Mkuu, hotel ambayo ipo mbugani, ilitakiwa iwe more expensive kuliko ilioko baharini. Sote tunajua mtalii akienda mbugani anachajiwa hela ndefu, sasa imagine, analala kwenye hotel ambayo ipo ndani ya mbuga, what do you expect? hata ivo pamoja na advantage mliokuwa nayo, tumewapiga bao bado.
Halafu mbona hunijibu? you guys dont have hotels on the beach? i think it will make more sense that way.
By the way you know why nimekuletea Sea cliff, Kwa sababu ina golf course na hoteli yetu yenye golf course ni hio Sea cliff, sijakuonesha hio kwa sababu ipo beach, look at it, ipo juu ya cliff, there is no access to the beach, lakini ipo amazing bado kuliko windsor. Sina uhakika hio Windsor iko mbugani au iko out of town tu? Kwa sababu mabanda kama hayo huku kwetu yanawekwa kwenye airbnb 😀