Anza mapema kuwafundisha watoto wasitoe siri za ndani

Aminia sana Sky Eclat !!
 
Hofu za kijinga hizo hivi mtoto akiulizwa umekula nini na akisema nimekula makande we inakukwaza nini? .. yaani huo muda wa kuwawahofia jirani masikini mnaupata wapi? .. huko ni kuwaandaa watoto kuwa waongo na roho mbaya .. malezi mabaya sana hayo
Imekutachi sana mkuu.....wacha kuchunguza sana maisha ya watu..
 
Hofu za kijinga hizo hivi mtoto akiulizwa umekula nini na akisema nimekula makande we inakukwaza nini? .. yaani huo muda wa kuwawahofia jirani masikini mnaupata wapi? .. huko ni kuwaandaa watoto kuwa waongo na roho mbaya .. malezi mabaya sana hayo
Kwa hiyo wewe migogoro yako na bwanaako unamtangazia kila mtu anaetaka kujua.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good ideas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vitoto vya siku hizi vinapenda kujimwambafy vinatembea vifua mbele na kutangaza vimekula kiporo cha wali na maharage.
 
kama chadema vile hao
 
Kwa mtoto wa miaka miwili mpaka mitatu akiulizwa amekula chakula gani lazima atasema, ubwabwa, nyama,maziwa, biscuit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani watanzania wanapenda kuchunguza maisha ya wenzao sijui kwanini,! Mfano kwenye nyumba za kupanga wasipo kuona ujapika utaulizwa mbona upikagi, mbona marafiki wako awaji kukutembelea, mbona auna mwanamke
Sio kweli itakuwainakuhusu hii, watu sio wazuri wanapenda sana Uchunguza lif ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kimekutokea nini dada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…