Michael Richard
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 166
- 496
Habari,
Mimi ni mpenzi Sana wa kusoma majarida mbalimbali online. Sasa siku moja nikukuta jarida likijadiliwa linalo husu kuagiza bidhaa kutoka china hadi dar kupitia Alibaba, Ali express, 1688, Taotao,Yuwin. nk
Nikajiseme nami nikajaribu kwa kufuata hatua hizi nilizo soma kwenye lile jarida.
View attachment 2604754
Mimi ni mpenzi Sana wa kusoma majarida mbalimbali online. Sasa siku moja nikukuta jarida likijadiliwa linalo husu kuagiza bidhaa kutoka china hadi dar kupitia Alibaba, Ali express, 1688, Taotao,Yuwin. nk
Nikajiseme nami nikajaribu kwa kufuata hatua hizi nilizo soma kwenye lile jarida.
- Lazima uwe na application ya Alibaba Alixpess, 1688,Taotao, au Yuwin.
- Nikatengeneza account yangu kwenye application nilioichagua ilikuwa ni Alibaba.
- Nikafanya utafiti wa bei maana kuna maduka ya jumla na rejareja. duka lajumla nikama Alibaba na 1688 hayo mengine ni rejareja.
- Nilichofanya natizama bidhaa ninayoihitaji kwenye duka langu larejareja ambalo ni Ali express, taotao, na yuwin kisha nasoma comment za watumiaji nikisha jirizisha kwa hii bidhaa nimzuri kwa matumizi narudi sasa kwenye duka langu la bei yajumla kwaajili yakununua sasa.
- Hatua nyingine ambayo sikuisoma popote ila niliigundua wakati nafanya utafiti wangu nikwamba supplies walio be verified na Alibaba app nauza bidhaa bei sana kwasabab kampuni zao zimesha sajiliwa. Baada ya kujua hilo nikatafuta supplies ambao hawaja be verified na alibaba wao wanauza bidhaa zao kwa uhakika haraka na bei rahisi zaidi kupata wateja wengi ili kampuni yao iweze kusajiliwa.
- Basi nikampata nikaongea nae yupo shapu sana tukakubaliana bei nzuri zaid nayaupendeleo akaniuliza nina agent china wakunisafirishia mzigo wangu hadi dar nikamwambia ninae kasabab nilisha soma kwenye jarida wala haikunipa shida sana, basi nikamtumia address ya agent Wang ambao ni silent ocean. Niliwachagua hao kwasababu niliona watu wanawasifia sana kwenye jarida lile nakiukwel wapo fast Sana.
- Basi akanitengenezea link ya payment nikafanya malipo kupitia master card yang ya airtel money nikasubiri kupokea mzigo wangu.
- Baada yasiku moja nikapokea ujumbe kuwa mzigo wangu umepokelewa whorehouse za silent ocean China wakanipa track number zakuangalia mzigo wangu baada Siku 21 mizigo ulipofika wakanipigia simu nikaenda kuchua sasa nauza kwa bei rahisi mpaka watu wanahisi hizi simu nizawizi.
- Nilinunua nokia pc100 kwashiling laki 9 garama zausafirishaji shilingi laki 2 piah supplies wangu alinitoza pesa za mbao ili kuweza kuprotect simu zangu zisipate damage yoyote. Kiufupi nilitumia kama m1.3 hadi kunifikia
View attachment 2604754