Copy hii unapasuka sana kwa mafundiKwenye draft kete ya kuanza ndiyo huamua mchezo uendaje. Hivyo yafaa kujua jinsi ya kuanza.
Kuna kete mbili tu nzuri za kuanza bao. kete ya kati na kete ya pembeni kulia ije katikati. Kete zingine zote jua kuwa itakuwa unakimbizwa.
kete ya kati
View attachment 976396
Kete ya pembeni
View attachment 976397
Ila hats ya pili huwa naitumiaMi napenda hiyo ya pili. Hiyo ya kwanza mtu akikuchezea hivi, humfungi.
View attachment 976407
Uzuri wa draft unaweza kujua copy ila usijue kumalizia. Au mtu akakubadilikia padogo ukapoteana. Mabingwa wataendelea kula hela.
Kuna.moja ya pembeni mkono wa kushoto ni hatari
Hahahaaaa iyo picha ya kwanza ni kete mbaya kinoma hua wanaanzishianaga mabingwa, ambao hawafungani wakicheza bila kuanzishianaKete mbovu sana kuanza nazo na uwezekano wa kufungwa ni mkubwa ni hizi.
Hii ni mbovu
View attachment 976401
Hii ndiyo mbovu kabisa
View attachment 976403
Mkuu playstore lipo draft ambalo tunaweza cheza online, shida yake haliruhusu chattingIla ma IT wetu nao wamezubaa sana. Walitakiwa watengeneze Draft lenye rules za kitanzania tuwe tunashughulikiana online.
NaitambuaKuna.moja ya pembeni mkono wa kushoto ni hatari