Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana.

Ila ma IT wetu nao wamezubaa sana. Walitakiwa watengeneze Draft lenye rules za kitanzania tuwe tunashughulikiana online.
Kiukweli nimetafuta draft la online nimeshindwa kulipata, sometimes nakuta draft sijui la wapi yaani ile main road haipo
 
Id yangu iyo apo
 

Attachments

  • Screenshot_2018-12-24-23-03-13.jpg
    45 KB · Views: 89
Wazee naombeni jina la application ya game la draft ambalo kuna wadada ukiwafunga wanakufunulia kitu kwenye android.
 
wacheza kitu kitu wa Dar........Mesi, dogo Hamisi, Deo, Magwelele, Aaah Mchafu amefariki........, na wale wa Chanika Msumbiji nk sasa Drafti limekuwa ajira
Magwelele anasifika nchi nzima. Umewahi mshuhudia akikipiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…