Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli nimetafuta draft la online nimeshindwa kulipata, sometimes nakuta draft sijui la wapi yaani ile main road haipoIla ma IT wetu nao wamezubaa sana. Walitakiwa watengeneze Draft lenye rules za kitanzania tuwe tunashughulikiana online.
Ya kulia kabisa juuKete ipi hiyo nyie "matula" mnaizungumzia.😁😁
Aisee kama una link ya draft online nitumie tuchezeHiyo kete huwa natembea nayo chocho kwa chocho hadi chimbo[emoji23]
https://play.google.com/store/apps/details?id=ru.appforge.draughtsnipe link mkuu. Ila raha ya draft maneno. "cheza wewe mama, tula, tutusa"
nipe link mkuu. Ila raha ya draft maneno. "cheza wewe mama, tula, tutusa"
Fuata hiyo link mkuu afu tupeane id, wabongo wapo wachache nimechoka kuwafunga wazunguKiukweli nimetafuta draft la online nimeshindwa kulipata, sometimes nakuta draft sijui la wapi yaani ile main road haipo
Aisee kama una link ya draft online nitumie tucheze
Nisha install sasa hapo mbona option ya ku creat id sioniFuata hiyo link mkuu afu tupeane id, wabongo wapo wachache nimechoka kuwafunga wazungu
Wanakupa Id automatically iko kwa number, nenda online unacreate game unacheza na mtu atakayekubaliNisha install sasa hapo mbona option ya ku creat id sioni
Nitumie id yakoWanakupa Id automatically iko kwa number, nenda online unacreate game unacheza na mtu atakayekubali
Mkuu cheza la Spain, ndio la kawaida, ukitaka la mbele na nyuma cheza la RussiaNimejiunga ila lina shida. Mengi hayaendani na ya Tanzania. Linalofanana sana na lakibongo ni la jamuhuri ya cheki(czech). we unachezaga lipi?