Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Anza biashara ya kuagiza simu kutoka China hadi Tanzania kwa mtaji mdogo wa laki tano tu

Ok mkuu huwa naskia kuna matapeli pia humo alibaba, unawaepukaje?
Matapeli kwel wapo endapo utafanya biashara nje ya app ya alibaba kwamfano unataka kununa simu alafu supplies anakuamby tuchat whatsapp usikubali utatapeliwa piah kama unahitaji kujua zaidi nichek whatpp ntakutumia video inayokulekeza jinsi yakupat supplies mzuri 0788906890
 
Safi sana!

Kwanini uliamua kufanya biashara ya hizo simu za Nokia kiswaswadu na sio haya ya kupangusa?

Maana hizo hazikai sana na chaji kama utatumia kuongea ni masaa mawili kimeisha chaji!

Kipi ambacho kime kuvuta katika hiyo biashara ya hizo simu?
Kwa sababu mtaji wangu ni mgodo piah kwasababu simu ndogo zinatembea sana sokoni kuliko smart phone
 
Sijasema kwa nia mbaya

Hii simu nimewahi inunua ila niliishia igawa sababu inakaa na chaji muda mfupi sana.

Button zake hazieleweki.

Nikarudi niliponunua wakasema HMD hawatoi hizo simu tena, zinatoka China
Ooh itakuwa ulinunua nokia copy hiz ni original kak piah nilipitaga na upepo wa March expro walio tumia Alibaba mwez March watakuw wamenielewa
 
Tuwe wakweli Nokia 106 ambayo ni model ya 2018 bei yake hadi sasa ni zaidi ya 30000 hapo ni India, Dubai, Pakstan
Kaka mm ndy nilio agiza bei sema nilipita na upepo wa March expro kwalio tumia App ya alibaba wanajua bidhaa zilikiwa bei rahis mno. Mzigo huo apo kwa muelewa utaelewaView attachment 2604956View attachment 2604957
IMG20230425135257.jpg
View attachment 2604958
 
Back
Top Bottom