Anwar Saadat akili kubwa

Anwar Saadat akili kubwa

masoud mshahara

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2018
Posts
4,712
Reaction score
2,010
Wanajopo aman iwe kwenu, Anwar Saadat ni mmoja kati ya viongozi shupavu kabisa kuwai kutokea Misri.Mwaka 1967 israel ilipiga vikosi vya anga vya nchi nyingi za arabuni ikiwemo syria na misri nakuteka maeneo kama golan height(syria) na bonde la sinai(Misri).Lakin mwaka 1973 Anwar Saadat kwa kushirikiana na hafedh asaad(rais wa syria) walianzisha vita kukomboa maeneo yao sasa alichokuwa anafikiria Saadat ndicho kilichotokea mpaka sinai ikarudi mikononi mwa wamisri tena .Alikuwa na akili moja bwana Saadat vita kidogo ili umoja wa mataifa uingilie sinai irudi misri na icho kilifanikiwa ,ruksa kuchangia na kurekebisha kwenye makosa asanteni
 
hongera kwa thread nzuri....lakini Hebu weka nyama kwenye hizo operations tujue walifanyaje ili kweli tuamini wana akili kubwa
 
Kaa andika kwa urefu zaidi..
A'm interested in it....
 
Hiyo historia hujaiweka vzr mzee tafuta documentary moja ya Al jazeera inaitwa War in June inaelezea hii vita vzr Muisrael aliwachakaza waarabu vibaya ingawa wao walikuwa na jeshi kubwa na silaha nyingi ila hawakuwa na plaz nzuri kwenye hiyo documentary utaona jinsi Ariel Sharon alivyokuwa na mbinu bora kbs wakat akiwa generali wa jeshi
 
vita ya Yom kippur ilivyoanza waarabu walionekana kama wanaweza shinda ila upepo ulikuja kugeuka na kijikuta jeshi la watu 20000 likiwa limezingirwa na vikosi vya israel hapo ni jangwani wakiwa hawana msaada israel wakateka barabara ya kuelekea Cairo Dk Henry kissinger akamwambia waziri mkuu Golda Meir je unaweza kusimamisha vita jangwani? Meir alijibu watajua wenyewe na hii ilipelekea Urusi kuandaa kikosi cha jeshi la majini lililokuwa upande wa Yugoslavia kwenda kuwasaidia waarabu Usa naye akajibu na wao wataingia vitani kumsaidia Israeli mambo yakawa magumu ikabidi suluhu ipatikane na maneno ya Anwaar El Saadat ni hawezi tena kupigana na Israel kwani majeshi yetu kila yalupokuwa yakisonga mbele tulikutana na majeshi ya ITALY GERMANY FRANCE UK
 
Huyu si ndiye alipatwa na kiharusi pale alipopata kichapo baada ya kutaka kutunishia misuli Taifa Teule. Farao wa kizazi hiki aliye pata stahiki yake kwa kishupaza shingo yake. Alikuwa akijifanya jeuri na ujuaji mwingi kumbe mpishi/mpiga pasi wake ni pandikizi la Wayahudi.
 
Hiyo historia hujaiweka vzr mzee tafuta documentary moja ya Al jazeera inaitwa War in June inaelezea hii vita vzr Muisrael aliwachakaza waarabu vibaya ingawa wao walikuwa na jeshi kubwa na silaha nyingi ila hawakuwa na plaz nzuri kwenye hiyo documentary utaona jinsi Ariel Sharon alivyokuwa na mbinu bora kbs wakat akiwa generali wa jeshi
Ni kweli Sharon alikuwa mwanajeshi imara ila alieshinda vita ni yule aliefikia lengo la kuanzisha vita
 
hahaaa'' mkuu hongera ' lakini hii mada yako " mbona ''umeileta" Kama habari ya ''kwenye ''vijiwe vya kahawa"", imrkosa" UCHAMBUZI YAKINIFU "" ulikuwa una kimbilia wapi ",maana yaonekana ", unaharaka " mnoo ""
 
Anwar Saadat ndio Rais wa kwanza wa nchi za kiarabu kutembelea modern Israel. He was a man and a half..
 
hahaaa'' mkuu hongera ' lakini hii mada yako " mbona ''umeileta" Kama habari ya ''kwenye ''vijiwe vya kahawa"", imrkosa" UCHAMBUZI YAKINIFU "" ulikuwa una kimbilia wapi ",maana yaonekana ", unaharaka " mnoo ""
ahahahahhaha mkuu vyuma
 
Hiyo historia hujaiweka vzr mzee tafuta documentary moja ya Al jazeera inaitwa War in June inaelezea hii vita vzr Muisrael aliwachakaza waarabu vibaya ingawa wao walikuwa na jeshi kubwa na silaha nyingi ila hawakuwa na plaz nzuri kwenye hiyo documentary utaona jinsi Ariel Sharon alivyokuwa na mbinu bora kbs wakat akiwa generali wa jeshi

True...hi niliiona pia. Gud documentary
 
Hakuna kiongozi asiependwa na wa misri kama anwar sadat. Huyu jamaa kaiuza nchi yake ndo mana Israel na marekani wanampenda sana na kumtangaza vizuri ila waarabu wenyewe walimchukia vibaya. Hata msiba wake nchi nyingi za kiarabu hazikupeleka wawakilishi.
Jamal abdel nasser ndio kipenzi cha wa misri sio huyu mamluki
 
Back
Top Bottom