Any 5 star hotel outside Nairobi to match this?

Price my foot...na wakati wewe ukileta mm nakuletea ya juu yake...
Halafu ujue na kuletea vitu vya kawaida tu...tukitoka hapa tunaenda kwenye utalii wandani..najua utakimbia
 
Price my foot...na wakati wewe ukileta mm nakuletea ya juu yake...View attachment 1176699
Halafu ujue na kuletea vitu vya kawaida tu...tukitoka hapa tunaenda kwenye utalii wandani..najua utakimbia
Huogopi kusema uongo hasa? Hebu ngoja nikukumbushe;

Ulianza hivi



Nikakulete ivi



Sasa nani kamcharaza mwenzake?

Ukaendelea ivi:



Nikasema Okay, nkaja na hii;


Nani Kacharazwa sasa hapo?

Hujakoma, ukaongeza na hii



Nikasema sawa, wacha nkusogezee hii:



nani kacharazwa hapo?

usisahau kama wewe ndie ulieanzisha kuja na bei na bila kueka picha (unajua vibanda vyenu viko overpriced uku kwetu ni dola mia mia ivo)
 
Wacha kudanganya hapa wewe...we ndio ulianza...kemu cheki hyo yako ilikuwa post namba ngapi...thats y nikaona wacha niende na wewe hvo hvo tu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wah...!!hapa umeuwa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kw majungu tu ....wako level ingine
Nakwambia hawa watu sijui akili ilibakigi Congo wakati wa migration wakaja east Africa vichwa vitupu, nafikiri kitu ambacho hawakukiacha kule Congo ni majungu.
 
Price my foot...na wakati wewe ukileta mm nakuletea ya juu yake...View attachment 1176699
Halafu ujue na kuletea vitu vya kawaida tu...tukitoka hapa tunaenda kwenye utalii wandani..najua utakimbia
Wacha kudanganya hapa wewe...we ndio ulianza...kemu cheki hyo yako ilikuwa post namba ngapi...thats y nikaona wacha niende na wewe hvo hvo tu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1176884View attachment 1176885
Hapo nimekuonesha bei comparison uone kama hio unayoisifia hainaga ishu mbele ya Sea Cliff, your windsor is worthless. Hayo mabanda huku kwetu ni dola mia mia nyie mnauza dola 200.

By the way, with all the beach you have, unataka kunambia you guys dont have beach hotels? Huja mention hata moja.

Izo hotels zako unazoleta za mbugani hio bei yake inachangiwa na mambo ya fees za mbugani lakini ukitoa hio, ni mabanda ya dola 300 tu, hata ivo nimekucharaza na advantage yote ulokuwa nao πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Heheee...umeona sasa kwnn sea cliff ni ghali kushinda windsor...inaenda na purpose ya hyo hotel,area pia ina matter...

Thats y i was telling you sea cliff is a joke to windsor...nlishanga umeruka kw prices..so tuendelee tu...stop yapping like a kindergarten child..
 
Mkuu, hotel ambayo ipo mbugani, ilitakiwa iwe more expensive kuliko ilioko baharini. Sote tunajua mtalii akienda mbugani anachajiwa hela ndefu, sasa imagine, analala kwenye hotel ambayo ipo ndani ya mbuga, what do you expect? hata ivo pamoja na advantage mliokuwa nayo, tumewapiga bao bado.

Halafu mbona hunijibu? you guys dont have hotels on the beach? i think it will make more sense that way.

By the way you know why nimekuletea Sea cliff, Kwa sababu ina golf course na hoteli yetu yenye golf course ni hio Sea cliff, sijakuonesha hio kwa sababu ipo beach, look at it, ipo juu ya cliff, there is no access to the beach, lakini ipo amazing bado kuliko windsor. Sina uhakika hio Windsor iko mbugani au iko out of town tu? Kwa sababu mabanda kama hayo huku kwetu yanawekwa kwenye airbnb πŸ˜€
 
Mkuu hapo unatwanga tu maji kwa kinu, hawa jamaa wana kale katabia ambacho wanaona kila kitu kizuri kipo kwao [emoji23][emoji23][emoji23] wakati wanajidanganya alafu ni wabishi by nature, usipoteze muda kuwajibu, waache waendelee kujidanganya ili wafurahi.
Watu hawajui hata maana ya five star hotel.
 
Nawaelewa hawa jamaa kwa ubishi, na ndio maana hajaleta hata hotel moja ya Beach mana anajua kama izo zao ni mabanda tu.

Analeta hotels za Mbugani, wakati hela nyingi kwenye hio charge yao ni kwa sababu wanalal ndani ya mbuga tu na kumfanya mgeni asilipie tena yale magharama ya mbuga.

Ndani ya nafsi yake anajua kama Zanzibar inatisha kwa mahoteli makali ila ndo ubishi wao tu tena
 
Beach resort ziko baba...n vile wageni wengi kenya wanaona ni afadhali waka camp mbugani kuepuka gharama..

Leopard beach resort hyo
Southern palms beach resort..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…