Any 5 star hotel outside Nairobi to match this?

Hii pekeake ina uwezo wa kutunishiana misuli na hotel ya aina yyte ile danzangiza...

Izo hotels ulizowatajia, mi naomba wanipe mifano yake kwa uko kwao tu.....
48421052_1075886322603919_2212977423908077568_n.jpeg
WINDSOR-GOLF-HOTEL-AND-COUNTRY-CLUB.jpeg
 
Endelea kujifurahisha tu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]ila ukwel unaujua...
Yaani mnakuja na Guest houses mnaita 5 star? 😀

Hebu onesha izo hotel zenu, au ndio hio ya jiwe kwenye video? 😀
 
Hii pekeake ina uwezo wa kutunishiana misuli na za aina yyte danzangiza...

View attachment 1175333View attachment 1175334
Hii cottage imtunishie nani msuli?Kweli mnachekesha! yaani nyumba unafananisha na hotel sasa?

sc2.jpg
seacliff.jpg
sc2.jpg

Shshshshsshhhh Tafuta hotel sio guest house

znz.JPG
ke.JPG

Ki windsor kimecharazwa kila kona, kumbe hii ndio hotel ambayo mnaiona top class kuliko zote E.A Mambo ya hotel si mambo yenu.
 
Eti INN ni 5 star au Lodge ni 5 star kwao.... basi zetu tuziite 7 star sasa.
I have come not to expect much from them, a collection of iron sheet houses on a single street they will call it a city. A ramshackle airstrip they will call it an international airport eg. Mwanza airport.

Whereas here in Kenya, Nakuru is facing an uphill task of upgrades to infrastructure and management in order for their city status request to be considered by GOK, even though by the standards of Tanzania and other eac countries it would be considered a city(I have travelled around africa and I can say I am honoured to be a Kenyan).
 
Mabongolala ndio wameona kijihoteli leo kelele Kila Kona hayo Kenya tumeyaona tangu kabla Uhuru.
Malkia Elizabeth wa pili alipata umalkia akiwa hapa Kenya amepumzika ndani ya 5 star hoteli enzi hizo Tanganyika ikiwa kichaka cha mbwa mwitu.
Hahahhahaahh!
Wakenya wamewaelimisha jinsi ya kuendesha mahoteli ya kitalii
Hayo mahoteli unayoyataja humu yanamilikiwa na Kenya pamoja na kuendeshwa na wakenya.

Kawaulize waunguja watakutaarif.
Midanganyika mishenzi Sana afadhali wazenji wanaelewa mchango wa Kenya kuukuzu utalii na biashara ya mahoteli tanzagiza.
Kalb wahed geuza ulaliwe!
 
Hotel gani Zanzibar inamilikiwa na Mkenya? Mimi nipo uku Zanzibar na nafanya kazi mahotelini, kikubwa ninachokiona ni kwamba ukimpa kazi mkenya basi atataka afukuze waliokuwepo na kuwaleta watu wake wa kwao. Sekta ya utalii zanzibar ina watu kutoka nchi tofauti tofauti kutoka Afrika mashariki hadi nje ya Africa.

Mahoteli ya Zanzibar kwa Asilimia kubwa sana yanamalikiwa na raia wa Europe, sijasikia kama kuna hotel mmiliki wake mkenya.

Waliofundisha utalii Zanzibar na kuukuza ni wataliana!
 
Midanganyika mishenzi Sana afadhali wazenji wanaelewa mchango wa Kenya kuukuza utalii na biashara ya mahoteli ndani ya tanzagiza.
Ni aibu mwana kubishana na mzazi.
Kalb wahed geuza ulaliwe!
 
Hotel gani Zanzibar inamilikiwa na Mkenya? Mimi nipo uku Zanzibar na nafanya kazi mahotelini, kikubwa ninachokiona ni kwamba ukimpa kazi mkenya basi atataka afukuze waliokuwepo na kuwaleta watu wake wa kwao. Sekta ya utalii zanzibar ina watu kutoka nchi tofauti tofauti kutoka Afrika mashariki hadi nje ya Africa.

Mahoteli ya Zanzibar kwa Asilimia kubwa sana yanamalikiwa na raia wa Europe, sijasikia kama kuna hotel mmiliki wake mkenya.

Waliofundisha utalii Zanzibar na kuukuza ni wataliana!
serena zanzibar is owned by a Kenyan hotel chain called tps serena group of hotels popularly known as sarova. It seems you do not know your own country.

Nyengine ipi?

Mbona shareholder mkubwa ni Aga Khan?
 
Diani nako kuna 5* hotels kadha na 4* za kumwaga...hawa jamaa kumbe hawajui kitu..

Watamu yenyewe huenda ikawa na hoteli nyingi za maana hta kuliko kuliko hvo vimiji vyao wanavyotutajia hapa
Ziweke hapa tuzikaguwe maana nyie hata magodown ya chang'aa ni 5 star hotels!
 
Nyengine ipi?

Mbona shareholder mkubwa ni Aga Khan?
You said there is no kenyan hotel in zanzibar, I gave you one now go and look for the rest stop being lazy. As for ownership sarova is traded on the nairobi stock exchange and majority ownership is in the hands of the Kenyan-Indian Family called Vohra family(Mohinder Singh Vohra, his wife Swarna Devi Vohra ) not aga khan
 
Hotel gani Zanzibar inamilikiwa na Mkenya? Mimi nipo uku Zanzibar na nafanya kazi mahotelini, kikubwa ninachokiona ni kwamba ukimpa kazi mkenya basi atataka afukuze waliokuwepo na kuwaleta watu wake wa kwao. Sekta ya utalii zanzibar ina watu kutoka nchi tofauti tofauti kutoka Afrika mashariki hadi nje ya Africa.

Mahoteli ya Zanzibar kwa Asilimia kubwa sana yanamalikiwa na raia wa Europe, sijasikia kama kuna hotel mmiliki wake mkenya.

Waliofundisha utalii Zanzibar na kuukuza ni wataliana!
Hawa jamaa ni wajinga utaskia Utalii college ng'eng'ee! Utalii college was zamani hizo!
 
You said there is no kenyan hotel in zanzibar, I gave you one now go and look for the rest stop being lazy. As for ownership sarova is traded on the nairobi stock exchange and majority ownership is in the hands of the Kenyan-Indian Family called Vohra family(Mohinder Singh Vohra, his wife Swarna Devi Vohra ) not aga khan
Serena is not Kenyan hotel but incorporated in Kenya! The group is on DSE n USE too!
 
so kenya airways is not kenyan because it is traded in USE? Alibaba is not chinese because it is listed on New york stock exchange? Idiot! go and read first on cross listing shares before embarrassing yourself further. You do not have the competence or acumen to understand finance.
 
It's TPS Eastern Africa Ltd! Even KQ is only of recently has become Kenyan after crossing a 50% mark in ownership! Majority shareholder in Serena Hotels is Aga Khan with over 40% also several Tanzanian parastatals aside individuals have stake in TPS Eastern Africa Limited too. Ugandans too!
 
Back
Top Bottom