Huyu jamaa kaiuza nchi yake ndo mana Israel na marekani wanampenda sana na kumtangaza vizuri ila waarabu wenyewe walimchukia vibaya. Hata msiba wake nchi nyingi za kiarabu hazikupeleka wawakilishi.
Jamal abdel nasser ndio kipenzi cha wa misri sio huyu mamluki
Ni kweli
 
Ni kweli lakn huyu jamal abdel nasser ndio alipoteza eneo la misri kwa waisrael 1967(operation focus ) na walimshinikiza ajiuzulu na bila shaka akajiuzulu
 
Nasser alikuwa na mapungufu ila sio sawa na sadat. Na Kumbuka sadat alishafeli kurudisha maeneo ya misri. Alipewa sinai baada ya kukubali kuweka silaha chini na kufanya mazungumzo ya amani kitu ambacho israel ndo walikuwa wanakitaka siku zote kwasababu misri ndo ilikuwa ndo nchi ya kiarabu yenye ushawishi na nguvu kubwa kijeshi. Sadat alirudisha maeneo ya misri ila mwisho wa siku Israel ndo walifaidika zaidi.
 
Back
Top Bottom