Anza utaratibu wa kufanya maombi asubuhi alfajiri utajibiwa haraka sana

Nakubaliana sana na wewe tena kwa kukaa darsani yani kwa ufupi miujiza mengi kwenye biblia na mafanikio ya watu wengi huanzia alfajori na mapema na huo muda kwa sasa ni saaa tisa na nusu alfajiri ndio alfajiri na mapema yani pitia biblia mistari yote imeandika alfajiri na mapema utaona maajabu kabisa na practice nimefanya aisee ipo siri kubwa kuomba alfajiri,kumbuka kuna watu hufunga buashara alfajiri na mapema sasa kabla gawajakufunga wewe fungua biashara alfajiri na mapema kwa maombi nakwambia utashangaa
 
Shalom πŸ™ shalom πŸ™ barikiwa Sana mtumishi

Amina amina

Asante Sanaa 1 wafalme 18:30-42 code hii utaifungua hapa.
Ukishalishika neno hilo lisitoke kinywani mwako tayari utakuwa umeikuza Imani yako endelea kutembea na amri hii ya upendo katika utoaji wa sadaka onesha matendo ya huruma kwa wahitaji tembelea wagonjwa hospital toa ata sadaka ya chupa mbili za maji kwa mgonjwa Mungu atakubariki sana Kuna Siri nyingi utaanza kuzijua na maarifa yataongezeka utapata mafanikio makubwa kwa njia rahisi
 
Amina πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…