MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
nakujua sana mchezo wa Draft umenikutanisha na wengi...........!!! Kiwalani kulikuwa na watu kama Kedi sasa hivi ni chizi........enzi hizo Buguruni chama.........sasa hivi Kiwalani na Chanika kuna vijana wana mauwezo balaa........Labda uwe na uwezo kama mimi Farisi ndiyo utawazeza..................!!!Hahaaa kumbe nawewe kiwalani unakupata freshi