Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Geita, Bw. Martin Rwegoshora, amewataka wananchi kufika katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani humo ili kupata elimu kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi.
Bw. Rwegoshora amesema Wizara imeendelea kuingia katika mfumo wa kidijiti unaomwezesha mwananchi kuanzisha maombi ya huduma mbalimbali za Sekta ya Ardhi akiwa nyumbani.
Mfumo wa e-Ardhi ni miongoni mwa jitihada za Serikali za kusogeza huduma karibu na wananchi, kurahisisha upatikanaji wa huduma na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma za Sekta ya Ardhi.
Kliniki ya Ardhi inaendelea katika mikoa yote ya Tanzania Bara na inatarajiwa kuhitimishwa tarehe 3 Oktoba 2026.
Karibu tukuhudumie