masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
- Thread starter
- #21
Ni kweliHakuna kiongozi asiependwa na wa misri kama anwar sadat. Huyu jamaa kaiuza nchi yake ndo mana Israel na marekani wanampenda sana na kumtangaza vizuri ila waarabu wenyewe walimchukia vibaya. Hata msiba wake nchi nyingi za kiarabu hazikupeleka wawakilishi.
Jamal abdel nasser ndio kipenzi cha wa misri sio huyu mamluki