Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Only to imaginary problemsReal solutions has limits, thats when prayers comes in
Ukweli ni . Usiwe na Imani haba.Ukweli ni upi?
Real problems require real solutions, you can't fix real problems with imaginary solution
Maombi hayajawahi kutatua tatizo labda unipe mfano.
Nakubaliana sana na wewe tena kwa kukaa darsani yani kwa ufupi miujiza mengi kwenye biblia na mafanikio ya watu wengi huanzia alfajori na mapema na huo muda kwa sasa ni saaa tisa na nusu alfajiri ndio alfajiri na mapema yani pitia biblia mistari yote imeandika alfajiri na mapema utaona maajabu kabisa na practice nimefanya aisee ipo siri kubwa kuomba alfajiri,kumbuka kuna watu hufunga buashara alfajiri na mapema sasa kabla gawajakufunga wewe fungua biashara alfajiri na mapema kwa maombi nakwambia utashangaaBwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote.
Yohana 15
Kwako wewe Kama ambaye unakutana changamoto za kiuchumi na magonjwa nk anza sasa kumtafuta Bwana Yesu katika mida hii ya kuanzia mida hii saa 10 mpaka 11 asubuhi nusu saa inatosha kufanya maombi fanya maombi yako nashukuru Mungu kwa ajili ya matendo makuu aliyokufanyia siku hiyo na siku iliyopita muombe Bwana Yesu mahitaji unayotaka akutendee kama unabiashara andika mahitaji uyaombee ili Yesu akutendee tembea na amri ya upendo utabarikiwa sana katika kuombea wengine
Wagalatia 5:14. Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.
.
Ombea neema kwa ajili ardhi unayoishi malengo na mipango yako yote ipate kibali
Ombea ndugu na marafiki
Ombea watu wote wanaoenda kutafuta riziki zao siku hiyo
Ombea amani na utulivu wa nchi
Ombea yatima na wajane
Ombea walemavu na wasiojiweza
Ombea wagonjwa waliolazwa
Ombea viongozi wako
Haya ni maombi ambayo utajibiwa haraka sana unavyokuwa unatembea na amri hii ya upendo kwa kuombea na kujali wengine unakuwa Kuna siri ambazo Mungu atakupa ili uweze kujua njia rahisi za kutatua kila tatizo unalokutana nalo mbele yako Siri zote katika kila jambo unalofanya ukitaka kuboresha kazi yako au biashara yako mtafute Mungu yeye atakupa hizo Siri usisome kitabu cha Siri za mafanikio Siri zote anazo Mungu
Danieli 2:22
yeye hufunua mambo ya fumbo na ya siri; huyajua yaliyo gizani, na nuru hukaa kwake.
kutembea na amri hii ya upendo unakuwa unarudisha upatanisho na Mungu wako tangu pale ulipoumbwa ulishakuwa umebarikiwa
Yeremia 1:5
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
Ila kwa sababu Kuna Kipindi ulikuwa mbali na Mungu yule shetani akaweza kuyafunga malango yako kila mtu anapokuja duniani anakuwa tayari anakuja kukamilisha zile baraka tangu kuzaliwa kwake hakuna binadamu anayekuja kutafuta mafanikio sisi tumeletwa ili kukamilisha lile kusudi kiurahisi sana
Waefeso 1:3
Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo;
Wakati utaanza kufanya maombi yako asubuhi hakikisha unasoma pia neno biblia kila siku tembea na maandiko yatakayokupa ushindi kila nyakati unazopitia soma neno kama dozi asubuhi,mchana na usiku kulishika soma biblia kama unajiandaa kufanya mtihani ndipo code za matatizo yako zinakavyofunguka kiurahisi sana
Yoshua 1:8
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
Mfano Kama Kuna jambo umepambana kwa muda mrefu sana bila mafanikio soma kutoka katika kitabu cha 1 wafalme 18:30-42 code hii utaifungua hapa kwa kusoma andiko hili na kulishika neno tu
Mungu alivyomaliza ukame uliodumu kwa kipindi kirefu katika nchi
Wewe ni katoto kadogo sana huna unalolijuaKwasababu wote tunajua kuwa ni uongo na uongo lazima upingwe.
Ukishalishika neno hilo lisitoke kinywani mwako tayari utakuwa umeikuza Imani yako endelea kutembea na amri hii ya upendo katika utoaji wa sadaka onesha matendo ya huruma kwa wahitaji tembelea wagonjwa hospital toa ata sadaka ya chupa mbili za maji kwa mgonjwa Mungu atakubariki sana Kuna Siri nyingi utaanza kuzijua na maarifa yataongezeka utapata mafanikio makubwa kwa njia rahisiShalom 🙏 shalom 🙏 barikiwa Sana mtumishi
Amina amina
Asante Sanaa 1 wafalme 18:30-42 code hii utaifungua hapa.
Amina 🙏Ukishalishika neno hilo lisitoke kinywani mwako tayari utakuwa umeikuza Imani yako endelea kutembea na amri hii ya upendo katika utoaji wa sadaka onesha matendo ya huruma kwa wahitaji tembelea wagonjwa hospital toa ata sadaka ya chupa mbili za maji kwa mgonjwa Mungu atakubariki sana Kuna Siri nyingi utaanza kuzijua na maarifa yataongezeka utapata mafanikio makubwa kwa njia rahisi
Jitatafakali mkuuOnly to imaginary problems