Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana.

Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Kwenye draft kete ya kuanza ndiyo huamua mchezo uendaje. Hivyo yafaa kujua jinsi ya kuanza.
Kuna kete mbili tu nzuri za kuanza bao. kete ya kati na kete ya pembeni kulia ije katikati. Kete zingine zote jua kuwa itakuwa unakimbizwa.
kete ya kati
Screenshot_20181224-220259.png

Kete ya pembeni
Screenshot_20181224-220305.png
 
Kete mbovu sana kuanza nazo na uwezekano wa kufungwa ni mkubwa ni hizi.
Hii ni mbovu
Screenshot_20181224-220720.png

Hii ndiyo mbovu kabisa
Screenshot_20181224-220731.png
 
Kuanza hivi kuna afadhali ila utakuwa ni mtu wa kukimbizwa tu ukikutana na mafundi.
Screenshot_20181224-221926.png
Screenshot_20181224-221921.png
Screenshot_20181224-221910.png
 
Back
Top Bottom