masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Wanajopo aman iwe kwenu, Anwar Saadat ni mmoja kati ya viongozi shupavu kabisa kuwai kutokea Misri.Mwaka 1967 israel ilipiga vikosi vya anga vya nchi nyingi za arabuni ikiwemo syria na misri nakuteka maeneo kama golan height(syria) na bonde la sinai(Misri).Lakin mwaka 1973 Anwar Saadat kwa kushirikiana na hafedh asaad(rais wa syria) walianzisha vita kukomboa maeneo yao sasa alichokuwa anafikiria Saadat ndicho kilichotokea mpaka sinai ikarudi mikononi mwa wamisri tena .Alikuwa na akili moja bwana Saadat vita kidogo ili umoja wa mataifa uingilie sinai irudi misri na icho kilifanikiwa ,ruksa kuchangia na kurekebisha kwenye makosa asanteni