Huo utunzaji wa siri hautaishia kwenye kula tu bali utawajengea watoto tabia ya kutunza siri za ndani hata watakapokuwa wakubwa. Hivi mtoto akisema 'muulize mama' atakuwa amesema uongo gani? Roho mbaya hapo iko wapi? Au ndio wale pingapinga kila kituHofu za kijinga hizo hivi mtoto akiulizwa umekula nini na akisema nimekula makande we inakukwaza nini? .. yaani huo muda wa kuwawahofia jirani masikini mnaupata wapi? .. huko ni kuwaandaa watoto kuwa waongo na roho mbaya .. malezi mabaya sana hayo
Hofu za kijinga hizo hivi mtoto akiulizwa umekula nini na akisema nimekula makande we inakukwaza nini? .. yaani huo muda wa kuwawahofia jirani masikini mnaupata wapi? .. huko ni kuwaandaa watoto kuwa waongo na roho mbaya .. malezi mabaya sana hayo
Una watoto kalagabaho Katika ulimwengu huu kuna mambo mengi Why MTU mzima atake kujua WANAO Leo wamekula nn........ au mtoto wa jirani yako kuuliza watoto wako wamekula nn unajua Iowa watoto inauma kiasi gani ukisikia kwenu kila siku chakula kile kile huku marafiki zako kila siku wanabadilisha milo (watoto kwa watoto wakiulizana).....kuna mawili hapa inawezekana hujamwelewa VZR mtoa au hujakulia maisha ya nyumba za kupanga au life la social economic differencesHofu za kijinga hizo hivi mtoto akiulizwa umekula nini na akisema nimekula makande we inakukwaza nini? .. yaani huo muda wa kuwawahofia jirani masikini mnaupata wapi? .. huko ni kuwaandaa watoto kuwa waongo na roho mbaya .. malezi mabaya sana hayo
Naunga mkono hoja, ndio ile ya wakati wa kula mtoto anaambiwa waambie wenzako wakacheze. Uchoyo tu na ubinafsi.
Kuna bwana mmoja alipata matatizo kazini na kuwekwa ndani. Mama aliwaambia watoto Baba yenu amesafiri. Majirani walisikia tetesi wakaanza kuuliza watoto, watoto walijibu Baba amesafiri. Baada ya miezi mitatu alipotoka gerezani hakukua na tafrani sana.Umewahi kuishi kwenye maisha ya kupanga na ukiwa na mtoto?
Umeshawahi kukutana na hadha wa wapangaji ambao hawajali maswali ya msosi ya watoto wao? Yan mzazi anajali vipindi vya uhondo, na leo tena hapiki chakula na kukwambia ka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli itakuwainakuhusu hii, watu sio wazuri wanapenda sana Uchunguza lif ya watu.Hofu za kijinga hizo hivi mtoto akiulizwa umekula nini na akisema nimekula makande we inakukwaza nini? .. yaani huo muda wa kuwawahofia jirani masikini mnaupata wapi? .. huko ni kuwaandaa watoto kuwa waongo na roho mbaya .. malezi mabaya sana hayo
Umewahi kuishi kwenye maisha ya kupanga na ukiwa na mtoto?
Umeshawahi kukutana na hadha wa wapangaji ambao hawajali maswali ya msosi ya watoto wao? Yan mzazi anajali vipindi vya uhondo, na leo tena hapiki chakula na kukwambia ka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweliUkitaka kuishi vizuri Uswahilini majirani wasikujue sana. Su Uswahikini tu, mtu asipokujua sana vigumu kukwaruzana nae.
kuna vitu vi 2Hofu za kijinga hizo hivi mtoto akiulizwa umekula nini na akisema nimekula makande we inakukwaza nini? .. yaani huo muda wa kuwawahofia jirani masikini mnaupata wapi? .. huko ni kuwaandaa watoto kuwa waongo na roho mbaya .. malezi mabaya sana hayo